Ujumbe maalum kwa Watanzania wanaomsikiliza na kumuamini Mange Kimambi

Lakini Mange hakuwaambia waandamanaji wavunje Vituo vya Mwendokasi wala kuchoma vituo vya Mafuta....bali ni wao waandamanaji walijiongeza pasi kujua kuna madhara kiasi gani
 
Leo nimemsikilza tena dada ghost wa Taifa anasema eti anasononeka analia eti watu wamekufa? serious?

Kaanza kuwadanganya mabwege ohhh tokeni sana tokeni sana jeshi na polisi lipo na nyie na wamemhahakikishia lipo kuunga maandamano, lipo na nyie asilimia 100% haya mmetoka kama misukule jeshi limeunga mkono uharibu? haya ohhh eti anatumiwa meseji na wanajeshi kibao wapo wapi? yaani kweli line ya mange ndo imekuwa hotline ya majeshi yetu kweli? ahaaa ahaaaa aisee nacheka huku nawaonea huruma watu waliiooza ubongo wasiotumia muda kufikiria

2. Mara leo kaja na oghhhooo turudi barabarani tutashinda tutashinda mara bado masa 2 tu nimehakikishiwa haya toka tarehe 30 hayo masaa 2 yapo wapi? waliomua nani? wanaoteseka na kupanda bei ya vitu nani? mwendo kasi zimechomwa nani atatumia mwendokasi yeye? Samia anatumia mwendokasi ? Mwiguli au Rostam wanatumia mwendokasi ? ahaaa aisee tunahitaji tiba ya akili yeye mwenyewe yupo kwenye gari lake sasahivi

3. Ohhh FBI wamemualert ? kweli ? Jmani yule dada ni muongo sijawahi kuona waache kumpa alert Trump wakati wa kampeni wamempe Mange? kwa utaratibu wa marekani ni district sherif ndo angalau wangemtonya sio FBI , FBI wanadeal na Federal Investigation mazeee matukio provinvial police wameshindwa alert sio federal threat jamani kwa nini Wa tz hatujiongezi ?
4. Kesho anakuja na story ya mara jeshi lipo hivi lipo vile kwani alikuwa hajui kabla ? hawakumwambia in advance formation ilivyo ? kama hawakumwambia alikuwa anaongea na nani sasa mama ntilie wa jeshini au muuza madafu jeshini?
5 Leo anakuja na story eti anaongea na G NZ wa nchi nzima wanasema watarudi barabarani, jamani kweli Number ya mange GNZ milioni 55 wana number yake ? enheeee eneheeeee kweli ? bado shule za kata hazijatukomboa kifikra , Haya anashawishi tena next week mrudi barabarani , ingieni mtanikumbuka

USHAURI NI MUDA WA KUJIONGEZA KUDAI MABADILIKO KWA NJIA SAHIHI NA YA AMANI KUITISHA OPEN DIALOGUE MAANDAMANO NA FUJO HAMTOBOI NGO , NARUDIA OPEN DIALOGUE TU
Unahitaji elimu ya uraia. Nakushauri utafute mwalimu haraka sana angalau ujifunze constitutional rights za raia!
 
Lakini Mange hakuwaambia waandamanaji wavunje Vituo vya Mwendokasi wala kuchoma vituo vya Mafuta....bali ni wao waandamanaji walijiongeza pasi kujua kuna madhara kiasi gani
Nyie wajinga mtaona mkono wa sheria mwaka huu.
 
Jibu ni moja tu,serikali ipambane na umasikini wa watumishi wake wanaompa siri,iwalipe vizuri polisi waache kuishi kwenye mabanda ya wanyama.
Hao ni ngumu kuwapata , serikal inoroshe maslahi na kusikiliza maoni ya watu wake

watu kama akina mange wanapata nguvu sababu kuna gape serikal inaliacha
 
Leo nimemsikilza tena dada ghost wa Taifa anasema eti anasononeka analia eti watu wamekufa? serious?

