Vipi wangekuwa ccm ungeleta haya? Lumumba on workKWA MUDA MREFU NIMEKUWA KATIKA SHUHUDA KWA WATU, NDANI NA NJE YA NCHI KUHUSU MWENENDO WA KANISA LETU, VIONGOZI WETU KATIKA KANISA NA HATA KUHUBIRI MAMBO AMBAYO KWAYO, KKKT LIMELELEWA MIAKA MINGI ILIYOPITA.
SISHANGAI MABADILIKO NDANI YA KANISA, ILA MABADILIKO YANAPOKIUKA MISINGI YA DINI, IMANI, MAADILI NA MAFUNDISHO YAPASA KUYAKEMEA BILA KUPEPESA MACHO.
NIMEWAHI KUSEMA JUU YA MWENENDO WA MCHUNGAJI WANGU *SAMWEL PALLANGYO* AMBAYE KWA SASA ANATAKA KULICHAFUA KANISA KWA SABABU ANATAKA KUWA ‘YUDA’. AMESHAWISHI KONGAMANO LIFANYIKE TAREHE 29/12/2019 NA LITASHIRIKISHA NDUGU ZAKE WALIOMPA FEDHA.
KANISA LINAPOAMUA KUFANYA BIASHARA ZA NAMNA HII, LINAHARIBU TASWIRA YA KANISA LA KIKRISTO KWA UJUMLA.
BABA ASKOFU DKT. SHOO UPO, KWA NINI YEYE AFANYE VIKAO VYA SIRI VYA KUTAKA MAGEUZI NDANI YA KANISA NA NCHI BILA MAASKOFU WOTE KUFAHAMU JAMBO HILI? JE HARIDHISHWI NA MKUTANO MKUU WA KANISA AU HALMASHAURI KUU? TUNAPOKUTANA MAKUMIRA NA KUYAJADILI MAMBO YETU KATIKA KANISA MBONA HUWA HAYASEMI AMBAYO MOYO WAKE UNAYATAKA? URATIBU WA MAMBO KWA NJIA ZA SIRI KULIHUSISHA KANISA LENYE UONGOZI JE, SI SHAMBI HIYO?
KWA AMBAO BADO HAMJASHIRIKISHWA, JIANDAENI.
ANALITUMIKIA KANISA NA ANATUMIKIA CHAMA CHA SIASA KUPITIA KANISA. ANALIPWA FEDHA, ANASHAWISHI WAUMINI MMOJA MMOJA. MIONGONI MWETU TUNALAZIMISHWA KWA SABABU FULANI FULANI BILA KUJALI KWAMBA KANISANI WAPO WAUMINI WA VYAMA MBALIMBALI.
ANAHIMIZA KUFUATA MSIMAMO WA CHAMA CHA SIASA AMBACHO KATIBU WAKE MKUU AMEMUAGIZA AHAKIKISHE KKKT INAUNGA MKONO BAADHI YA MAMBO YAO, KAMA SIO YOTE.
KWA WALIOZALIWA KABLA YANGU, SIAMINI KATIKA MTAZAMO HUU. KAMA MUNGU ALIPANGA JAMBO KUTOKEA, LITATOKEA. BINADAMU KULAZIMISHA MAMBO NI ISHARA MBAYA HASA MBELE YA MADHABABU.
JOHN MNYIKA ANAPOANZA KUTOA MAELEKEZO NDANI YA KANISA LA KKKT TENA KUPITIA MCHUNGANI AMBAYE YUPO CHINI YA VIONGOZI WAKUU WA KANISA KATIKA NGAZI YA USHARIKA, JIMBO NA DAYOSISI NI ISHARA KWAMBA TUNA WATU AMBAO WANAWEZA KULITUMIA KANISA KUTUVURUGA.
HEBU TUKUMBUKE KIKAO CHETU CHA MWISHO PALE MAKUMIRA, BABA ASKOFU UTANISAIDIA, MAENEO AMBAYO WENGI WALIYAPIGIA KELELE NI MIGOGORO NDANI YA KANISA.
BILA KUJADILI ATHARI ZAKE, SAMWELI ANAINGIA NADHIRI YA KUYATUMIA MADHABAHU KWA AJILI YA KUTAKASA FEDHA AMBAZO ZITALETWA KANSANI KWA KAZI ZA KAISARI. MUNGU TUMPE YAKE NA KAISARI TUMPE YAKE.
