Maandamano ni ujinga? Je maandamano ni sababu moja wapo ya kuondoa uhai wa mwanadamu?Yule dada mshenzi Mungu atamlaani kwa alichofanya. Damu za watoto wa kimaskini zitamlilia, aliwajaza ujinga watoto wa watu. Cha ajabu wanaharakati wote hakuna hata mmoja aliyeandamana
Yule dada mshenzi Mungu atamlaani kwa alichofanya. Damu za watoto wa kimaskini zitamlilia, aliwajaza ujinga watoto wa watu. Cha ajabu wanaharakati wote hakuna hata mmoja aliyeandamana
Yule dada mshenzi Mungu atamlaani kwa alichofanya. Damu za watoto wa kimaskini zitamlilia, aliwajaza ujinga watoto wa watu. Cha ajabu wanaharakati wote hakuna hata mmoja aliyeandamana
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Fact broo nyumbu huwambii kitu kwa mheshimiwa Mange Kimambi halafu kana akili ndogo sana maandamano yali lack leadership na malengo mfano Samia aki quit nani anashika nchi wazee wa keyboard hawakumuuliza Mange hili.
Na wewe si ulisema hakuna m tz mwenye uwezo wa kuandamana hata kidogo ni waoga?Hayo ndo matokeo ya uchochezi wa maandamano yaliyojaa uhalifu.
Hakukua na maandamano kulikua na uhalifu nyie vibaka wenye njaa mlitumia fursa kuiba na kuharibu mali na mwisho kusababisha watu wasio na hatia kuwawaNa wewe si ulisema hakuna m tz mwenye uwezo wa kuandamana hata kidogo ni waoga?
Mwandiko wako unakutambulisha kuwa wewe ni toilet paper kichambio cha bi mashavu wa Kizimkazi fala wLeo nimemsikilza tena dada ghost wa Taifa anasema eti anasononeka analia eti watu wamekufa? serious?
Waliowaomba waandamane kwa amani mkawakatalia, mkawafunga wenye ushawishi ili ushawishi wao ukome, bahati hamkujua hasira waliyonayo wananchi.Hakukua na maandamano kulikua na uhalifu nyie vibaka wenye njaa mlitumia fursa kuiba na kuharibu mali na mwisho kusababisha watu wasio na hatia kuwawa
Nyumbu wewe
Umesoma jinsi jamaa walivyoratibu mpango kazi wao mpaka wakafanikiwa?Mimi siyo muumin wa maandamano na hizo open dialogue!
Kama Zanzibar wangeandamana kumtoa Karume Snr uhakika angestaafia madarakani.
Wapimwe DNA hawa labda wako related.😄... Kinjeketile Kimambi!
😅
Umeongea kwa weledi mkubwa..👍Bila ya Kinjekitile Ngwale kusema risasi za Mjerumani zitakuwa ni maji kitu ambacho kilikuwa ni uongo, Babu zetu wasingeingia vitani kupambana na mkoloni.
Kwahiyo sometimes watu dizaini ya Kinjekitile na Mange huwa wanatokea na kubadilisha mambo.
Open dialogue kwa nchi za africa huwezi kutoboa uliona kilicho tokea kenya 2008 mpk 2010 ndio wakapata katiba mpya .Leo nimemsikilza tena dada ghost wa Taifa anasema eti anasononeka analia eti watu wamekufa? serious?
Kaanza kuwadanganya mabwege ohhh tokeni sana tokeni sana jeshi na polisi lipo na nyie na wamemhahakikishia lipo kuunga maandamano, lipo na nyie asilimia 100% haya mmetoka kama misukule jeshi limeunga mkono uharibu? haya ohhh eti anatumiwa meseji na wanajeshi kibao wapo wapi? yaani kweli line ya mange ndo imekuwa hotline ya majeshi yetu kweli? ahaaa ahaaaa aisee nacheka huku nawaonea huruma watu waliiooza ubongo wasiotumia muda kufikiria
2. Mara leo kaja na oghhhooo turudi barabarani tutashinda tutashinda mara bado masa 2 tu nimehakikishiwa haya toka tarehe 30 hayo masaa 2 yapo wapi? waliomua nani? wanaoteseka na kupanda bei ya vitu nani? mwendo kasi zimechomwa nani atatumia mwendokasi yeye? Samia anatumia mwendokasi ? Mwiguli au Rostam wanatumia mwendokasi ? ahaaa aisee tunahitaji tiba ya akili yeye mwenyewe yupo kwenye gari lake sasahivi
3. Ohhh FBI wamemualert ? kweli ? Jmani yule dada ni muongo sijawahi kuona waache kumpa alert Trump wakati wa kampeni wamempe Mange? kwa utaratibu wa marekani ni district sherif ndo angalau wangemtonya sio FBI , FBI wanadeal na Federal Investigation mazeee matukio provinvial police wameshindwa alert sio federal threat jamani kwa nini Wa tz hatujiongezi ?
4. Kesho anakuja na story ya mara jeshi lipo hivi lipo vile kwani alikuwa hajui kabla ? hawakumwambia in advance formation ilivyo ? kama hawakumwambia alikuwa anaongea na nani sasa mama ntilie wa jeshini au muuza madafu jeshini?
5. Leo anakuja na story eti anaongea na G NZ wa nchi nzima wanasema watarudi barabarani, jamani kweli Number ya mange GNZ milioni 55 wana number yake ? enheeee eneheeeee kweli ? bado shule za kata hazijatukomboa kifikra , Haya anashawishi tena next week mrudi barabarani , ingieni mtanikumbuka
USHAURI NI MUDA WA KUJIONGEZA KUDAI MABADILIKO KWA NJIA SAHIHI NA YA AMANI KUITISHA OPEN DIALOGUE MAANDAMANO NA FUJO HAMTOBOI NGO , NARUDIA OPEN DIALOGUE TU