Ujumbe maalum kwa Watanzania wanaomsikiliza na kumuamini Mange Kimambi

You guys should find another way to manipulate people..
watu saivi wana smartphone hadi sitimbi huko ( washukuriwe watoa mikopo ya simu) hata kilaza wa mwisho akipata habari A na habari B anaziweka kwenye mzani na kupata ukweli, mtapata tabu sana safari hii 😃
 
Ngosha , Hapa cha kufanya ni wananchi humu humu ndani ya vyama kufanya mapinduzi tupate viongozi wasafi wa vyama, Kama chadema walivyoweza kumtoa Mbowe na Wenje waliochukua rushwa CCM akachukua uongozi Tundu lisu pale walifanya mapinduzi makubwa ya kumtoa mwamba.

2. Pili hata CCM tuwekeze kuwapindua wanamtandao na kuwaweka ccm waadilifu ndo maana mimi zaidi ya mara 100 nimemlilia sana polepole lakini siwezi kushauri kuandamana kwa ajili yake. tumdai kwa njia sahihi.

CCM ilifanikiwa kujivua gamba 2015 pale pale Magufuli alipokufa mabeyo Bashiri na Diwani wangesimamia asiiingie mtandao yaani humo CCM wapo wachache wasafi na vijana wasafi wasio na hela tuwachangie wachukue nafasi, mbona miaka hiyo tuliwachangia sana vichana machachari wa chadema hawana hela wakashindana na vigogo wa ccm wenye hela na tulishinda ila wamekuja tuangusha vibaya mno na kutuaibisha kaka zao, David silinde, Joshua Nasari siku akibisha nitaweka hapa risiti 2012 nimewachangia 10M nimeiona hiyo risiti juzi juzi, bado michango kibao ya 2- 5 M karibu kila operation , kwa hiyo mapinduzi tufanye halali ndani ya vyama vyote visafi, CCM chadema zaidi zaidi kufanya mapinduzi humo humo ndani ya CCM , Nani alijua magufuli angewabadilikia WANA CCM MAJIZI ? Na awamu ya pili alikuwa anaenda kuwafunga kweli kweli, Nani alijua Yusuf Manji angepunguzwa nguvu na habinder seth? kwa hiyo ni njia ngumu lakini ndo yenye uhakika maandamano ni vifo vya watotot wa kimaskini tu na inanisikitisha zaidi MASIKINI SANA POLISI ANENDA KUMUUA MASIKINI SANA MWANDAMANAJI, POLISI TAJIRI yaani mwenye cheo anaagiza tu na MWANASIASA TAJIRI MENYE MAAMUZI ANAAGIZA TU POLISI UENI, MFANYABIASHARA TAJIRI WOTE WAPO KWENYE TV ULINZI MKALI AU VACATION NJE mpka uchafu upite
Mapinduzi yapi kama vyama vya upinzani viongozi wake wanahangaishwa kila siku na kupewa kesi za hovyo?. Huko chama tawala wenye akili hawatakiwi wanatakiwa machawa yaan watu wenye mawazo mgando ... Ukijitokeza ukemee unapotezwa kama polepole ama unauliwa .. Kwa hali kama hii utawambembeleza hao watu mpaka lini maana kwa njia ya amani hawataki maridhiano.
 
Leo nimemsikilza tena dada ghost wa Taifa anasema eti anasononeka analia eti watu wamekufa? serious?

Kaanza kuwadanganya mabwege ohhh tokeni sana tokeni sana jeshi na polisi lipo na nyie na wamemhahakikishia lipo kuunga maandamano, lipo na nyie asilimia 100% haya mmetoka kama misukule jeshi limeunga mkono uharibu? haya ohhh eti anatumiwa meseji na wanajeshi kibao wapo wapi? yaani kweli line ya mange ndo imekuwa hotline ya majeshi yetu kweli? ahaaa ahaaaa aisee nacheka huku nawaonea huruma watu waliiooza ubongo wasiotumia muda kufikiria

2. Mara leo kaja na oghhhooo turudi barabarani tutashinda tutashinda mara bado masa 2 tu nimehakikishiwa haya toka tarehe 30 hayo masaa 2 yapo wapi? waliomua nani? wanaoteseka na kupanda bei ya vitu nani? mwendo kasi zimechomwa nani atatumia mwendokasi yeye? Samia anatumia mwendokasi ? Mwiguli au Rostam wanatumia mwendokasi ? ahaaa aisee tunahitaji tiba ya akili yeye mwenyewe yupo kwenye gari lake sasahivi

