Ujumbe kwa vijana wanaotumia mitandaoni kumtetea Mzee Baba

Ujumbe kwa vijana wanaotumia mitandaoni kumtetea Mzee Baba

Hatutaki kusikia ujinga mradi ya ndege,umeme,madaraja,meli. Iendele.JPM hajafaa .bali amejimulply na kuzaliwa kwenye mioyo ya mimilioni wa watz. Anaishi kama phonex, na JPM ameji re-birth na kuzaliwa upya. Sasa DR. JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI anaishi milele . Ukijaribu kuchafua utakufa kifo kibaya sana
Kumbuka kunawa kwa maji tiririka pia tumia barakoa ya vitenge. Maendeleo hayana chama.
 
Asilimia kubwa ni Masukuma
tena utuache mhuni wewe,maviwanda yote aliyoacha Nyerere yalienda wapi? Wauaji siyo ninyi wachaga? Kazi kumsingizia marehemu wizi wakati kafanya yaliyo washinda nyie miaka na miaka.hata hivyo waTz wameona nyie hangaikeni tu.
 
Kweli kafanya kilichowashinda wenzie.. wizi ule uliwashinda watangulizi wake.
 
Ni vizuri kuwa na akiba ya maneno,kuna wakati babu aliniambia hivi ukichukua bia ukaimiminia kwenye chupa ya soda halafu ukawaambia watu unakunywa bia hv watakuamini.Lengo hapa ni kuitoa CCM madarakana na kuipumzisha tu ndio dawa pekee iliyobakia kwa TANZANIA hii hz ngonjela nyingine za minyukano ya kusifu na kuponda viongozi wa CCM wakati tunajua CCM ilishaoza zamani hazina maana yoyote na hatuna cha kutarajia kutoka kwa viongozi wa CCM zaidi ya UFISADI na wizi wa mali za umma.Tuungane watanzania tuipumzishe CCM na wala tusichezewe akili tukaanza kucheza ngoma ya CCM tutakwisha tusijaribu kabisa ni wakati wa kuweka mikakati madhubuti bila woga wala hofu.
upinzani Hakuna kiongozi lbd zaidi ya dikteta
 
Back
Top Bottom