SISI TULIO KATIKA KANISA TUNA WAJIBU WA KUOMBA AMANI, UTULIVU NA MSHIKAMANO WAKATI WOTE. MIGAWANYIKO SI JADI YETU, ONENI KAZI TUNAYOPATA KATIKA MAENEO YENYE MIGOGORO KATIKA KANISA LETU LA KKKT. HATA MUNGU AKISHUKA LEO, ANAWEZA KUTUHUKUMU KWELI KWELI.
MADAI YA KISIASA YAKIANZA KUINGIA KANISANI TUTAWAGAWA WATU. HUWEZI KUINGIA KATIKA IBADA YA TAREHE 1/1/2020 NA KUSEMA “SASA TUNATANGAZA RASMI KUWA TUNATAKA TUME HURU YA UCHAGUZI”.
KANISA LINA VIPAUMBELE VYAKE, NA VYAMA VYA KISIASA VINA VIPAUMBELE VYAKE. TUJIKITE KATIKA DHAMIRA ZA KIROHO KULIKO DHAMIRA ZA KIMWILI.
HATA WARAKA TUNAOSHIRIKI KUUANDAA KAMA KANISA,TUNAWEZA JITIA DOA JEKUNDU KATIKA VAZI LA THELUJI. TAREHE 1/1/2020 UWE MWANZO MWEMA WA MWAKA 2020 LAKINI ENDAPO TUTAKUBALI KUTUMIKA, TUTAHARIBU KANISA.
NAWASIHI SANA VIONGOZI WETU WOTE KATIKA NGAZI MBALIMBALI: WAKUU SHARIKA ZETU, MAJIMBO, DAYOSISI, MKUTANO MKUU NA HALMASHAURI KUU HEBU MWAKA 2020 UWE MWAKA WA MAPATANO NDANI YA KANISA NA SIO MIGAWANYIKO.
TUTUNZE NADHIRI KATIKA KAZI YETU YA KANISA ILI NEEMA ZA MWENYEZI MUNGU ZISHUKE KWETU NA VIZAZI VYETU, SASA NA HATA MILELE.
MUNGU AWABARIKI!
_MSHARIKA MWENZENU, KKKT - USHARIKA WA ARUSHA MJINI_
Ndugu yangu Pasco hapa umeandika mambo ya kijinga na kipumbavu.Duh...!
Kumbe...
Ndio maana chama fulani kimeshika majimbo fulani maeneo ya KKKT predominantly areas!
Kumbe mambo yenyewe ni haya!.
Hili ni angalizo zuri, na litasaidia sana!.
Tena litatusaidia kwasababu kikawaida kule juu kabisa, akiwa Mkristu huwa ni lazima awe Mkatoliki, sasa hawa KKKT wanavyo anza kujiorganize hivi, wanapaswa kuishia huku huku chini kwenye ubunge tuu, sasa wakiingia tamaa na wao wakatamani kule juu itakuwaje?!. Bora hili tumelijua mapema na huu ndio uzalendo wenyewe wa kweli kwa taifa lako.
P
Kwamba mkirsto akiwa kule juu lazima awe mkatoliki? Imeandikwa wapi hiyo? Mkuu mbona akili zako siyo zile ninazozifahamu? Huo ni udini na ubaguzi wa waziwazi. Shame on you.Duh...!
Kumbe...
Ndio maana chama fulani kimeshika majimbo fulani maeneo ya KKKT predominantly areas!
Kumbe mambo yenyewe ni haya!.
Hili ni angalizo zuri, na litasaidia sana!.
Tena litatusaidia kwasababu kikawaida kule juu kabisa, akiwa Mkristu huwa ni lazima awe Mkatoliki, sasa hawa KKKT wanavyo anza kujiorganize hivi, wanapaswa kuishia huku huku chini kwenye ubunge tuu, sasa wakiingia tamaa na wao wakatamani kule juu itakuwaje?!. Bora hili tumelijua mapema na huu ndio uzalendo wenyewe wa kweli kwa taifa lako.
P
Mkuu Zanzibar ASP, jf tuko kwenye full freedom of expression, mtu una ji express your opinions freely bila kujali your opinions itamfurahisha nani au itamuydhi nani, au kama opinions zako zitakujengea hadhi na kulupa heshima au zitakufanya unyoshewe kidole na kudharauliwa.Ndugu yangu Pasco hapa umeandika mambo ya kijinga na kipumbavu.
