Ujumbe kwa wanachuo na wahitimu wanaodharau wenye elimu za chini

Ujumbe kwa wanachuo na wahitimu wanaodharau wenye elimu za chini

Ujumbe wako ni mzuri ila inanipa mashaka na mafanikio yako kwamba kumiliki DStv nao ni mafanikio
 
Why should you care what other's think about you ?

Unaweza ukakuta unajidharau mwenyewe..., au kujiona inferior Dunia hii kuna mtu mmoja tu wa kumfurahisha (naye ni wewe)
 
Vilaza mna shida sana...sema ukweli tu.wewe unamuonea donge aliye soma....then unajistukia...ndo ulivo!! Sasa hkn jinsi ya kukusaidia..ila ukizeeka utakuwa mchawi!
 
Tena nawashauri mnao ishi krbu na hili jamaaa...lileta mada. mlitukane mpaka likome...mliibie ivo vitendea kazi vyake uchwara

Mtakuwa mmelisaidia sana..
 
Jaribuni kubadisha elimu iwe pesa, hata elimu inapatikana kwa pesa, ukiwa na pesa Kila kitu kinawezekana hapa duniani
 
Back
Top Bottom