Ujumbe maalum wa tahadhari kwa Maaskofu na waumini wa KKKT

mhuogomkavu

Senior Member
Joined
Jun 23, 2017
Posts
116
Reaction score
102
KWA MUDA MREFU NIMEKUWA KATIKA SHUHUDA KWA WATU, NDANI NA NJE YA NCHI KUHUSU MWENENDO WA KANISA LETU, VIONGOZI WETU KATIKA KANISA NA HATA KUHUBIRI MAMBO AMBAYO KWAYO, KKKT LIMELELEWA MIAKA MINGI ILIYOPITA.

SISHANGAI MABADILIKO NDANI YA KANISA, ILA MABADILIKO YANAPOKIUKA MISINGI YA DINI, IMANI, MAADILI NA MAFUNDISHO YAPASA KUYAKEMEA BILA KUPEPESA MACHO.

NIMEWAHI KUSEMA JUU YA MWENENDO WA MCHUNGAJI WANGU *SAMWEL PALLANGYO* AMBAYE KWA SASA ANATAKA KULICHAFUA KANISA KWA SABABU ANATAKA KUWA ‘YUDA’. AMESHAWISHI KONGAMANO LIFANYIKE TAREHE 29/12/2019 NA LITASHIRIKISHA NDUGU ZAKE WALIOMPA FEDHA.
KANISA LINAPOAMUA KUFANYA BIASHARA ZA NAMNA HII, LINAHARIBU TASWIRA YA KANISA LA KIKRISTO KWA UJUMLA.

BABA ASKOFU DKT. SHOO UPO, KWA NINI YEYE AFANYE VIKAO VYA SIRI VYA KUTAKA MAGEUZI NDANI YA KANISA NA NCHI BILA MAASKOFU WOTE KUFAHAMU JAMBO HILI? JE HARIDHISHWI NA MKUTANO MKUU WA KANISA AU HALMASHAURI KUU? TUNAPOKUTANA MAKUMIRA NA KUYAJADILI MAMBO YETU KATIKA KANISA MBONA HUWA HAYASEMI AMBAYO MOYO WAKE UNAYATAKA? URATIBU WA MAMBO KWA NJIA ZA SIRI KULIHUSISHA KANISA LENYE UONGOZI JE, SI SHAMBI HIYO?
KWA AMBAO BADO HAMJASHIRIKISHWA, JIANDAENI.

ANALITUMIKIA KANISA NA ANATUMIKIA CHAMA CHA SIASA KUPITIA KANISA. ANALIPWA FEDHA, ANASHAWISHI WAUMINI MMOJA MMOJA. MIONGONI MWETU TUNALAZIMISHWA KWA SABABU FULANI FULANI BILA KUJALI KWAMBA KANISANI WAPO WAUMINI WA VYAMA MBALIMBALI.

ANAHIMIZA KUFUATA MSIMAMO WA CHAMA CHA SIASA AMBACHO KATIBU WAKE MKUU AMEMUAGIZA AHAKIKISHE KKKT INAUNGA MKONO BAADHI YA MAMBO YAO, KAMA SIO YOTE.

KWA WALIOZALIWA KABLA YANGU, SIAMINI KATIKA MTAZAMO HUU. KAMA MUNGU ALIPANGA JAMBO KUTOKEA, LITATOKEA. BINADAMU KULAZIMISHA MAMBO NI ISHARA MBAYA HASA MBELE YA MADHABABU.

JOHN MNYIKA ANAPOANZA KUTOA MAELEKEZO NDANI YA KANISA LA KKKT TENA KUPITIA MCHUNGANI AMBAYE YUPO CHINI YA VIONGOZI WAKUU WA KANISA KATIKA NGAZI YA USHARIKA, JIMBO NA DAYOSISI NI ISHARA KWAMBA TUNA WATU AMBAO WANAWEZA KULITUMIA KANISA KUTUVURUGA.

