Ujumbe Maalum kwa Dkt. John Magufuli, Rais Mteule wa Tanzania

Hafi ataendelea kuishi ili atimize kusudi la Mungu kwa watanzania. Hali kadhalika na wewe hutakufa, utaishi ili uyashuhudie matendo makuu Mungu anayoenda kuyatenda kwa Tanzania kupitia mtumishi wake, John Magufuli
Ni kosa kubwa kumfungamanisha Mungu na huyu muuwaji, mtekaji, mfilisi na mpenda dhuluma. Mnazidi kumtia hasira mwenyezi Mungu.
 
Haya ndio mambo ya maana sana na yenye tija kwa taifa letu, kwakweli kama taifa lenye uchanga ktk mifumo mingi ya kiuchumi, kijamii,kisiasa na hata kijeshi, taifa linahitaji zaidi kudumisha haki za kijamii na kiuchumi na wala si za kisiasa, wananchi Wana njaa, hivyo wanahitaji zaidi KULA na si KURA.
 
Safu ya uspika ibaki ile ile. Tulia pata uzuefu hadi kipindi kouachi 2025
 
Kwani fao la kujitoa watu hawapewi? Maana kuna kipindi rais alitoa amri kanuni za zamani ziendelee kutumika.
 
Kwani fao la kujitoa watu hawapewi? Maana kuna kipindi rais alitoa amri kanuni za zamani ziendelee kutumika.
Fao la kujitoa lipo ila ni kwa wale wasio na ujuzi ambao hawataajirika. Mtu professional anapewa fao la kukosa ajira. Fao hili n 33.3% ya iliyokuwa basic salary yako na hutilewa kwa kipindi cha miezi 6 huku ukitarajiwa kuwa utakuwa umeshapata kazi katika kipindi hicho.

Kiukweli fao hili la kukosa ajira n zuri na linamlinda mtu kipindi cha kutafuta ajira. Hatahivyo, wapo watu ambao wasingependa kuendelea na ajira, watu hawa wanatamani kujiajiri, kuajiri wengine na Kukuza vipato vyao na uchumi wa nchi. Hawa wanatazamwaje?
 
Wasio na ujuzi kivipi? Operator wa grader hana ujuzi? Engineer wa mradi kama Sgr ukiisha hapati fao la kujitoa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…