Ujumbe Maalum kwa Dkt. John Magufuli, Rais Mteule wa Tanzania

Ombi langu kwa wale vijana wa jkt mlowavalisha sare za polisi na kuwatuma zanzibar kusimamia uchaguzi msiwaache hivhiv wapeni kazi jaman
 
Ujinga ni kujiamijisha chama chako ni kikubwa na kina wanachama wengi kuliko kilichoshinda,
Hata kama kura zinarudiwa Leo matokeo yatabaki kuwa haya tu.
Ni yeye! Ni yeye!
 
Kilichofanywa na majaji wa NEC, sidhani kama kwenye mahakama zetu kuna haki [emoji22]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…