HEBU TUKUMBUKE KIKAO CHETU CHA MWISHO PALE MAKUMIRA, BABA ASKOFU UTANISAIDIA, MAENEO AMBAYO WENGI WALIYAPIGIA KELELE NI MIGOGORO NDANI YA KANISA.

BILA KUJADILI ATHARI ZAKE, SAMWELI ANAINGIA NADHIRI YA KUYATUMIA MADHABAHU KWA AJILI YA KUTAKASA FEDHA AMBAZO ZITALETWA KANSANI KWA KAZI ZA KAISARI. MUNGU TUMPE YAKE NA KAISARI TUMPE YAKE.

SISI TULIO KATIKA KANISA TUNA WAJIBU WA KUOMBA AMANI, UTULIVU NA MSHIKAMANO WAKATI WOTE. MIGAWANYIKO SI JADI YETU, ONENI KAZI TUNAYOPATA KATIKA MAENEO YENYE MIGOGORO KATIKA KANISA LETU LA KKKT. HATA MUNGU AKISHUKA LEO, ANAWEZA KUTUHUKUMU KWELI KWELI.

MADAI YA KISIASA YAKIANZA KUINGIA KANISANI TUTAWAGAWA WATU. HUWEZI KUINGIA KATIKA IBADA YA TAREHE 1/1/2020 NA KUSEMA “SASA TUNATANGAZA RASMI KUWA TUNATAKA TUME HURU YA UCHAGUZI”.

KANISA LINA VIPAUMBELE VYAKE, NA VYAMA VYA KISIASA VINA VIPAUMBELE VYAKE. TUJIKITE KATIKA DHAMIRA ZA KIROHO KULIKO DHAMIRA ZA KIMWILI.

HATA WARAKA TUNAOSHIRIKI KUUANDAA KAMA KANISA,TUNAWEZA JITIA DOA JEKUNDU KATIKA VAZI LA THELUJI. TAREHE 1/1/2020 UWE MWANZO MWEMA WA MWAKA 2020 LAKINI ENDAPO TUTAKUBALI KUTUMIKA, TUTAHARIBU KANISA.

NAWASIHI SANA VIONGOZI WETU WOTE KATIKA NGAZI MBALIMBALI: WAKUU SHARIKA ZETU, MAJIMBO, DAYOSISI, MKUTANO MKUU NA HALMASHAURI KUU HEBU MWAKA 2020 UWE MWAKA WA MAPATANO NDANI YA KANISA NA SIO MIGAWANYIKO.

TUTUNZE NADHIRI KATIKA KAZI YETU YA KANISA ILI NEEMA ZA MWENYEZI MUNGU ZISHUKE KWETU NA VIZAZI VYETU, SASA NA HATA MILELE.

MUNGU AWABARIKI!

_MSHARIKA MWENZENU, KKKT - USHARIKA WA ARUSHA MJINI_
 
Mmh!mambo ya kanisa unaleta JF.sawa ahsante kwa mtazamo lakin kura ya mtu ni siri.Hakuna KKKT anayelazimishwa kuwa CDM wala CCM wala chama chochote.Huo uzushi peleka huko lumumba.
Wanachofanya maaskofu ni kukemea uovu iwe kwenye chama chochote.Lengo ni kuona nchi inaenda mbele.Bila kuua,kuteka,kutesa,kubakiza kesi wengine n.k
NB:sijui kwa nini umeandika kwa herufi kubwa.Au ndo kuonesha msisitizo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kanisa haliwezi kusema kuwa sasa tunataa tume huru ya uchaguzi halafu unasema tuombe amani amani inatoka wapi kama kuna uonevu kwenye mfumo wa uchaguzi?
Katika suala la uchaguzi wa Tanzania kanisa linaguswa moja kwa moja kupitia kauli hii"UCHAGUZI USIFANYIKE JUMAPILI."kwa kuwa tume inaamini kila mtu ni mroma katoliki ataenda misa saa12 saa1 yuko mtaani anazurura wakati wengine wanafanya ibada tangia saa1 asubuhi hadi jion.Kwa nini isiwe J3?