Kaanza kuwadanganya mabwege ohhh tokeni sana tokeni sana jeshi na polisi lipo na nyie na wamemhahakikishia lipo kuunga maandamano, lipo na nyie asilimia 100% haya mmetoka kama misukule jeshi limeunga mkono uharibu? haya ohhh eti anatumiwa meseji na wanajeshi kibao wapo wapi? yaani kweli line ya mange ndo imekuwa hotline ya majeshi yetu kweli? ahaaa ahaaaa aisee nacheka huku nawaonea huruma watu waliiooza ubongo wasiotumia muda kufikiria

2. Mara leo kaja na oghhhooo turudi barabarani tutashinda tutashinda mara bado masa 2 tu nimehakikishiwa haya toka tarehe 30 hayo masaa 2 yapo wapi? waliomua nani? wanaoteseka na kupanda bei ya vitu nani? mwendo kasi zimechomwa nani atatumia mwendokasi yeye? Samia anatumia mwendokasi ? Mwiguli au Rostam wanatumia mwendokasi ? ahaaa aisee tunahitaji tiba ya akili yeye mwenyewe yupo kwenye gari lake sasahivi

3. Ohhh FBI wamemualert ? kweli ? Jmani yule dada ni muongo sijawahi kuona waache kumpa alert Trump wakati wa kampeni wamempe Mange? kwa utaratibu wa marekani ni district sherif ndo angalau wangemtonya sio FBI , FBI wanadeal na Federal Investigation mazeee matukio provinvial police wameshindwa alert sio federal threat jamani kwa nini Wa tz hatujiongezi ?
4. Kesho anakuja na story ya mara jeshi lipo hivi lipo vile kwani alikuwa hajui kabla ? hawakumwambia in advance formation ilivyo ? kama hawakumwambia alikuwa anaongea na nani sasa mama ntilie wa jeshini au muuza madafu jeshini?
5 Leo anakuja na story eti anaongea na G NZ wa nchi nzima wanasema watarudi barabarani, jamani kweli Number ya mange GNZ milioni 55 wana number yake ? enheeee eneheeeee kweli ? bado shule za kata hazijatukomboa kifikra , Haya anashawishi tena next week mrudi barabarani , ingieni mtanikumbuka

USHAURI NI MUDA WA KUJIONGEZA KUDAI MABADILIKO KWA NJIA SAHIHI NA YA AMANI KUITISHA OPEN DIALOGUE MAANDAMANO NA FUJO HAMTOBOI NGO , NARUDIA OPEN DIALOGUE TU
Ndiyo, ndo wale watanzania wanaosombwa kwenye mabasi kwenda kujaza mikutano ya CCM, hao hauwashangai?.
Ni kwamba, jamii yenye watu kama hao yeyote aweza iambia chochote wakikiamini, mradi tu awe consistent kwa kipindi fulani.
 
Leo nimemsikilza tena dada ghost wa Taifa anasema eti anasononeka analia eti watu wamekufa? serious?

Kaanza kuwadanganya mabwege ohhh tokeni sana tokeni sana jeshi na polisi lipo na nyie na wamemhahakikishia lipo kuunga maandamano, lipo na nyie asilimia 100% haya mmetoka kama misukule jeshi limeunga mkono uharibu? haya ohhh eti anatumiwa meseji na wanajeshi kibao wapo wapi? yaani kweli line ya mange ndo imekuwa hotline ya majeshi yetu kweli? ahaaa ahaaaa aisee nacheka huku nawaonea huruma watu waliiooza ubongo wasiotumia muda kufikiria

2. Mara leo kaja na oghhhooo turudi barabarani tutashinda tutashinda mara bado masa 2 tu nimehakikishiwa haya toka tarehe 30 hayo masaa 2 yapo wapi? waliomua nani? wanaoteseka na kupanda bei ya vitu nani? mwendo kasi zimechomwa nani atatumia mwendokasi yeye? Samia anatumia mwendokasi ? Mwiguli au Rostam wanatumia mwendokasi ? ahaaa aisee tunahitaji tiba ya akili yeye mwenyewe yupo kwenye gari lake sasahivi

3. Ohhh FBI wamemualert ? kweli ? Jmani yule dada ni muongo sijawahi kuona waache kumpa alert Trump wakati wa kampeni wamempe Mange? kwa utaratibu wa marekani ni district sherif ndo angalau wangemtonya sio FBI , FBI wanadeal na Federal Investigation mazeee matukio provinvial police wameshindwa alert sio federal threat jamani kwa nini Wa tz hatujiongezi ?
4. Kesho anakuja na story ya mara jeshi lipo hivi lipo vile kwani alikuwa hajui kabla ? hawakumwambia in advance formation ilivyo ? kama hawakumwambia alikuwa anaongea na nani sasa mama ntilie wa jeshini au muuza madafu jeshini?
5 Leo anakuja na story eti anaongea na G NZ wa nchi nzima wanasema watarudi barabarani, jamani kweli Number ya mange GNZ milioni 55 wana number yake ? enheeee eneheeeee kweli ? bado shule za kata hazijatukomboa kifikra , Haya anashawishi tena next week mrudi barabarani , ingieni mtanikumbuka