3. Ohhh FBI wamemualert ? kweli ? Jmani yule dada ni muongo sijawahi kuona waache kumpa alert Trump wakati wa kampeni wamempe Mange? kwa utaratibu wa marekani ni district sherif ndo angalau wangemtonya sio FBI , FBI wanadeal na Federal Investigation mazeee matukio provinvial police wameshindwa alert sio federal threat jamani kwa nini Wa tz hatujiongezi ?
4. Kesho anakuja na story ya mara jeshi lipo hivi lipo vile kwani alikuwa hajui kabla ? hawakumwambia in advance formation ilivyo ? kama hawakumwambia alikuwa anaongea na nani sasa mama ntilie wa jeshini au muuza madafu jeshini?
5 Leo anakuja na story eti anaongea na G NZ wa nchi nzima wanasema watarudi barabarani, jamani kweli Number ya mange GNZ milioni 55 wana number yake ? enheeee eneheeeee kweli ? bado shule za kata hazijatukomboa kifikra , Haya anashawishi tena next week mrudi barabarani , ingieni mtanikumbuka

USHAURI NI MUDA WA KUJIONGEZA KUDAI MABADILIKO KWA NJIA SAHIHI NA YA AMANI KUITISHA OPEN DIALOGUE MAANDAMANO NA FUJO HAMTOBOI NGO , NARUDIA OPEN DIALOGUE TU
Mange haongei uongo yote anayosema huenda YANA ukweli

Anyway waliouwa na yeye msemaji wapi watu wabaya?
 
USHAURI NI MUDA WA KUJIONGEZA KUDAI MABADILIKO KWA NJIA SAHIHI NA YA AMANI KUITISHA OPEN DIALOGUE MAANDAMANO NA FUJO HAMTOBOI NGO , NARUDIA OPEN DIALOGUE TU
Open dialogue na nani?
Nani akuruhusu ufanye hilo??

Maandamano kama ya juzi ni ngumu na tutapoteza ndugu wengi zaidi, hiyo yako ya open dialogue hapa sio Ulaya ni bongo.

Labda figisu, propaganda, elimu ya kujitambua na wapinzani kuungana.
 
Mtu kama Maria Sarungi aliogopa hata kuja Kumzika Baba yake mzazi Leo anakuambia utoke nje kuandamana ile Hali yeye amejifungia na basha wake Nairobi uko,

Maandamano tunayojua ni ya Kuona Viongozi front kama Kipindi kile Raila Amolo odinga alivyokuwa anakuwa front sio watu wako Sweden, Marekani, Canada wamejifungia ndani then wanahamasisha Vurugu Kwa personal interest zao tu
 
Open dialogue na nani?
Nani akuruhusu ufanye hilo??

Maandamano kama ya juzi ni ngumu na tutapoteza ndugu wengi zaidi, hiyo yako ya open dialogue hapa sio Ulaya ni bongo.

Labda figisu, propaganda, elimu ya kujitambua na wapinzani kuungana.
Kuungna ingekuwa njia nzuri sana shida huwa wanatuuza sana , mimi bado nina uchungu mno na 2015 ebu cheki ukawa ilivyokuwa na nguvu halafu ghafla Slaa na Lipumba wakawauza wapinzani, na baada ya pale nyie mashahidi walivyogeuka wengi muhimu tukabe hivi hivi tuwaite wanaharakati wa hoja kama akina ananilea nkya, yule bibi Kijo, Warioba, shivji na wengine wengi LISU heche watamshika kwa muda lakini watamwachia tu hawana namna na via sasa hivi tuwekeze vyuoni , chadema ya 2005 to 2015 waliibua sana vipaji vyuoni
 
Mimi siyo muumin wa maandamano na hizo open dialogue!

Kama Zanzibar wangeandamana kumtoa Karume Snr uhakika angestaafia madarakani.
 
Hivi kweli tumeshindwa kabisa kumeeliminate Mange tunaacha anatuharibia Taifa
 
Kuungna ingekuwa njia nzuri sana shida huwa wanatuuza sana , mimi bado nina uchungu mno na 2015 ebu cheki ukawa ilivyokuwa na nguvu halafu ghafla Slaa na Lipumba wakawauza wapinzani, na baada ya pale nyie mashahidi walivyogeuka wengi muhimu tukabe hivi hivi tuwaite wanaharakati wa hoja kama akina ananilea nkya, yule bibi Kijo, Warioba, shivji na wengine wengi LISU heche watamshika kwa muda lakini watamwachia tu hawana namna na via sasa hivi tuwekeze vyuoni , chadema ya 2005 to 2015 waliibua sana vipaji vyuoni
Wajaribu walichofanya 2015, pamoja na kukosa uraisi ila walipata viti vingi bungeni.

Ila mambo ya maandamano haya, hata mimi siyaafiki ni risk, tunaua watu wasio na hatia, tunaharibu mali zetu na za umma, na mbaya zaidi ni wananchi vs majeshi yote ya ulinzi na usalama, likishindwa hili linaingia lile.

Wakifanya kama 2015 hata huko kwenye vyombo vikubwa vya maamuzi ya nchi watakua na watu, ila hii ya kumobilize wananchi waende front ni kuwaua.
 
