stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 7,134
- 4,556
sina imani na ripoti ya yule babu na hata kama ni mbinu ya kumchafua itakua ndo anajizika mwenyeweLazima afukuliwe arudishe hela za rambirambi alizoiba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sina imani na ripoti ya yule babu na hata kama ni mbinu ya kumchafua itakua ndo anajizika mwenyeweLazima afukuliwe arudishe hela za rambirambi alizoiba
mungu wenu mliahamfukia. Mnaendelea na sarakasi gani tena?Tuko macho Magufuli amelala kaacha kina magufuli maelfu wako hayo. Nchi haitaibiwa tena. Udalali haupo tena. Jana kuna professor alianza udalali wa mitambo ya umeme.
Alichokipa hatarudia tena kuropoka. Nchi iko salama. Magufuli still hero of Africa. RIP JPM.
Ujumbe wangu ni huu:
Kusifiwa au kupongezwa ni haki ya kila mtu anaefanya vizuri ingawa haki hiyo haipo kikatiba wala kisheria. Lakini ukianza kujisifia mwenyewe au kutumia nguvu au watu ili usifiwe, haki hiyo hupotea, na kwakuwa haipo kisheria, huwezi na wala huna haki ya kudai popote au kutoka kwa mtu yoyote.
Kama vipi, wekeni sheria ya kumsifia ili mtuadhibu tusiotaka kumsifia kama mnaweza.
Mkishindwa,pambaneni na hali yenu. Tusichoshane.
Wazee wa kuvizia uteuzi mpoooTuko macho Magufuli amelala kaacha kina magufuli maelfu wako hayo. Nchi haitaibiwa tena. Udalali haupo tena. Jana kuna professor alianza udalali wa mitambo ya umeme.
Alichokipa hatarudia tena kuropoka. Nchi iko salama. Magufuli still hero of Africa. RIP JPM.
Mwizi ni mwizi hata Akifa bado utasema mwizihahahaha his legacy is immortal, hata mfanye nn hamuwezi kumchafua
Hehehe unaongea kama umekunywa changaaHatutaki kusikia ujinga mradi ya ndege,umeme,madaraja,meli. Iendele.JPM hajafaa .bali amejimulply na kuzaliwa kwenye mioyo ya mimilioni wa watz. Anaishi kama phonex, na JPM ameji re-birth na kuzaliwa upya. Sasa DR. JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI anaishi milele . Ukijaribu kuchafua utakufa kifo kibaya sana
Wanyonge teuzi zimeota mbawa mnalipwa sh ngap wiki hiii hahahaMmeshazidiwa nguvu na wanyonge
Walirogwa hawaMajuha hayo, walirithishwa ujuha na mzee wao,
Kelele zao ni za chura tu hazimzuii tembo kunywa maji watapiga kelele wee kwa sababu now hakuna ulaji wanaoupata cause aliyekuwa anawapa jeuri keshamezwa na ardhi , ila wakae watambue kwamba huu ni wakati wa wengine sasa kuifaidi keki ya taifa watakoma awamu hii wajiandae kubatizwa kwa moto sasa
mtaendelea kutubadilishia majina tuWanyonge teuzi zimeota mbawa mnalipwa sh ngap wiki hiii hahaha
Au ndio maana mlimuita mungu ?Nimejifunza jambo moja, wapinzani wanaona aibu kula matapishi yao kwa kuiaminisha dunia kwamba mzee alikuwa anapenda kusifiwa na watu waliokuwa wanamsifia wanapata vyeo. Sasa kaenda zake wala hana cha kutoa tena lakini wale waliokuwa wanamuunga mkono wapo nae mpaka mwisho. Itoshe kusema mwamba anaishi nasi na anatuongoza katika mapambano
Tuko macho Magufuli amelala kaacha kina magufuli maelfu wako hayo. Nchi haitaibiwa tena. Udalali haupo tena. Jana kuna professor alianza udalali wa mitambo ya umeme.
Alichokipa hatarudia tena kuropoka. Nchi iko salama. Magufuli still hero of Africa. RIP JPM.
Una elimu gani na umri gani? Tuanzie hapo.Tuko macho Magufuli amelala kaacha kina magufuli maelfu wako hayo. Nchi haitaibiwa tena. Udalali haupo tena. Jana kuna professor alianza udalali wa mitambo ya umeme.
Alichokipa hatarudia tena kuropoka. Nchi iko salama. Magufuli still hero of Africa. RIP JPM.
Huo ujinga mlisomea wapi?sina imani na ripoti ya yule babu na hata kama ni mbinu ya kumchafua itakua ndo anajizika mwenyewe
Huo ujinga mlisomea wapi?
Kwani taarifa za kuanzia kwa Prof Assad mpaka hizi za Kichele zina tofauti gani na hii ya mwaka huu? Taarifa ni zilezile zimejaa madudu ambayo,kutokana na udikiteta wa Magufuli,hazikujasiliwa hadharani.
yaani kila mtu anangangania magu ni mwizi , nkiwaambia leteni ushahidi wapi amekutwa na pesa za umma mnaweza kuleta ushahidi? je mali zake zote zikaikaguliwa ztakutwa ni juu ya mshahara wake toka akiwa waziri? saa ingine ni vema muendelee kua tu wapinzani kwa kwelMwizi ni mwizi hata Akifa bado utasema mwizi
Huu ni wakati wa kusoma na kujadili kitabu alichoandika Marehemu kwa kushirikiana na wasaidizi wake huku nyinyi mkimshangilia. Vumilieni tu hamna namna.mko bize kupambana na marehemu.. this shows how weak & spineless you are..chademu mnachekesha sana