USHAURI NI MUDA WA KUJIONGEZA KUDAI MABADILIKO KWA NJIA SAHIHI NA YA AMANI KUITISHA OPEN DIALOGUE MAANDAMANO NA FUJO HAMTOBOI NGO , NARUDIA OPEN DIALOGUE TU
Hauwezi kufanya open dialogue na mbweha anayejua ukiwa na mitazamo tofauti na ya kwake solution ni kukuteka na kukuua, open dialogue hufanywa na watu sensible na rational.
Kichaa asiyejitambua kama Samia unaanzia wapi kufanya naye open dialogue? She is a certified serial killer, a heartless tyrant dictator ambaye damu za watu mean nothing to her. Sasa mtu wa aina hiyo unakaa naye mezani ili akuue au ugeuke kuwa chawa wake akupe pesa usaliti misimamo yako.
 
Waliambiwa kile kidada kitawaponza lakini wengi waliishia kutoa matusi na kuita wengine waoga. Wakati hii sio kesi ya uoga, ni kesi ya uwezekano. At this time, maandamano au riots hayawezi kuleta mabadiliko zaidi ya kuushia kuumia na kufa for nothing.

Njia pekee ni kutumia muda na long term planing kwani violence ni lugha yao.

Naivety is dangerous and consequences are inevitable.
 
Leo nimemsikilza tena dada ghost wa Taifa anasema eti anasononeka analia eti watu wamekufa? serious?

Kaanza kuwadanganya mabwege ohhh tokeni sana tokeni sana jeshi na polisi lipo na nyie na wamemhahakikishia lipo kuunga maandamano, lipo na nyie asilimia 100% haya mmetoka kama misukule jeshi limeunga mkono uharibu? haya ohhh eti anatumiwa meseji na wanajeshi kibao wapo wapi? yaani kweli line ya mange ndo imekuwa hotline ya majeshi yetu kweli? ahaaa ahaaaa aisee nacheka huku nawaonea huruma watu waliiooza ubongo wasiotumia muda kufikiria

2. Mara leo kaja na oghhhooo turudi barabarani tutashinda tutashinda mara bado masa 2 tu nimehakikishiwa haya toka tarehe 30 hayo masaa 2 yapo wapi? waliomua nani? wanaoteseka na kupanda bei ya vitu nani? mwendo kasi zimechomwa nani atatumia mwendokasi yeye? Samia anatumia mwendokasi ? Mwiguli au Rostam wanatumia mwendokasi ? ahaaa aisee tunahitaji tiba ya akili yeye mwenyewe yupo kwenye gari lake sasahivi

3. Ohhh FBI wamemualert ? kweli ? Jmani yule dada ni muongo sijawahi kuona waache kumpa alert Trump wakati wa kampeni wamempe Mange? kwa utaratibu wa marekani ni district sherif ndo angalau wangemtonya sio FBI , FBI wanadeal na Federal Investigation mazeee matukio provinvial police wameshindwa alert sio federal threat jamani kwa nini Wa tz hatujiongezi ?
4. Kesho anakuja na story ya mara jeshi lipo hivi lipo vile kwani alikuwa hajui kabla ? hawakumwambia in advance formation ilivyo ? kama hawakumwambia alikuwa anaongea na nani sasa mama ntilie wa jeshini au muuza madafu jeshini?
5 Leo anakuja na story eti anaongea na G NZ wa nchi nzima wanasema watarudi barabarani, jamani kweli Number ya mange GNZ milioni 55 wana number yake ? enheeee eneheeeee kweli ? bado shule za kata hazijatukomboa kifikra , Haya anashawishi tena next week mrudi barabarani , ingieni mtanikumbuka

USHAURI NI MUDA WA KUJIONGEZA KUDAI MABADILIKO KWA NJIA SAHIHI NA YA AMANI KUITISHA OPEN DIALOGUE MAANDAMANO NA FUJO HAMTOBOI NGO , NARUDIA OPEN DIALOGUE TU
Raisi anateua wajumbe wote wa tume ya uchaguzi Raisi anagombea uraisi.
 
Utaratibu wa Marekani upi ?

