Ujumbe Maalum kwa Dkt. John Magufuli, Rais Mteule wa Tanzania

Hafi ataendelea kuishi ili atimize kusudi la Mungu kwa watanzania. Hali kadhalika na wewe hutakufa, utaishi ili uyashuhudie matendo makuu Mungu anayoenda kuyatenda kwa Tanzania kupitia mtumishi wake, John Magufuli
Ni kosa kubwa kumfungamanisha Mungu na huyu muuwaji, mtekaji, mfilisi na mpenda dhuluma. Mnazidi kumtia hasira mwenyezi Mungu.
 
Ndugu Rais, nakusalimu.

Awali ya yote ninakupongeza kwa dhati kabisa kwa kuchaguliwa kwako kwa kishindo kuingoza tena Tanzania kwa miaka mingine mitano. Ushindi huo sio bahati mbaya. Watanzania wameridhishwa na uongozi wako unaoacha alama.

Ndugu Rais, ninaomba niende moja kwa moja kwenye hoja yangu. Serikali hii utakayoiongoza kwa kipindi hiki cha miaka mitano itakuwa ni serikali yenye deni kubwa sana kwa watanzania. Kipindi cha kampeni uliomba watanzania wakuletee madiwani na wabunge wa CCM, nao wamekusikia.

Ninaamini spika wa bunge atatoka CCM hivyo ninaomba akapatikane mtu ambaye atashirikiana vizuri na serikali katika kuendesha bunge ili kuhakikisha watanzania wanapata neema zaidi. Ikiwapendeza, Job Yustino Ndugai bado anafaa.

Naomba pia uelekeze (Kama mwenyekiti wa CCM taifa) pati kokasi kuhakikisha inalishawishi bunge kupitia sheria mbalimbali zinazolalamikiwa ili zilete tija zaidi kwa watanzania. Mfano mmoja wapo ni sheria ya mafao ya wastaafu pamoja na fao la kujitoa kwa watumishi wa kazi za muda mfupi.

Kasi yako kwenye maendeleo imeonekana kuanzia usambazaji wa umeme vijijini, maji, huduma za afya na elimu, kilimo, barabara na nidhanu serikalini. Umekuwa sauti ya wale wasio na sauti na kuwawezesha kuwa na sauti.

Pamoja na hayo, wapo baadhi ya viongozi ambao hawawajibiki ipasavyo, unakuta ni mpaka ufike wewe mwenyewe ndio unakuta viongozi wanawajibika.

Mheshimiwa Rais naomba sana hili ukaliangalie ili wateule wako wachape kazi zaidi na kutatua kero za wananchi na wewe ukifika usikutane na shida ndogondogo.

Naomba ikikupendeza, waelekeze wateule wako wahangaike usiku na mchana kubuni miradi, kupanua wigo wa vipato vya halmashauri, kudhibiti rushwa na kuhakikisha wanasimamia sera za serikali ili vijana waweze kujiajiri.

Kilimo, ufugaji na ujasiriamali vikipewa msukumo mkubwa zaidi katika ngazi za wilaya na halmashauri, Mheshimiwa Rais tutatoa ajira nyingi na Kukuza uchumi wa taifa letu.

Ninakutakia afya njema na kila lililo jema.

Amani Msumari
Tanga

Cc: Dkt. Bashiru Ally Kakurwa
Katibu Mkuu - CCM
Haya ndio mambo ya maana sana na yenye tija kwa taifa letu, kwakweli kama taifa lenye uchanga ktk mifumo mingi ya kiuchumi, kijamii,kisiasa na hata kijeshi, taifa linahitaji zaidi kudumisha haki za kijamii na kiuchumi na wala si za kisiasa, wananchi Wana njaa, hivyo wanahitaji zaidi KULA na si KURA.
 
Ndugu Rais, nakusalimu.

Awali ya yote ninakupongeza kwa dhati kabisa kwa kuchaguliwa kwako kwa kishindo kuingoza tena Tanzania kwa miaka mingine mitano. Ushindi huo sio bahati mbaya. Watanzania wameridhishwa na uongozi wako unaoacha alama.

Ndugu Rais, ninaomba niende moja kwa moja kwenye hoja yangu. Serikali hii utakayoiongoza kwa kipindi hiki cha miaka mitano itakuwa ni serikali yenye deni kubwa sana kwa watanzania. Kipindi cha kampeni uliomba watanzania wakuletee madiwani na wabunge wa CCM, nao wamekusikia.

Ninaamini spika wa bunge atatoka CCM hivyo ninaomba akapatikane mtu ambaye atashirikiana vizuri na serikali katika kuendesha bunge ili kuhakikisha watanzania wanapata neema zaidi. Ikiwapendeza, Job Yustino Ndugai bado anafaa.

Naomba pia uelekeze (Kama mwenyekiti wa CCM taifa) pati kokasi kuhakikisha inalishawishi bunge kupitia sheria mbalimbali zinazolalamikiwa ili zilete tija zaidi kwa watanzania. Mfano mmoja wapo ni sheria ya mafao ya wastaafu pamoja na fao la kujitoa kwa watumishi wa kazi za muda mfupi.

Kasi yako kwenye maendeleo imeonekana kuanzia usambazaji wa umeme vijijini, maji, huduma za afya na elimu, kilimo, barabara na nidhanu serikalini. Umekuwa sauti ya wale wasio na sauti na kuwawezesha kuwa na sauti.

Pamoja na hayo, wapo baadhi ya viongozi ambao hawawajibiki ipasavyo, unakuta ni mpaka ufike wewe mwenyewe ndio unakuta viongozi wanawajibika.

Mheshimiwa Rais naomba sana hili ukaliangalie ili wateule wako wachape kazi zaidi na kutatua kero za wananchi na wewe ukifika usikutane na shida ndogondogo.

Naomba ikikupendeza, waelekeze wateule wako wahangaike usiku na mchana kubuni miradi, kupanua wigo wa vipato vya halmashauri, kudhibiti rushwa na kuhakikisha wanasimamia sera za serikali ili vijana waweze kujiajiri.

Kilimo, ufugaji na ujasiriamali vikipewa msukumo mkubwa zaidi katika ngazi za wilaya na halmashauri, Mheshimiwa Rais tutatoa ajira nyingi na Kukuza uchumi wa taifa letu.

Ninakutakia afya njema na kila lililo jema.

Amani Msumari
Tanga

Cc: Dkt. Bashiru Ally Kakurwa
Katibu Mkuu - CCM
Safu ya uspika ibaki ile ile. Tulia pata uzuefu hadi kipindi kouachi 2025
 
Kwani fao la kujitoa watu hawapewi? Maana kuna kipindi rais alitoa amri kanuni za zamani ziendelee kutumika.
 
Fao la kujitoa lipo ila ni kwa wale wasio na ujuzi ambao hawataajirika. Mtu professional anapewa fao la kukosa ajira. Fao hili n 33.3% ya iliyokuwa basic salary yako na hutilewa kwa kipindi cha miezi 6 huku ukitarajiwa kuwa utakuwa umeshapata kazi katika kipindi hicho.

Kiukweli fao hili la kukosa ajira n zuri na linamlinda mtu kipindi cha kutafuta ajira. Hatahivyo, wapo watu ambao wasingependa kuendelea na ajira, watu hawa wanatamani kujiajiri, kuajiri wengine na Kukuza vipato vyao na uchumi wa nchi. Hawa wanatazamwaje?
 
Wasio na ujuzi kivipi? Operator wa grader hana ujuzi? Engineer wa mradi kama Sgr ukiisha hapati fao la kujitoa?
 
Back
Top Bottom