Kwa uandishi wako huu unajishushia hadhi, utaishia kudharauliwa na kunyoshewa kidole. Umekuwa mwandishi wa kipropaganda sana. Jirekebishe sasa brother
Kama ilivyokuwa kwa issue ya kukamatwa kwa Eric Kabendera, ambapo wanaJF wengi wanakulaumu kwa wewe kuhusika na hilo kwa 90%, subiri na hili pia kukutwa na lawama.
Huyu jamaa sikujua kuwa ana akili za hovyo namna hii, ukatoliki au ukkkt utakupeleka wapi? Mtu abaki kwenye iman yake na kutenda yale yaliyo mema, Suala la kuanza kuona dhehebu fulani ni bora kuliko la mwingine ni upuuzi wa kiwango cha juu.Ndugu yangu Pasco hapa umeandika mambo ya kijinga na kipumbavu.
Kwa uandishi wako huu unajishushia hadhi, utaishia kudharauliwa na kunyoshewa kidole. Umekuwa mwandishi wa kipropaganda sana. Jirekebishe sasa brother
Kama ilivyokuwa kwa issue ya kukamatwa kwa Eric Kabendera, ambapo wanaJF wengi wanakulaumu kwa wewe kuhusika na hilo kwa 90%, subiri na hili pia kukutwa na lawama.
😏Duh...!
Kumbe...
Ndio maana chama fulani kimeshika majimbo fulani maeneo ya KKKT predominantly areas!
Kumbe mambo yenyewe ni haya!.
Hili ni angalizo zuri, na litasaidia sana!.
Tena litatusaidia kwasababu kikawaida kule juu kabisa, akiwa Mkristu huwa ni lazima awe Mkatoliki, sasa hawa KKKT wanavyo anza kujiorganize hivi, wanapaswa kuishia huku huku chini kwenye ubunge tuu, sasa wakiingia tamaa na wao wakatamani kule juu itakuwaje?!. Bora hili tumelijua mapema na huu ndio uzalendo wenyewe wa kweli kwa taifa lako.
P
Kwamba mkirsto akiwa kule juu lazima awe mkatoliki? Imeandikwa wapi hiyo? Mkuu mbona akili zako siyo zile ninazozifahamu? Huo ni udini na ubaguzi wa waziwazi. Shame on you.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo wewe kilichokuudhi ni kudai Tume huru ya uchaguzi?KWA MUDA MREFU NIMEKUWA KATIKA SHUHUDA KWA WATU, NDANI NA NJE YA NCHI KUHUSU MWENENDO WA KANISA LETU, VIONGOZI WETU KATIKA KANISA NA HATA KUHUBIRI MAMBO AMBAYO KWAYO, KKKT LIMELELEWA MIAKA MINGI ILIYOPITA.
SISHANGAI MABADILIKO NDANI YA KANISA, ILA MABADILIKO YANAPOKIUKA MISINGI YA DINI, IMANI, MAADILI NA MAFUNDISHO YAPASA KUYAKEMEA BILA KUPEPESA MACHO.
NIMEWAHI KUSEMA JUU YA MWENENDO WA MCHUNGAJI WANGU *SAMWEL PALLANGYO* AMBAYE KWA SASA ANATAKA KULICHAFUA KANISA KWA SABABU ANATAKA KUWA ‘YUDA’. AMESHAWISHI KONGAMANO LIFANYIKE TAREHE 29/12/2019 NA LITASHIRIKISHA NDUGU ZAKE WALIOMPA FEDHA.
KANISA LINAPOAMUA KUFANYA BIASHARA ZA NAMNA HII, LINAHARIBU TASWIRA YA KANISA LA KIKRISTO KWA UJUMLA.
BABA ASKOFU DKT. SHOO UPO, KWA NINI YEYE AFANYE VIKAO VYA SIRI VYA KUTAKA MAGEUZI NDANI YA KANISA NA NCHI BILA MAASKOFU WOTE KUFAHAMU JAMBO HILI? JE HARIDHISHWI NA MKUTANO MKUU WA KANISA AU HALMASHAURI KUU? TUNAPOKUTANA MAKUMIRA NA KUYAJADILI MAMBO YETU KATIKA KANISA MBONA HUWA HAYASEMI AMBAYO MOYO WAKE UNAYATAKA? URATIBU WA MAMBO KWA NJIA ZA SIRI KULIHUSISHA KANISA LENYE UONGOZI JE, SI SHAMBI HIYO?
KWA AMBAO BADO HAMJASHIRIKISHWA, JIANDAENI.