Hakuna district sherif Marekani na wewe....
weweee nimesoma undergraduate Luther College Iowa miaka hiyo 1999 to 2002 najua utaratibu vizuri sherif kuna city prolice, provincial police na federal ndugu , na baada ya hapo nikaenda zangu Canada MBA one of the best universities in the world York Universities Schulic Business School na nikafanya kazi kidogo RBC bank Cnada kabla sijaenda Netherland kufanya kazi miaka 5 nikakinai nje nikarudi kuijenga nchi yangu ,kwa hiyo sishikiwi akili kingese na nawasaidia sana humu maana hata hivyo vyombo vya dola mzee alikuwa ndani mpaka anastaafu major General na baadae mkuu wa mkoa mikoa mikoa 2 awamu ya mkapa na nusu awamu ya kikwete , Mimi sawa sijasomea kabisa ma ulinzi lakini wadogo zangu wawili tumbo moja wamo humo na wana vyeo kweli tunawashangaaa mnavyoshngalia impossibles nikiongea nao wanacheka mpaka basi wanakuambia Watanzania ni mambwiga watakufa mno kuliko kushambuliwa na ebola
 
Haya ww mwenye akili tuambie sasa tunaukomeshaje utekaji',ufisadi,uzembe,mikataba isiyo na manufaa kwa mtanzania,Uchawa ,ukondoo km wako na uchu wa madaraka wa viongozi na dharau kwa wananchi wanao tuongoza kwa kua hatuna la kuwafanya.Ww sasa tuambie tunatokaje hapa na uje na ushahidi kama anao kuja nao Mange sio uje na polojo
 
USHAURI NI MUDA WA KUJIONGEZA KUDAI MABADILIKO KWA NJIA SAHIHI NA YA AMANI KUITISHA OPEN DIALOGUE MAANDAMANO NA FUJO HAMTOBOI NGO , NARUDIA OPEN DIALOGUE TU
Naunga mkono hoja, ukimsikiliza, kiukweli kwa mtu yeyote mwenye akili zake timamu, atamjua huyu Dada ni issue, ila hizo ndizo akili za walio wengi, anaongea lugha wanayoielewa na wanamwelewa, this time amewapata na ametuweza!, maana kwa kilichotokea, she is a hero wao na she really has the power of commands and mass mobilization!
P
 
Haya ww mwenye akili tuambie sasa tunaukomeshaje utekaji',ufisadi,uzembe,mikataba isiyo na manufaa kwa mtanzania,Uchawa ,ukondoo km wako na uchu wa madaraka wa viongozi na dharau kwa wananchi wanao tuongoza kwa kua hatuna la kuwafanya.Ww sasa tuambie tunatokaje hapa na uje na ushahidi kama anao kuja nao Mange sio uje na polojo
Ngosha , Hapa cha kufanya ni wananchi humu humu ndani ya vyama kufanya mapinduzi tupate viongozi wasafi wa vyama, Kama chadema walivyoweza kumtoa Mbowe na Wenje waliochukua rushwa CCM akachukua uongozi Tundu lisu pale walifanya mapinduzi makubwa ya kumtoa mwamba.

2. Pili hata CCM tuwekeze kuwapindua wanamtandao na kuwaweka ccm waadilifu ndo maana mimi zaidi ya mara 100 nimemlilia sana polepole lakini siwezi kushauri kuandamana kwa ajili yake. tumdai kwa njia sahihi.

CCM ilifanikiwa kujivua gamba 2015 pale pale Magufuli alipokufa mabeyo Bashiri na Diwani wangesimamia asiiingie mtandao yaani humo CCM wapo wachache wasafi na vijana wasafi wasio na hela tuwachangie wachukue nafasi, mbona miaka hiyo tuliwachangia sana vichana machachari wa chadema hawana hela wakashindana na vigogo wa ccm wenye hela na tulishinda ila wamekuja tuangusha vibaya mno na kutuaibisha kaka zao, David silinde, Joshua Nasari siku akibisha nitaweka hapa risiti 2012 nimewachangia 10M nimeiona hiyo risiti juzi juzi, bado michango kibao ya 2- 5 M karibu kila operation , kwa hiyo mapinduzi tufanye halali ndani ya vyama vyote visafi, CCM chadema zaidi zaidi kufanya mapinduzi humo humo ndani ya CCM , Nani alijua magufuli angewabadilikia WANA CCM MAJIZI ? Na awamu ya pili alikuwa anaenda kuwafunga kweli kweli, Nani alijua Yusuf Manji angepunguzwa nguvu na habinder seth? kwa hiyo ni njia ngumu lakini ndo yenye uhakika maandamano ni vifo vya watotot wa kimaskini tu na inanisikitisha zaidi MASIKINI SANA POLISI ANENDA KUMUUA MASIKINI SANA MWANDAMANAJI, POLISI TAJIRI yaani mwenye cheo anaagiza tu na MWANASIASA TAJIRI MENYE MAAMUZI ANAAGIZA TU POLISI UENI, MFANYABIASHARA TAJIRI WOTE WAPO KWENYE TV ULINZI MKALI AU VACATION NJE mpka uchafu upite
 
