Ujumbe Maalum kwa Dkt. John Magufuli, Rais Mteule wa Tanzania

Ujumbe Maalum kwa Dkt. John Magufuli, Rais Mteule wa Tanzania

"Mimi ukinishauri ndio umeharibu kabisa maana sitofanya unacho nishauri".

JPM.

Babaako hashauriki
 
Kawe Alumni, Pascal Mayalla, Stroke, mama D na wengine wengi, nashauri tufanye advocacy kwa wabunge wetu kuhakikisha wanapitia upya baadhi ya sheria hasa masuala ya mafao na makato ya bodi ya mikopo ya elimu ya juu
Namsubiri mbunge wenu nimpe za uso...
👇
#WE_NENDA_HATUKUTAKI_HATUJAKUCHAGUA
 
Fikisha fikisha mkuu tena mpe asome hii hashtag...😁
Niambie tu hata mimi nitamfikishia ujumbe kesho tukikutana pale Ijenga kwenye ugali na nyama choma...[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kawe Alumni, Pascal Mayalla, Stroke, mama D na wengine wengi, nashauri tufanye advocacy kwa wabunge wetu kuhakikisha wanapitia upya baadhi ya sheria hasa masuala ya mafao na makato ya bodi ya mikopo ya elimu ya juu
Mkuu hujawa_tag vizuri rudia tena.
 
Vipi kuiba na kupora haki za watu iko upande gani?

Hulka za watanzania tunazifahamu, hakika huyu mwenye kuyafanya haya hana utanzania. Tunamtaka arudi nchini kwake atuachie nchi yetu.
Ukituhumu inabidi uthibitishe
 
Kwasabb dhuluma inaua.
Hafi ataendelea kuishi ili atimize kusudi la Mungu kwa watanzania. Hali kadhalika na wewe hutakufa, utaishi ili uyashuhudie matendo makuu Mungu anayoenda kuyatenda kwa Tanzania kupitia mtumishi wake, John Magufuli
 
Back
Top Bottom