ANALITUMIKIA KANISA NA ANATUMIKIA CHAMA CHA SIASA KUPITIA KANISA. ANALIPWA FEDHA, ANASHAWISHI WAUMINI MMOJA MMOJA. MIONGONI MWETU TUNALAZIMISHWA KWA SABABU FULANI FULANI BILA KUJALI KWAMBA KANISANI WAPO WAUMINI WA VYAMA MBALIMBALI.
ANAHIMIZA KUFUATA MSIMAMO WA CHAMA CHA SIASA AMBACHO KATIBU WAKE MKUU AMEMUAGIZA AHAKIKISHE KKKT INAUNGA MKONO BAADHI YA MAMBO YAO, KAMA SIO YOTE.
KWA WALIOZALIWA KABLA YANGU, SIAMINI KATIKA MTAZAMO HUU. KAMA MUNGU ALIPANGA JAMBO KUTOKEA, LITATOKEA. BINADAMU KULAZIMISHA MAMBO NI ISHARA MBAYA HASA MBELE YA MADHABABU.
JOHN MNYIKA ANAPOANZA KUTOA MAELEKEZO NDANI YA KANISA LA KKKT TENA KUPITIA MCHUNGANI AMBAYE YUPO CHINI YA VIONGOZI WAKUU WA KANISA KATIKA NGAZI YA USHARIKA, JIMBO NA DAYOSISI NI ISHARA KWAMBA TUNA WATU AMBAO WANAWEZA KULITUMIA KANISA KUTUVURUGA.
HEBU TUKUMBUKE KIKAO CHETU CHA MWISHO PALE MAKUMIRA, BABA ASKOFU UTANISAIDIA, MAENEO AMBAYO WENGI WALIYAPIGIA KELELE NI MIGOGORO NDANI YA KANISA.
BILA KUJADILI ATHARI ZAKE, SAMWELI ANAINGIA NADHIRI YA KUYATUMIA MADHABAHU KWA AJILI YA KUTAKASA FEDHA AMBAZO ZITALETWA KANSANI KWA KAZI ZA KAISARI. MUNGU TUMPE YAKE NA KAISARI TUMPE YAKE.
SISI TULIO KATIKA KANISA TUNA WAJIBU WA KUOMBA AMANI, UTULIVU NA MSHIKAMANO WAKATI WOTE. MIGAWANYIKO SI JADI YETU, ONENI KAZI TUNAYOPATA KATIKA MAENEO YENYE MIGOGORO KATIKA KANISA LETU LA KKKT. HATA MUNGU AKISHUKA LEO, ANAWEZA KUTUHUKUMU KWELI KWELI.
MADAI YA KISIASA YAKIANZA KUINGIA KANISANI TUTAWAGAWA WATU. HUWEZI KUINGIA KATIKA IBADA YA TAREHE 1/1/2020 NA KUSEMA “SASA TUNATANGAZA RASMI KUWA TUNATAKA TUME HURU YA UCHAGUZI”.
KANISA LINA VIPAUMBELE VYAKE, NA VYAMA VYA KISIASA VINA VIPAUMBELE VYAKE. TUJIKITE KATIKA DHAMIRA ZA KIROHO KULIKO DHAMIRA ZA KIMWILI.
HATA WARAKA TUNAOSHIRIKI KUUANDAA KAMA KANISA,TUNAWEZA JITIA DOA JEKUNDU KATIKA VAZI LA THELUJI. TAREHE 1/1/2020 UWE MWANZO MWEMA WA MWAKA 2020 LAKINI ENDAPO TUTAKUBALI KUTUMIKA, TUTAHARIBU KANISA.
NAWASIHI SANA VIONGOZI WETU WOTE KATIKA NGAZI MBALIMBALI: WAKUU SHARIKA ZETU, MAJIMBO, DAYOSISI, MKUTANO MKUU NA HALMASHAURI KUU HEBU MWAKA 2020 UWE MWAKA WA MAPATANO NDANI YA KANISA NA SIO MIGAWANYIKO.
TUTUNZE NADHIRI KATIKA KAZI YETU YA KANISA ILI NEEMA ZA MWENYEZI MUNGU ZISHUKE KWETU NA VIZAZI VYETU, SASA NA HATA MILELE.
MUNGU AWABARIKI!
_MSHARIKA MWENZENU, KKKT - USHARIKA WA ARUSHA MJINI_
Kama unasema ivyo na Lowassa aliyefika mpaka uwaziri Mkuuu, yeye ni KKKT. Apo vip? Au ulizungumzia uraisiDuh...!
Kumbe...
Ndio maana chama fulani kimeshika majimbo fulani maeneo ya KKKT predominantly areas!