Leo nimemsikilza tena dada ghost wa Taifa anasema eti anasononeka analia eti watu wamekufa? serious?

Kaanza kuwadanganya mabwege ohhh tokeni sana tokeni sana jeshi na polisi lipo na nyie na wamemhahakikishia lipo kuunga maandamano, lipo na nyie asilimia 100% haya mmetoka kama misukule jeshi limeunga mkono uharibu? haya ohhh eti anatumiwa meseji na wanajeshi kibao wapo wapi? yaani kweli line ya mange ndo imekuwa hotline ya majeshi yetu kweli? ahaaa ahaaaa aisee nacheka huku nawaonea huruma watu waliiooza ubongo wasiotumia muda kufikiria

2. Mara leo kaja na oghhhooo turudi barabarani tutashinda tutashinda mara bado masa 2 tu nimehakikishiwa haya toka tarehe 30 hayo masaa 2 yapo wapi? waliomua nani? wanaoteseka na kupanda bei ya vitu nani? mwendo kasi zimechomwa nani atatumia mwendokasi yeye? Samia anatumia mwendokasi ? Mwiguli au Rostam wanatumia mwendokasi ? ahaaa aisee tunahitaji tiba ya akili yeye mwenyewe yupo kwenye gari lake sasahivi

3. Ohhh FBI wamemualert ? kweli ? Jmani yule dada ni muongo sijawahi kuona waache kumpa alert Trump wakati wa kampeni wamempe Mange? kwa utaratibu wa marekani ni district sherif ndo angalau wangemtonya sio FBI , FBI wanadeal na Federal Investigation mazeee matukio provinvial police wameshindwa alert sio federal threat jamani kwa nini Wa tz hatujiongezi ?

4. Kesho anakuja na story ya mara jeshi lipo hivi lipo vile kwani alikuwa hajui kabla ? hawakumwambia in advance formation ilivyo ? kama hawakumwambia alikuwa anaongea na nani sasa mama ntilie wa jeshini au muuza madafu jeshini?

5. Leo anakuja na story eti anaongea na G NZ wa nchi nzima wanasema watarudi barabarani, jamani kweli Number ya mange GNZ milioni 55 wana number yake ? enheeee eneheeeee kweli ? bado shule za kata hazijatukomboa kifikra , Haya anashawishi tena next week mrudi barabarani , ingieni mtanikumbuka

USHAURI NI MUDA WA KUJIONGEZA KUDAI MABADILIKO KWA NJIA SAHIHI NA YA AMANI KUITISHA OPEN DIALOGUE MAANDAMANO NA FUJO HAMTOBOI NGO , NARUDIA OPEN DIALOGUE TU
Unamwambia nani nenda kamwambie mwenyewe usijifanye mshauri kwenye hamna alert!
 
Kuna muda nashindwa kuwalaumu wa Tz wenzangu maana wamekua ni watu rahisi sana kushawishika hasa kupitia hawa watu wenye influence kubwa mitandaoni, na huwa wanaangalia comments nyingi zinauelekeo gani na wao wanakaa uelekeo huohuo bila kujipa muda kutafakari.

We huwezi kudanganywa na Mange na Sativa kuwa jeshi litakua upande wako eti nendeni mkachome vituo vya mafuta, mara chomeni vituo vya polisi na wewe unaenda ukiamini jeshi liko upande wako , kilichotokea ni maafa, nimesikitika sana.
 
Shida sio Mange, shida imetengenezwa na utawala uliopo sasa. Mange asingepata wafuasi kama vitu alivyoongea watu wanajionea wazi wazi.
Ili Mange awe ni muongo ni mchochezi basi warudisheni uraiani watu wote ambao wamepotea katika mazingira ya kutatanisha (kutekwa)

Mfumo wa uchaguzi ungebadilishwa ungekuwa wenye uwazi, haki na vyombo vya kusimamia uchaguzi ungekuwa huru usiocungamana na upande wowote.

Isingetumika nguvu za dola kupambana na chama cha upinzani chenye nguvu na ushawishi bali mngepingana kwa hoja sio kuwekana magerezani na kutekana hovyo.

La mwisho kuna watu ambao hawakuwa katika maandamano ila wameuliwa tena wengine ni machawa kabisa. Sijui hilo hamlijui?
 
Hayo ndo matokeo ya uchochezi wa maandamano yaliyojaa uhalifu.
 
Bila ya Kinjekitile Ngwale kusema risasi za Mjerumani zitakuwa ni maji kitu ambacho kilikuwa ni uongo, Babu zetu wasingeingia vitani kupambana na mkoloni.

Kwahiyo sometimes watu dizaini ya Kinjekitile na Mange huwa wanatokea na kubadilisha mambo.
... Kinjeketile Kimambi!
😅
 
Yaliyotokea lowe somo kwa vijana kutowasikiliza wapotoshaji
 
Back
Top Bottom