Gulio Tanzania JF-Expert Member Joined Jan 30, 2018 Posts 3,325 Reaction score 7,807 Nov 9, 2022 #61 Ujumbe wako ni mzuri ila inanipa mashaka na mafanikio yako kwamba kumiliki DStv nao ni mafanikio
Logikos JF-Expert Member Joined Feb 26, 2014 Posts 15,460 Reaction score 24,233 Nov 9, 2022 #62 Why should you care what other's think about you ? Unaweza ukakuta unajidharau mwenyewe..., au kujiona inferior Dunia hii kuna mtu mmoja tu wa kumfurahisha (naye ni wewe)
Why should you care what other's think about you ? Unaweza ukakuta unajidharau mwenyewe..., au kujiona inferior Dunia hii kuna mtu mmoja tu wa kumfurahisha (naye ni wewe)
Nyaru-sare JF-Expert Member Joined Aug 2, 2019 Posts 5,261 Reaction score 3,679 Nov 9, 2022 #63 Vilaza mna shida sana...sema ukweli tu.wewe unamuonea donge aliye soma....then unajistukia...ndo ulivo!! Sasa hkn jinsi ya kukusaidia..ila ukizeeka utakuwa mchawi!
Vilaza mna shida sana...sema ukweli tu.wewe unamuonea donge aliye soma....then unajistukia...ndo ulivo!! Sasa hkn jinsi ya kukusaidia..ila ukizeeka utakuwa mchawi!
Nyaru-sare JF-Expert Member Joined Aug 2, 2019 Posts 5,261 Reaction score 3,679 Nov 9, 2022 #64 Tena nawashauri mnao ishi krbu na hili jamaaa...lileta mada. mlitukane mpaka likome...mliibie ivo vitendea kazi vyake uchwara Mtakuwa mmelisaidia sana..
Tena nawashauri mnao ishi krbu na hili jamaaa...lileta mada. mlitukane mpaka likome...mliibie ivo vitendea kazi vyake uchwara Mtakuwa mmelisaidia sana..
jbrutta Member Joined Mar 17, 2022 Posts 11 Reaction score 10 Nov 9, 2022 #65 Jaribuni kubadisha elimu iwe pesa, hata elimu inapatikana kwa pesa, ukiwa na pesa Kila kitu kinawezekana hapa duniani
Jaribuni kubadisha elimu iwe pesa, hata elimu inapatikana kwa pesa, ukiwa na pesa Kila kitu kinawezekana hapa duniani