Kanisa linawajibu wa kuhakikisha kila jambo lolote la dhuruma ndani ya nchi hii linakemewa.Hii ipo enzi na enzi tangia enzi za waamuzi hadi wafalme,manabii hadi mitume hadi kwa makanisa ya leo.Kama wewe ni msomaji wa Biblia basi utajua namna Eliya alivyopambana na watawala waovu.Au Eliya Hakuwa kama uliyonayo.

ingekuwa vema ungeandika kuwa suala hili watukie hekima kubwa kuliweka kwa umaa kuliko kuwatisha kuwa sijui chokochokochoko....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba nikujuze tu kwa hali ya sasa ya kisiasa nchini inatisha mnooo, na kama sio tu uvumilivu wa Watanzania ambao Mungu katujalia sasa hivi tungekua tunajadiri habari nyingine kabisa.

Aliyepaswa kuisimamia haki ndiye anayepokonya haki za wengine. Je ni nani atamkemea? Waache viongozi wa dini wawakemee na wawambie ukweli. Ukisema vipaumbele vya kanisa vifuatwe, nitashangaa kama amani, utulivu na haki itakua sio kipaumbele cha kanisa. Au vipaumbele vyenu ni makusanyo ya sadaka na kufungua miradi ya kanisa?

Mmekariri kuwa wenye kuonywa ni wazinzi na waasherati tu? Kwenye makanisa Huko ndiko kwa sasa kuna upenyo wa kufikisha ujumbe kwa Viongozi wakubwa.
 
1/1/2020 NA KUSEMA “SASA TUNATANGAZA RASMI KUWA TUNATAKA TUME HURU YA UCHAGUZI”.
Kuwa na tume huru ya uchaguzi ni dhambi kanisani kwenu?

Kama ni kweli mchungaji Samuel anafanya kazi ya kuwaelimisha waumini 'mtu kwa mtu' juu ya athari zinazoenezwa na utawala uliopo madarakani, inafaa CHADEMA wamshukuru sana kwa kuwasaidia kufanya kazi hiyo wanayopaswa kuifanya wao.

Mchungaji Samuel aongeze bidii.

Kuna mengi ya kipuuzi uliyoandika huko juu, lakini hilo hapo linakuonyesha wazi wewe ni mpumbavu!
 
KWA MUDA MREFU NIMEKUWA KATIKA SHUHUDA KWA WATU, NDANI NA NJE YA NCHI KUHUSU MWENENDO WA KANISA LETU, VIONGOZI WETU KATIKA KANISA NA HATA KUHUBIRI MAMBO AMBAYO KWAYO, KKKT LIMELELEWA MIAKA MINGI ILIYOPITA.

JOHN MNYIKA ANAPOANZA KUTOA MAELEKEZO NDANI YA KANISA LA KKKT TENA KUPITIA MCHUNGANI AMBAYE YUPO CHINI YA VIONGOZI WAKUU WA KANISA KATIKA NGAZI YA USHARIKA, JIMBO NA DAYOSISI NI ISHARA KWAMBA TUNA WATU AMBAO WANAWEZA KULITUMIA KANISA KUTUVURUGA.
Duh...!
Kumbe...
Ndio maana chama fulani kimeshika majimbo fulani maeneo ya KKKT predominantly areas!
Kumbe mambo yenyewe ni haya!.
Hili ni angalizo zuri, na litasaidia sana!.
Tena litatusaidia kwasababu kikawaida kule juu kabisa, akiwa Mkristu huwa ni lazima awe Mkatoliki, sasa hawa KKKT wanavyo anza kujiorganize hivi, wanapaswa kuishia huku huku chini kwenye ubunge tuu, sasa wakiingia tamaa na wao wakatamani kule juu itakuwaje?!. Bora hili tumelijua mapema na huu ndio uzalendo wenyewe wa kweli kwa taifa lako.
P
 
KWA MUDA MREFU NIMEKUWA KATIKA SHUHUDA KWA WATU, NDANI NA NJE YA NCHI KUHUSU MWENENDO WA KANISA LETU, VIONGOZI WETU KATIKA KANISA NA HATA KUHUBIRI MAMBO AMBAYO KWAYO, KKKT LIMELELEWA MIAKA MINGI ILIYOPITA.

