Ujumbe kwa vijana wanaotumia mitandaoni kumtetea Mzee Baba

mungu wenu mliahamfukia. Mnaendelea na sarakasi gani tena?
 

1. JK - "mimi sina chuki na JPM"
2. Press conference kupitia chuo cha dini ya kiislamu morogoro
3. Who's next?
 
Wazee wa kuvizia uteuzi mpooo
 
Hehehe unaongea kama umekunywa changaa
 
Walirogwa hawa
 
Au ndio maana mlimuita mungu ?
 

Prof teni teni na nduguze "The Power of hunger" kazi iko. Mtu anaandaa/andaliwa prsess conference ili kushindana na marehemu. Mbowe leo kakumbuka kutoa shukrani miaka minne baadaye. When leaders opt to be foolish.
 
Ni vizuri kuwa na akiba ya maneno,kuna wakati babu aliniambia hivi ukichukua bia ukaimiminia kwenye chupa ya soda halafu ukawaambia watu unakunywa bia hv watakuamini.Lengo hapa ni kuitoa CCM madarakana na kuipumzisha tu ndio dawa pekee iliyobakia kwa TANZANIA hii hz ngonjela nyingine za minyukano ya kusifu na kuponda viongozi wa CCM wakati tunajua CCM ilishaoza zamani hazina maana yoyote na hatuna cha kutarajia kutoka kwa viongozi wa CCM zaidi ya UFISADI na wizi wa mali za umma.Tuungane watanzania tuipumzishe CCM na wala tusichezewe akili tukaanza kucheza ngoma ya CCM tutakwisha tusijaribu kabisa ni wakati wa kuweka mikakati madhubuti bila woga wala hofu.
 
Una elimu gani na umri gani? Tuanzie hapo.

Akili ya profesa ni kubwa huwezi linganisha na ya huyo dikteta wako. Ambaye alizuia uhuru wa vyombo vya habari kuficha madhaifu na madudu ya serikali yake. Halafu,usipende kutuhusisha sisi watanzania wazalendo wa kweli na huo upuuzi wako. Jisemee mwenyewe.
 
sina imani na ripoti ya yule babu na hata kama ni mbinu ya kumchafua itakua ndo anajizika mwenyewe
Huo ujinga mlisomea wapi?
Kwani taarifa za kuanzia kwa Prof Assad mpaka hizi za Kichele zina tofauti gani na hii ya mwaka huu? Taarifa ni zilezile zimejaa madudu ambayo,kutokana na udikiteta wa Magufuli,hazikujasiliwa hadharani.
 
Huo ujinga mlisomea wapi?
Kwani taarifa za kuanzia kwa Prof Assad mpaka hizi za Kichele zina tofauti gani na hii ya mwaka huu? Taarifa ni zilezile zimejaa madudu ambayo,kutokana na udikiteta wa Magufuli,hazikujasiliwa hadharani.

hakuna CAG apo tena huyo mwingine unaemtetea sjui asaad ndo kabisaaa bora alitimuliwa, naskia anawaambia watu hua hawanunui ndege cash, duu
 
Mwizi ni mwizi hata Akifa bado utasema mwizi
yaani kila mtu anangangania magu ni mwizi , nkiwaambia leteni ushahidi wapi amekutwa na pesa za umma mnaweza kuleta ushahidi? je mali zake zote zikaikaguliwa ztakutwa ni juu ya mshahara wake toka akiwa waziri? saa ingine ni vema muendelee kua tu wapinzani kwa kwel
 
mko bize kupambana na marehemu.. this shows how weak & spineless you are..chademu mnachekesha sana
 
Nawasalimu kwa jina la JMT
Mzeebaba(mwendazake) aliyo yafanya yanatosha.RIP JPM.
 
mko bize kupambana na marehemu.. this shows how weak & spineless you are..chademu mnachekesha sana
Huu ni wakati wa kusoma na kujadili kitabu alichoandika Marehemu kwa kushirikiana na wasaidizi wake huku nyinyi mkimshangilia. Vumilieni tu hamna namna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…