Ujumbe kwa TCRA: DStv wanarusha vipindi vya kuhamasisha ushoga kwa watoto?

Kw kweli DsTV wakishindwa kuiondoa NICKELODIAN wafungiwe na TCRA.
Utafungia wangapi.haya mambo hupaswi kitumia nguvu kupambana nayo.Wenzako wanatumia akili kuimanipulate jamii wewe unataka tutumie nguvu tutaweza?.nguvu haziwezi kushinda akili hata siku moja.Haya mambo yako kila mahali hata kama hiyo channel itafungiwa bado wanao huwezi kwenda nao kila mahali.Ufumbuzi wa haya mambo ni kuchukua jitihada zamakusudi zakuelimisha jamii yetu vyakutosha ili wajue kujisimamia.tusipofanya hivyo tutabaki kulalamika.
 
Mimi naona hawa cebebees inaonyeshw na azzAm yan kuna katun moja go jetters itaenda enda ila lazim upinde wa mvua utokee fasta kimtindo nakuwaga nawachekiiii !!! Kama huamin chekishia
 
Sasa kwa level tulofikia kila mzazi awajibike yani hakikisha mtoto anaangalia nini na anacheza na nani na tujitahidi hata kuhudhuria mashuleni kujua maendeleo yao na tabia zao wawapo shuleni kupitia walimu.
 
Na wewe mchango wako wa akili kuelimisha jamii juu ya huu uchafu uko wapi?
 
Saivi wanapigia debe sana suala la mahusiano ya mapenzi ya jinsia moja, nashindwa kuelewa ni hao mashoga au kuna watu wananufaika na hilo.
Movie za kizungu nazo ndo hazifai kuangalia tena
 
James Delicious, Aggrey ,juma Lokole, Dr Kumbuka, Baba levo na wao walikua wanaangalia hiyo channel?
 
Sasa kwa level tulofikia kila mzazi awajibike yani hakikisha mtoto anaangalia nini na anacheza na nani na tujitahidi hata kuhudhuria mashuleni kujua maendeleo yao na tabia zao wawapo shuleni kupitia walimu.
Kama una amini katika Mungu, mjenger mtoto foundation ya makuzi ya kiungu, hakikisha mbengu ya kiungu ( Mungu ) ndio inakua ndani ya wanao, ndio dawa ya haya matatizo, ila kama mbengu ya muovu ikitangulia na kumea ni tatizo hapo mtoto anaweza kuwa vyovyote
 
Mtoa mada ni muongo...

DSTV hawawezi ruhusu hilo sababu ya sheria za nchi yetu
 
TV is more powerful than anything to kids

Acha kudanganya watu...

TV na Youtube is a problem to kids...mpaka afikishe 18 years ndio aamue yeye mwenyewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…