SISHANGAI MABADILIKO NDANI YA KANISA, ILA MABADILIKO YANAPOKIUKA MISINGI YA DINI, IMANI, MAADILI NA MAFUNDISHO YAPASA KUYAKEMEA BILA KUPEPESA MACHO.

NIMEWAHI KUSEMA JUU YA MWENENDO WA MCHUNGAJI WANGU *SAMWEL PALLANGYO* AMBAYE KWA SASA ANATAKA KULICHAFUA KANISA KWA SABABU ANATAKA KUWA ‘YUDA’. AMESHAWISHI KONGAMANO LIFANYIKE TAREHE 29/12/2019 NA LITASHIRIKISHA NDUGU ZAKE WALIOMPA FEDHA.
KANISA LINAPOAMUA KUFANYA BIASHARA ZA NAMNA HII, LINAHARIBU TASWIRA YA KANISA LA KIKRISTO KWA UJUMLA.

BABA ASKOFU DKT. SHOO UPO, KWA NINI YEYE AFANYE VIKAO VYA SIRI VYA KUTAKA MAGEUZI NDANI YA KANISA NA NCHI BILA MAASKOFU WOTE KUFAHAMU JAMBO HILI? JE HARIDHISHWI NA MKUTANO MKUU WA KANISA AU HALMASHAURI KUU? TUNAPOKUTANA MAKUMIRA NA KUYAJADILI MAMBO YETU KATIKA KANISA MBONA HUWA HAYASEMI AMBAYO MOYO WAKE UNAYATAKA? URATIBU WA MAMBO KWA NJIA ZA SIRI KULIHUSISHA KANISA LENYE UONGOZI JE, SI SHAMBI HIYO?
KWA AMBAO BADO HAMJASHIRIKISHWA, JIANDAENI.

ANALITUMIKIA KANISA NA ANATUMIKIA CHAMA CHA SIASA KUPITIA KANISA. ANALIPWA FEDHA, ANASHAWISHI WAUMINI MMOJA MMOJA. MIONGONI MWETU TUNALAZIMISHWA KWA SABABU FULANI FULANI BILA KUJALI KWAMBA KANISANI WAPO WAUMINI WA VYAMA MBALIMBALI.

ANAHIMIZA KUFUATA MSIMAMO WA CHAMA CHA SIASA AMBACHO KATIBU WAKE MKUU AMEMUAGIZA AHAKIKISHE KKKT INAUNGA MKONO BAADHI YA MAMBO YAO, KAMA SIO YOTE.

KWA WALIOZALIWA KABLA YANGU, SIAMINI KATIKA MTAZAMO HUU. KAMA MUNGU ALIPANGA JAMBO KUTOKEA, LITATOKEA. BINADAMU KULAZIMISHA MAMBO NI ISHARA MBAYA HASA MBELE YA MADHABABU.

JOHN MNYIKA ANAPOANZA KUTOA MAELEKEZO NDANI YA KANISA LA KKKT TENA KUPITIA MCHUNGANI AMBAYE YUPO CHINI YA VIONGOZI WAKUU WA KANISA KATIKA NGAZI YA USHARIKA, JIMBO NA DAYOSISI NI ISHARA KWAMBA TUNA WATU AMBAO WANAWEZA KULITUMIA KANISA KUTUVURUGA.

HEBU TUKUMBUKE KIKAO CHETU CHA MWISHO PALE MAKUMIRA, BABA ASKOFU UTANISAIDIA, MAENEO AMBAYO WENGI WALIYAPIGIA KELELE NI MIGOGORO NDANI YA KANISA.

