Ujumbe maalum kwa Watanzania wanaomsikiliza na kumuamini Mange Kimambi

ndoto2020

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2017
Posts
1,683
Reaction score
1,438
Leo nimemsikilza tena dada ghost wa Taifa anasema eti anasononeka analia eti watu wamekufa? serious?

Kaanza kuwadanganya mabwege ohhh tokeni sana tokeni sana jeshi na polisi lipo na nyie na wamemhahakikishia lipo kuunga maandamano, lipo na nyie asilimia 100% haya mmetoka kama misukule jeshi limeunga mkono uharibu? haya ohhh eti anatumiwa meseji na wanajeshi kibao wapo wapi? yaani kweli line ya mange ndo imekuwa hotline ya majeshi yetu kweli? ahaaa ahaaaa aisee nacheka huku nawaonea huruma watu waliiooza ubongo wasiotumia muda kufikiria

2. Mara leo kaja na oghhhooo turudi barabarani tutashinda tutashinda mara bado masa 2 tu nimehakikishiwa haya toka tarehe 30 hayo masaa 2 yapo wapi? waliomua nani? wanaoteseka na kupanda bei ya vitu nani? mwendo kasi zimechomwa nani atatumia mwendokasi yeye? Samia anatumia mwendokasi ? Mwiguli au Rostam wanatumia mwendokasi ? ahaaa aisee tunahitaji tiba ya akili yeye mwenyewe yupo kwenye gari lake sasahivi

3. Ohhh FBI wamemualert ? kweli ? Jmani yule dada ni muongo sijawahi kuona waache kumpa alert Trump wakati wa kampeni wamempe Mange? kwa utaratibu wa marekani ni district sherif ndo angalau wangemtonya sio FBI , FBI wanadeal na Federal Investigation mazeee matukio provinvial police wameshindwa alert sio federal threat jamani kwa nini Wa tz hatujiongezi ?

4. Kesho anakuja na story ya mara jeshi lipo hivi lipo vile kwani alikuwa hajui kabla ? hawakumwambia in advance formation ilivyo ? kama hawakumwambia alikuwa anaongea na nani sasa mama ntilie wa jeshini au muuza madafu jeshini?

5. Leo anakuja na story eti anaongea na G NZ wa nchi nzima wanasema watarudi barabarani, jamani kweli Number ya mange GNZ milioni 55 wana number yake ? enheeee eneheeeee kweli ? bado shule za kata hazijatukomboa kifikra , Haya anashawishi tena next week mrudi barabarani , ingieni mtanikumbuka

USHAURI NI MUDA WA KUJIONGEZA KUDAI MABADILIKO KWA NJIA SAHIHI NA YA AMANI KUITISHA OPEN DIALOGUE MAANDAMANO NA FUJO HAMTOBOI NGO , NARUDIA OPEN DIALOGUE TU
 
Fact broo nyumbu huwambii kitu kwa mheshimiwa Mange Kimambi halafu kana akili ndogo sana maandamano yali lack leadership na malengo mfano Samia aki quit nani anashika nchi wazee wa keyboard hawakumuuliza Mange hili.
 
Bila ya Kinjekitile Ngwale kusema risasi za Mjerumani zitakuwa ni maji kitu ambacho kilikuwa ni uongo, Babu zetu wasingeingia vitani kupambana na mkoloni.

Kwahiyo sometimes watu dizaini ya Kinjekitile na Mange huwa wanatokea na kubadilisha mambo.
 
Yule dada mshenzi Mungu atamlaani kwa alichofanya. Damu za watoto wa kimaskini zitamlilia, aliwajaza ujinga watoto wa watu. Cha ajabu wanaharakati wote hakuna hata mmoja aliyeandamana
 
Fact broo nyumbu huwambii kitu kwa mheshimiwa Mange Kimambi halafu kana akili ndogo sana maandamano yali lack leadership na malengo mfano Samia aki quit nani anashika nchi wazee wa keyboard hawakumuuliza Mange hili.
yaani nawasikitikia sana Wa tz wenzangu, hata tuhuma anazotoa nyingi ni za kutunga chache sana za ukweli na documents baadhi ni za ku edit , yaani ukimuuliza anataka nini na yeye sio mwanasiasa hata ujui? Bora LISU tutasema anataka Urais ni sawa kabisa sasa Mange na Maria wanataka nini tukiwashe tu Tanzania?
 
Toka mwaka gani njia tofauti na maandamano zimetumoka lakini mwishowe ujingaujinga wa kuhadaa unatumika rasmu zinawekwa kapuni?
mwaka 2015 tulichemka sana kususia rasimu ya warioba leo tungeshakuwa na katiba mpya waliosusia mnawajua, na hata kesho nguvu ikitumika hamna suluhu kamwe
 
Mtoa uzi mpaka coment #6 wote ni machawa wa Uvccm au ID za mtu mmoja....
unachemka hamna uvccm hapa nawafungua macho jiongeze ndugu mbona yeye haji kuandamana? kama alikuwa kweli anaongea na watu wa ndani kwa nini wamemuangusha? yale mauhakika aliyokuw aanawapa kwenye mavideo kila baada ya dk 2 ziko wapi? mimi mnjanja sana nimeshiriki sana siasa za misukosuko nikajitoa rasmi baada ya 2015 nilijionea hadaa nyingi na enzi hizo sitaki wenzangu wahadaiwe pia
 
Wanao mfollow yule dada ni vichaa kama yeye mwenyewe mtu na akili zako unamfollow vp yule dada nimuongo sana yaan ukiwa na akili unaona hapa anadanganya lkn madunduka hayaelewi
 
mwaka 2015 tulichemka sana kususia rasimu ya warioba leo tungeshakuwa na katiba mpya waliosusia mnawajua, na hata kesho nguvu ikitumika hamna suluhu kamwe
Acha ushuzi, rasimu ya warioba haikukataliwa, ilikataliwa rasimu pendekezwa. Wewe ni mshenzi mlaghai muandika uongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…