Fact broo nyumbu huwambii kitu kwa mheshimiwa Mange Kimambi halafu kana akili ndogo sana maandamano yali lack leadership na malengo mfano Samia aki quit nani anashika nchi wazee wa keyboard hawakumuuliza Mange hili.
Shida sio mange watu walishachoka tu.
Ila walikuwa wanatafura pakutokea.
Samia hawezi kukwepa lawama za maandamano na kilichotokea.na hoja kubwa ilikuwa kutekwa na kuuliwa Kwa watu serikali ya Samia imefanya nini?
 
Leo nimemsikilza tena dada ghost wa Taifa anasema eti anasononeka analia eti watu wamekufa? serious?

Kaanza kuwadanganya mabwege ohhh tokeni sana tokeni sana jeshi na polisi lipo na nyie na wamemhahakikishia lipo kuunga maandamano, lipo na nyie asilimia 100% haya mmetoka kama misukule jeshi limeunga mkono uharibu? haya ohhh eti anatumiwa meseji na wanajeshi kibao wapo wapi? yaani kweli line ya mange ndo imekuwa hotline ya majeshi yetu kweli? ahaaa ahaaaa aisee nacheka huku nawaonea huruma watu waliiooza ubongo wasiotumia muda kufikiria

2. Mara leo kaja na oghhhooo turudi barabarani tutashinda tutashinda mara bado masa 2 tu nimehakikishiwa haya toka tarehe 30 hayo masaa 2 yapo wapi? waliomua nani? wanaoteseka na kupanda bei ya vitu nani? mwendo kasi zimechomwa nani atatumia mwendokasi yeye? Samia anatumia mwendokasi ? Mwiguli au Rostam wanatumia mwendokasi ? ahaaa aisee tunahitaji tiba ya akili yeye mwenyewe yupo kwenye gari lake sasahivi

3. Ohhh FBI wamemualert ? kweli ? Jmani yule dada ni muongo sijawahi kuona waache kumpa alert Trump wakati wa kampeni wamempe Mange? kwa utaratibu wa marekani ni district sherif ndo angalau wangemtonya sio FBI , FBI wanadeal na Federal Investigation mazeee matukio provinvial police wameshindwa alert sio federal threat jamani kwa nini Wa tz hatujiongezi ?
4. Kesho anakuja na story ya mara jeshi lipo hivi lipo vile kwani alikuwa hajui kabla ? hawakumwambia in advance formation ilivyo ? kama hawakumwambia alikuwa anaongea na nani sasa mama ntilie wa jeshini au muuza madafu jeshini?
5 Leo anakuja na story eti anaongea na G NZ wa nchi nzima wanasema watarudi barabarani, jamani kweli Number ya mange GNZ milioni 55 wana number yake ? enheeee eneheeeee kweli ? bado shule za kata hazijatukomboa kifikra , Haya anashawishi tena next week mrudi barabarani , ingieni mtanikumbuka

USHAURI NI MUDA WA KUJIONGEZA KUDAI MABADILIKO KWA NJIA SAHIHI NA YA AMANI KUITISHA OPEN DIALOGUE MAANDAMANO NA FUJO HAMTOBOI NGO , NARUDIA OPEN DIALOGUE TU

..njia za amani zimeshatumika tangu mwaka 1992 Tume ya Jaji Mkuu Nyalali alipotoa ripoti yake na Ccm wametia pamba masikioni.
 
mwaka 2015 tulichemka sana kususia rasimu ya warioba leo tungeshakuwa na katiba mpya waliosusia mnawajua, na hata kesho nguvu ikitumika hamna suluhu kamwe

..Ccm walipitisha Katiba pendekezwa lakini hata hiyo wakaitupa kwenye pipa la taka.

..Mwaka jana Ccm wamepitisha sheria ya Tume Huru ya uchaguzi, lakini wamekataa kubadilisha tume iliyokuwepo.
 
Back
Top Bottom