Kumbe mambo yenyewe ni haya!.
Hili ni angalizo zuri, na litasaidia sana!.
Tena litatusaidia kwasababu kikawaida kule juu kabisa, akiwa Mkristu huwa ni lazima awe Mkatoliki, sasa hawa KKKT wanavyo anza kujiorganize hivi, wanapaswa kuishia huku huku chini kwenye ubunge tuu, sasa wakiingia tamaa na wao wakatamani kule juu itakuwaje?!. Bora hili tumelijua mapema na huu ndio uzalendo wenyewe wa kweli kwa taifa lako.
P
Kama huamini, John Mnyika yupo Mwanza anaendelea na KKKT huko. Anaharibu kanisa.Duh...!
Kumbe...
Ndio maana chama fulani kimeshika majimbo fulani maeneo ya KKKT predominantly areas!
Kumbe mambo yenyewe ni haya!.
Hili ni angalizo zuri, na litasaidia sana!.
Tena litatusaidia kwasababu kikawaida kule juu kabisa, akiwa Mkristu huwa ni lazima awe Mkatoliki, sasa hawa KKKT wanavyo anza kujiorganize hivi, wanapaswa kuishia huku huku chini kwenye ubunge tuu, sasa wakiingia tamaa na wao wakatamani kule juu itakuwaje?!. Bora hili tumelijua mapema na huu ndio uzalendo wenyewe wa kweli kwa taifa lako.
P
Kuna Zaidi Ya Hilo Bila Shaka!!!Kama huamini, John Mnyika yupo Mwanza anaendelea na KKKT huko. Anaharibu kanisa.
KWA MUDA MREFU NIMEKUWA KATIKA SHUHUDA KWA WATU, NDANI NA NJE YA NCHI KUHUSU MWENENDO WA KANISA LETU, VIONGOZI WETU KATIKA KANISA NA HATA KUHUBIRI MAMBO AMBAYO KWAYO, KKKT LIMELELEWA MIAKA MINGI ILIYOPITA.
SISHANGAI MABADILIKO NDANI YA KANISA, ILA MABADILIKO YANAPOKIUKA MISINGI YA DINI, IMANI, MAADILI NA MAFUNDISHO YAPASA KUYAKEMEA BILA KUPEPESA MACHO.
NIMEWAHI KUSEMA JUU YA MWENENDO WA MCHUNGAJI WANGU *SAMWEL PALLANGYO* AMBAYE KWA SASA ANATAKA KULICHAFUA KANISA KWA SABABU ANATAKA KUWA ‘YUDA’. AMESHAWISHI KONGAMANO LIFANYIKE TAREHE 29/12/2019 NA LITASHIRIKISHA NDUGU ZAKE WALIOMPA FEDHA.
KANISA LINAPOAMUA KUFANYA BIASHARA ZA NAMNA HII, LINAHARIBU TASWIRA YA KANISA LA KIKRISTO KWA UJUMLA.
BABA ASKOFU DKT. SHOO UPO, KWA NINI YEYE AFANYE VIKAO VYA SIRI VYA KUTAKA MAGEUZI NDANI YA KANISA NA NCHI BILA MAASKOFU WOTE KUFAHAMU JAMBO HILI? JE HARIDHISHWI NA MKUTANO MKUU WA KANISA AU HALMASHAURI KUU? TUNAPOKUTANA MAKUMIRA NA KUYAJADILI MAMBO YETU KATIKA KANISA MBONA HUWA HAYASEMI AMBAYO MOYO WAKE UNAYATAKA? URATIBU WA MAMBO KWA NJIA ZA SIRI KULIHUSISHA KANISA LENYE UONGOZI JE, SI SHAMBI HIYO?
KWA AMBAO BADO HAMJASHIRIKISHWA, JIANDAENI.
ANALITUMIKIA KANISA NA ANATUMIKIA CHAMA CHA SIASA KUPITIA KANISA. ANALIPWA FEDHA, ANASHAWISHI WAUMINI MMOJA MMOJA. MIONGONI MWETU TUNALAZIMISHWA KWA SABABU FULANI FULANI BILA KUJALI KWAMBA KANISANI WAPO WAUMINI WA VYAMA MBALIMBALI.
ANAHIMIZA KUFUATA MSIMAMO WA CHAMA CHA SIASA AMBACHO KATIBU WAKE MKUU AMEMUAGIZA AHAKIKISHE KKKT INAUNGA MKONO BAADHI YA MAMBO YAO, KAMA SIO YOTE.
