CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
This is devilish
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inawezekana kuzuia kabisaUshoga haufai kuzuia, labda mlale kwenye nyumba za watu muwazuie kuingiliana
Lengo lao ni kuharibu kizazi Cha wanaume kwa siku zijazo kwa sababu kwa upande mmoja wanahamasisha sana women empowerment girl child emancipation huku mtoto wa kiume na wanaume kwa ujumla wakiachwa nyuma then wanaohamasisha ushoga hapo Sasa wakifanikiwa wanaume Kama msingi wa familia Kwisha habari yao .This is the world 's current agenda soma the New World Order and the weakening of the family unitHivi hawa wanaotumia nguvu kubwa kiasi hiki kuhamasisha ushoga,wao wanafaidikaje? Lengo lao ni nini hasa?
Kwenye Azam unablock aje Mkuu?block channel bakiza za ndani ya TZ tu.
Mkiambiwa mnaharibu brand za watu mjiandae! Majibu ya namna hii yaliwahi kutolewa wakati fulani.Wao kuwa mashoga wameona haitoshi...wanawahamasisha na watu wengine nao wawe mashoga....shida ndio inaanzia hapo.......
Ni muhimu kufungia mtangazo/uhamasishJI wa ushoga kwa watu wote , hasa watoto.Hii nchi lini itaendelea, muwafundishe tu kipi sahihi kipi sio sahihi ila kuifungia channel sio suluhu.
Mfano hata asipoona hiyo channel, sahivi Kila series hata zilizopo Azam lazima kuna scene ya ushoga. Hata mpira wa miguu tu timu zinavaa bendera ya gay pride. Bado akipanda daladala anasikia nyimbo za bongofleva zikiongelea kuchuma mchicha sijui kusafisha mtaro n.k so haya yote atayasikia tu with or without nickelodeon.
Cha msingi mfundishe tu ulimwengu aliopo na kipi asifanye, ila tukienda kwa staili unayotaka utafuta YouTube, DStv, utazuia EPL isionyeshwe Tz and so on.
uko sahihi kabisa watoto wetu hawa tusiwaache bila kuwakanya kuwafundisha nn kibaya na kipi kizuri tumeshaingia kwenye utandawazi ni jukumubla mzazi kuwa muangalizi wa mwanaoHii nchi lini itaendelea, muwafundishe tu kipi sahihi kipi sio sahihi ila kuifungia channel sio suluhu.
Mfano hata asipoona hiyo channel, sahivi Kila series hata zilizopo Azam lazima kuna scene ya ushoga. Hata mpira wa miguu tu timu zinavaa bendera ya gay pride. Bado akipanda daladala anasikia nyimbo za bongofleva zikiongelea kuchuma mchicha sijui kusafisha mtaro n.k so haya yote atayasikia tu with or without nickelodeon.
Cha msingi mfundishe tu ulimwengu aliopo na kipi asifanye, ila tukienda kwa staili unayotaka utafuta YouTube, DStv, utazuia EPL isionyeshwe Tz and so on.
Haaa halafu mwanangu anaipenda hiyo channel ngoja. ni hide
Una hide vipi mkuu tuelekezeHaaa halafu mwanangu anaipenda hiyo channel ngoja. ni hide
Lengo ni kumkwaza Mwenyezi MunguHivi hawa wanaotumia nguvu kubwa kiasi hiki kuhamasisha ushoga,wao wanafaidikaje? Lengo lao ni nini hasa?
Mkuu hii ni thread ya pili nakuta unaandika hii. Nadhani hatupaswi kuipromote kama unavyofanya kama kuna uwezekano futa. Unavyozidi kuiandika ndio kama unawapa promo. Mimi hata sikua najua na imani na wemgine pia so kadri tunavyowaongelea ndio na wao wanapata nguvu zaidi.Ni kazi sana ndugu yangu, nenda google pale andika PAMOKO uone balaa
Kw kweli DsTV wakishindwa kuiondoa NICKELODIAN wafungiwe na TCRA.Mkuu hii ni thread ya pili nakuta unaandika hii. Nadhani hatupaswi kuipromote kama unavyofanya kama kuna uwezekano futa. Unavyozidi kuiandika ndio kama unawapa promo. Mimi hata sikua najua na imani na wemgine pia so kadri tunavyowaongelea ndio na wao wanapata nguvu zaidi.
Tutoe elimu ila tusiowaonyeshe haya mambo. Watoto wana smartphone siku izi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kenya ipi hiyo? Mbona sauti sol hawafungiwi? Mbona huko Mombasa kuna danguro za mashoga na sijasikia zilifungwa mpaka Leo? Tolea mfano nchi nyingine sio Kenya mkuu.Kenya wamelifania kazi na inatakiwa iwe sheria, hakuna kuonyesha hadharani ushoga au hata kuutetea.
DSTv wamesambaa Sub Sahara, sidhani kama nchi moja inaweza kuwaathiri, aidha asiyependa maudhui hayo anashauriwa kuachana nao sio kuwalazimisha wafanye mtakayo, ile ni biashara usiporidhika achana naoKw kweli DsTV wakishindwa kuiondoa NICKELODIAN wafungiwe na TCRA.
Na sisi tuhamasishe ndoa za mitaala maana ndio kitu wanachukia balaa.Wao kuwa mashoga wameona haitoshi...wanawahamasisha na watu wengine nao wawe mashoga....shida ndio inaanzia hapo.......
Si umemuona yule dogo wa Instagram anaitwa Dulla nani sijui anajiremba kabisa anakuwa demu.Nje ya mada, kwenye sinema zetu kuna kitu kinaitwa mama kimbo, hivi huyo kijana ambaye wakati wote yuko na mama kimbo na mambo ya kike, au joti anavyoigiza kuwa mwanamke haiwezi kuwashawishi watoto kuiga tabia za kike ambazo zinaweza kuzalisha ushoga?
Safi sana. Wewe sasa umeelewa. Ningekuwa Raisi wa Tanzania kesho asubuhi bila kujadiliana na mtu yoyote ningeshakuwa nimekuita ikulu kwaajiri ya kukuapisha kuwa waziri wa ustawi wa jamii, jinsia, na watoto.Lengo lao ni kuharibu kizazi Cha wanaume kwa siku zijazo kwa sababu kwa upande mmoja wanahamasisha sana women empowerment girl child emancipation huku mtoto wa kiume na wanaume kwa ujumla wakiachwa nyuma then wanaohamasisha ushoga hapo Sasa wakifanikiwa wanaume Kama msingi wa familia Kwisha habari yao .This is the world 's current agenda soma the New World Order and the weakening of the family unit