BILA KUJADILI ATHARI ZAKE, SAMWELI ANAINGIA NADHIRI YA KUYATUMIA MADHABAHU KWA AJILI YA KUTAKASA FEDHA AMBAZO ZITALETWA KANSANI KWA KAZI ZA KAISARI. MUNGU TUMPE YAKE NA KAISARI TUMPE YAKE.

SISI TULIO KATIKA KANISA TUNA WAJIBU WA KUOMBA AMANI, UTULIVU NA MSHIKAMANO WAKATI WOTE. MIGAWANYIKO SI JADI YETU, ONENI KAZI TUNAYOPATA KATIKA MAENEO YENYE MIGOGORO KATIKA KANISA LETU LA KKKT. HATA MUNGU AKISHUKA LEO, ANAWEZA KUTUHUKUMU KWELI KWELI.

MADAI YA KISIASA YAKIANZA KUINGIA KANISANI TUTAWAGAWA WATU. HUWEZI KUINGIA KATIKA IBADA YA TAREHE 1/1/2020 NA KUSEMA “SASA TUNATANGAZA RASMI KUWA TUNATAKA TUME HURU YA UCHAGUZI”.

KANISA LINA VIPAUMBELE VYAKE, NA VYAMA VYA KISIASA VINA VIPAUMBELE VYAKE. TUJIKITE KATIKA DHAMIRA ZA KIROHO KULIKO DHAMIRA ZA KIMWILI.

HATA WARAKA TUNAOSHIRIKI KUUANDAA KAMA KANISA,TUNAWEZA JITIA DOA JEKUNDU KATIKA VAZI LA THELUJI. TAREHE 1/1/2020 UWE MWANZO MWEMA WA MWAKA 2020 LAKINI ENDAPO TUTAKUBALI KUTUMIKA, TUTAHARIBU KANISA.

NAWASIHI SANA VIONGOZI WETU WOTE KATIKA NGAZI MBALIMBALI: WAKUU SHARIKA ZETU, MAJIMBO, DAYOSISI, MKUTANO MKUU NA HALMASHAURI KUU HEBU MWAKA 2020 UWE MWAKA WA MAPATANO NDANI YA KANISA NA SIO MIGAWANYIKO.

TUTUNZE NADHIRI KATIKA KAZI YETU YA KANISA ILI NEEMA ZA MWENYEZI MUNGU ZISHUKE KWETU NA VIZAZI VYETU, SASA NA HATA MILELE.

MUNGU AWABARIKI!

_MSHARIKA MWENZENU, KKKT - USHARIKA WA ARUSHA MJINI_
KWAHIYO KAMA WEWE HUTAKI TUME HURU YA UCHAGUZI SI UHAME KANISA AU MADHEHEBU?
MBONA UNAONEKANA WAZI AMA UNATUMIWA AU NI ADUI WA HAKI!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh...!
Kumbe...
Ndio maana chama fulani kimeshika majimbo fulani maeneo ya KKKT predominantly areas!
Kumbe mambo yenyewe ni haya!.
Hili ni angalizo zuri, na litasaidia sana!.
Tena litatusaidia kwasababu kikawaida kule juu kabisa, akiwa Mkristu huwa ni lazima awe Mkatoliki, sasa hawa KKKT wanavyo anza kujiorganize hivi, wanapaswa kuishia huku huku chini kwenye ubunge tuu, sasa wakiingia tamaa na wao wakatamani kule juu itakuwaje?!. Bora hili tumelijua mapema na huu ndio uzalendo wenyewe wa kweli kwa taifa lako.
P

Mkuu mbona kama huu
Tena litatusaidia kwasababu kikawaida kule juu kabisa, akiwa Mkristu huwa ni lazima awe Mkatoliki, sasa hawa KKKT wanavyo anza kujiorganize hivi, wanapaswa kuishia huku huku chini kwenye ubunge tuu, sasa
 
Back
Top Bottom