Wyatt Mathewson JF-Expert Member Joined Dec 22, 2017 Posts 10,432 Reaction score 25,124 Aug 26, 2022 #61 HIMARS said: Mtoa mada ni muongo... DSTV hawawezi ruhusu hilo sababu ya sheria za nchi yetu Click to expand... what are you thinking man?
HIMARS said: Mtoa mada ni muongo... DSTV hawawezi ruhusu hilo sababu ya sheria za nchi yetu Click to expand... what are you thinking man?
Jidu La Mabambasi JF-Expert Member Joined Oct 20, 2014 Posts 16,419 Reaction score 26,594 Aug 27, 2022 Thread starter #62 Frumence M Kyauke said: Napinga DSTv kupokea shutuma zisizo wahusu na sio mashoga Click to expand... Ukitetea ushoga basi una uhusiano nao.
Frumence M Kyauke said: Napinga DSTv kupokea shutuma zisizo wahusu na sio mashoga Click to expand... Ukitetea ushoga basi una uhusiano nao.
Jidu La Mabambasi JF-Expert Member Joined Oct 20, 2014 Posts 16,419 Reaction score 26,594 Aug 27, 2022 Thread starter #63 HIMARS said: Mtoa mada ni muongo... DSTV hawawezi ruhusu hilo sababu ya sheria za nchi yetu Click to expand... Umepewa angalizo kama haikuhusu na huna watoto wansotazama Dstv, na wala ndugu hawana watoto wansotazama Dstv, basi wewe sepa tu.
HIMARS said: Mtoa mada ni muongo... DSTV hawawezi ruhusu hilo sababu ya sheria za nchi yetu Click to expand... Umepewa angalizo kama haikuhusu na huna watoto wansotazama Dstv, na wala ndugu hawana watoto wansotazama Dstv, basi wewe sepa tu.
Azarel JF-Expert Member Joined Aug 25, 2016 Posts 28,916 Reaction score 40,479 Aug 27, 2022 #64 The Icebreaker said: Hivi hawa wanaotumia nguvu kubwa kiasi hiki kuhamasisha ushoga, wao wanafaidikaje? Lengo lao ni nini hasa? Click to expand... New world Order, Utawala wa kishetani huu wenye agenda za kikuzimu Na jiulize ni kwanini wapo tayari kuwafadhili kwa fedha nyingi wale wote wanaofungama nao? Pesa wanazitoa wapi kwaajili ya kusupport ushoga na usagaji?
The Icebreaker said: Hivi hawa wanaotumia nguvu kubwa kiasi hiki kuhamasisha ushoga, wao wanafaidikaje? Lengo lao ni nini hasa? Click to expand... New world Order, Utawala wa kishetani huu wenye agenda za kikuzimu Na jiulize ni kwanini wapo tayari kuwafadhili kwa fedha nyingi wale wote wanaofungama nao? Pesa wanazitoa wapi kwaajili ya kusupport ushoga na usagaji?
Centia2 JF-Expert Member Joined Feb 20, 2020 Posts 1,018 Reaction score 1,640 Aug 27, 2022 #65 hivi kwanini mnapenda kuzibebesha bongo zenu mambo mengi. basi waonee huruma watoto,wapeni kazi za shule na nyumbani wakae busy.pesa yako inakuhangaisha!! JF ipo,fanya hata kuwafungulia acc. huku mbona wataburudika tu
hivi kwanini mnapenda kuzibebesha bongo zenu mambo mengi. basi waonee huruma watoto,wapeni kazi za shule na nyumbani wakae busy.pesa yako inakuhangaisha!! JF ipo,fanya hata kuwafungulia acc. huku mbona wataburudika tu