KWA WALIOZALIWA KABLA YANGU, SIAMINI KATIKA MTAZAMO HUU. KAMA MUNGU ALIPANGA JAMBO KUTOKEA, LITATOKEA. BINADAMU KULAZIMISHA MAMBO NI ISHARA MBAYA HASA MBELE YA MADHABABU.
JOHN MNYIKA ANAPOANZA KUTOA MAELEKEZO NDANI YA KANISA LA KKKT TENA KUPITIA MCHUNGANI AMBAYE YUPO CHINI YA VIONGOZI WAKUU WA KANISA KATIKA NGAZI YA USHARIKA, JIMBO NA DAYOSISI NI ISHARA KWAMBA TUNA WATU AMBAO WANAWEZA KULITUMIA KANISA KUTUVURUGA.
HEBU TUKUMBUKE KIKAO CHETU CHA MWISHO PALE MAKUMIRA, BABA ASKOFU UTANISAIDIA, MAENEO AMBAYO WENGI WALIYAPIGIA KELELE NI MIGOGORO NDANI YA KANISA.
BILA KUJADILI ATHARI ZAKE, SAMWELI ANAINGIA NADHIRI YA KUYATUMIA MADHABAHU KWA AJILI YA KUTAKASA FEDHA AMBAZO ZITALETWA KANSANI KWA KAZI ZA KAISARI. MUNGU TUMPE YAKE NA KAISARI TUMPE YAKE.
SISI TULIO KATIKA KANISA TUNA WAJIBU WA KUOMBA AMANI, UTULIVU NA MSHIKAMANO WAKATI WOTE. MIGAWANYIKO SI JADI YETU, ONENI KAZI TUNAYOPATA KATIKA MAENEO YENYE MIGOGORO KATIKA KANISA LETU LA KKKT. HATA MUNGU AKISHUKA LEO, ANAWEZA KUTUHUKUMU KWELI KWELI.
MADAI YA KISIASA YAKIANZA KUINGIA KANISANI TUTAWAGAWA WATU. HUWEZI KUINGIA KATIKA IBADA YA TAREHE 1/1/2020 NA KUSEMA “SASA TUNATANGAZA RASMI KUWA TUNATAKA TUME HURU YA UCHAGUZI”.
KANISA LINA VIPAUMBELE VYAKE, NA VYAMA VYA KISIASA VINA VIPAUMBELE VYAKE. TUJIKITE KATIKA DHAMIRA ZA KIROHO KULIKO DHAMIRA ZA KIMWILI.
HATA WARAKA TUNAOSHIRIKI KUUANDAA KAMA KANISA,TUNAWEZA JITIA DOA JEKUNDU KATIKA VAZI LA THELUJI. TAREHE 1/1/2020 UWE MWANZO MWEMA WA MWAKA 2020 LAKINI ENDAPO TUTAKUBALI KUTUMIKA, TUTAHARIBU KANISA.
NAWASIHI SANA VIONGOZI WETU WOTE KATIKA NGAZI MBALIMBALI: WAKUU SHARIKA ZETU, MAJIMBO, DAYOSISI, MKUTANO MKUU NA HALMASHAURI KUU HEBU MWAKA 2020 UWE MWAKA WA MAPATANO NDANI YA KANISA NA SIO MIGAWANYIKO.
TUTUNZE NADHIRI KATIKA KAZI YETU YA KANISA ILI NEEMA ZA MWENYEZI MUNGU ZISHUKE KWETU NA VIZAZI VYETU, SASA NA HATA MILELE.
MUNGU AWABARIKI!
_MSHARIKA MWENZENU, KKKT - USHARIKA WA ARUSHA MJINI_
Kuna mtu kakuandikia au ni wewe mwenyewe???!!! Ukianza kusoma alichoandika mleta mada hata kabla hujamaliza unagundua kwamba ametumwa au amejituma kubashiri kitakachosemwa na viongozi wa KKKT kama salamu za mwaka mpya. Nia ya bandiko lake ni ku discredit salamu hizo kabla hazijatoka ili zikitoka zionekane hazina uhalali, naamini hata wewe utakua umeliona hilo ila umeamua tu kwa manufaa yako au yenu kujifanya hujaliona. Mwanzoni nilidhani post zako unaandika irony( kinyumenyume) lakini kadri siku zinavyokwenda unanipa mashaka na unayemtumikia. Kwa kifupi watanzania sio wajinga kiasi hicho kushindwa kujua uhuni unaofanywa na watu aina ya mleta mada.Duh...!