Ujumbe kwa TCRA: DStv wanarusha vipindi vya kuhamasisha ushoga kwa watoto?

Ujumbe kwa TCRA: DStv wanarusha vipindi vya kuhamasisha ushoga kwa watoto?

Mtoa mada ni muongo...

DSTV hawawezi ruhusu hilo sababu ya sheria za nchi yetu
Umepewa angalizo kama haikuhusu na huna watoto wansotazama Dstv, na wala ndugu hawana watoto wansotazama Dstv, basi wewe sepa tu.
 
Hivi hawa wanaotumia nguvu kubwa kiasi hiki kuhamasisha ushoga, wao wanafaidikaje? Lengo lao ni nini hasa?
New world Order, Utawala wa kishetani huu wenye agenda za kikuzimu

Na jiulize ni kwanini wapo tayari kuwafadhili kwa fedha nyingi wale wote wanaofungama nao? Pesa wanazitoa wapi kwaajili ya kusupport ushoga na usagaji?
 
hivi kwanini mnapenda kuzibebesha bongo zenu mambo mengi.

basi waonee huruma watoto,wapeni kazi za shule na nyumbani wakae busy.pesa yako inakuhangaisha!!

JF ipo,fanya hata kuwafungulia acc. huku mbona wataburudika tu
 
Back
Top Bottom