Ujumbe maalum wa tahadhari kwa Maaskofu na waumini wa KKKT

Ujumbe maalum wa tahadhari kwa Maaskofu na waumini wa KKKT

Taratibu mkuu. Heb jaribu kuishi kwenye nchi nyingine za kiafrica.
Jaribu kuishi SA, Uganda, Kenya, Ethiopia, Congo, Rwanda, Msumbiji, Nigeria, Senegal , Cameroon au hata Libya na ukipenda angalia nchi nyingine kama china, Rusia, Iran, Saud Arabia, Mexico na nchi kibao za ulaya then ndo uje hapa kuandika unayoandika.
Ni wazi kuwa wanachofanya hawa maaskofu ni uharibifu wa nchi na ni utovu mkubwa wa nidham. Inaweza kuleta kiama kwa kanisa. Inaweza kuleta mvurugano ndan ya kanisa.

Usidhan KKKT lina wanachadema tu. Wapo pia wana CCM. CCM nayo ikiamua kuwatumia wanachama wake effective ndan ya Kanisa unadhan nn kitatokea. Kanisa litavurugika hilo..
Mtoa mada anaongea kwa akili pana na uelewa mpana wa mambo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Dk Malasusa kapata msukosuko sana kwa kukataa uhuni wa kina Dk Choo kuifanya KKKT kitengo cha chadema.
 
P
Siyo kweli mkuu mambo mengi uliyoyaelezea ni yametokea by coincidences not deliberately, tuendelelee kudumisha upendo mshikamano na utaifa miongoni mwetu, dini, ukanda, na vyama

Kuna haja ya kurudisha matembezi ya mshikamano kama ilivyokuwa mwanzoni mwa miaka ya 1990
 
Dk Malasusa kapata msukosuko sana kwa kukataa uhuni wa kina Dk Choo kuifanya KKKT kitengo cha chadema.
Siyo kweli Dr. Malasusa ana tuhuma za uzinzi, nakulinajisi kanisa. humu Kuna thread nyingi zimeandika mapungufu yake. Hivyo salama yake ni kuwaangukia watawala ili asichafuke, pengine kupelekwa mahakamani,
 
KWA MUDA MREFU NIMEKUWA KATIKA SHUHUDA KWA WATU, NDANI NA NJE YA NCHI KUHUSU MWENENDO WA KANISA LETU, VIONGOZI WETU KATIKA KANISA NA HATA KUHUBIRI MAMBO AMBAYO KWAYO, KKKT LIMELELEWA MIAKA MINGI ILIYOPITA.

SISHANGAI MABADILIKO NDANI YA KANISA, ILA MABADILIKO YANAPOKIUKA MISINGI YA DINI, IMANI, MAADILI NA MAFUNDISHO YAPASA KUYAKEMEA BILA KUPEPESA MACHO.

NIMEWAHI KUSEMA JUU YA MWENENDO WA MCHUNGAJI WANGU *SAMWEL PALLANGYO* AMBAYE KWA SASA ANATAKA KULICHAFUA KANISA KWA SABABU ANATAKA KUWA ‘YUDA’. AMESHAWISHI KONGAMANO LIFANYIKE TAREHE 29/12/2019 NA LITASHIRIKISHA NDUGU ZAKE WALIOMPA FEDHA.
KANISA LINAPOAMUA KUFANYA BIASHARA ZA NAMNA HII, LINAHARIBU TASWIRA YA KANISA LA KIKRISTO KWA UJUMLA.

BABA ASKOFU DKT. SHOO UPO, KWA NINI YEYE AFANYE VIKAO VYA SIRI VYA KUTAKA MAGEUZI NDANI YA KANISA NA NCHI BILA MAASKOFU WOTE KUFAHAMU JAMBO HILI? JE HARIDHISHWI NA MKUTANO MKUU WA KANISA AU HALMASHAURI KUU? TUNAPOKUTANA MAKUMIRA NA KUYAJADILI MAMBO YETU KATIKA KANISA MBONA HUWA HAYASEMI AMBAYO MOYO WAKE UNAYATAKA? URATIBU WA MAMBO KWA NJIA ZA SIRI KULIHUSISHA KANISA LENYE UONGOZI JE, SI SHAMBI HIYO?
KWA AMBAO BADO HAMJASHIRIKISHWA, JIANDAENI.

ANALITUMIKIA KANISA NA ANATUMIKIA CHAMA CHA SIASA KUPITIA KANISA. ANALIPWA FEDHA, ANASHAWISHI WAUMINI MMOJA MMOJA. MIONGONI MWETU TUNALAZIMISHWA KWA SABABU FULANI FULANI BILA KUJALI KWAMBA KANISANI WAPO WAUMINI WA VYAMA MBALIMBALI.

ANAHIMIZA KUFUATA MSIMAMO WA CHAMA CHA SIASA AMBACHO KATIBU WAKE MKUU AMEMUAGIZA AHAKIKISHE KKKT INAUNGA MKONO BAADHI YA MAMBO YAO, KAMA SIO YOTE.

KWA WALIOZALIWA KABLA YANGU, SIAMINI KATIKA MTAZAMO HUU. KAMA MUNGU ALIPANGA JAMBO KUTOKEA, LITATOKEA. BINADAMU KULAZIMISHA MAMBO NI ISHARA MBAYA HASA MBELE YA MADHABABU.

JOHN MNYIKA ANAPOANZA KUTOA MAELEKEZO NDANI YA KANISA LA KKKT TENA KUPITIA MCHUNGANI AMBAYE YUPO CHINI YA VIONGOZI WAKUU WA KANISA KATIKA NGAZI YA USHARIKA, JIMBO NA DAYOSISI NI ISHARA KWAMBA TUNA WATU AMBAO WANAWEZA KULITUMIA KANISA KUTUVURUGA.

HEBU TUKUMBUKE KIKAO CHETU CHA MWISHO PALE MAKUMIRA, BABA ASKOFU UTANISAIDIA, MAENEO AMBAYO WENGI WALIYAPIGIA KELELE NI MIGOGORO NDANI YA KANISA.

BILA KUJADILI ATHARI ZAKE, SAMWELI ANAINGIA NADHIRI YA KUYATUMIA MADHABAHU KWA AJILI YA KUTAKASA FEDHA AMBAZO ZITALETWA KANSANI KWA KAZI ZA KAISARI. MUNGU TUMPE YAKE NA KAISARI TUMPE YAKE.

SISI TULIO KATIKA KANISA TUNA WAJIBU WA KUOMBA AMANI, UTULIVU NA MSHIKAMANO WAKATI WOTE. MIGAWANYIKO SI JADI YETU, ONENI KAZI TUNAYOPATA KATIKA MAENEO YENYE MIGOGORO KATIKA KANISA LETU LA KKKT. HATA MUNGU AKISHUKA LEO, ANAWEZA KUTUHUKUMU KWELI KWELI.

MADAI YA KISIASA YAKIANZA KUINGIA KANISANI TUTAWAGAWA WATU. HUWEZI KUINGIA KATIKA IBADA YA TAREHE 1/1/2020 NA KUSEMA “SASA TUNATANGAZA RASMI KUWA TUNATAKA TUME HURU YA UCHAGUZI”.

KANISA LINA VIPAUMBELE VYAKE, NA VYAMA VYA KISIASA VINA VIPAUMBELE VYAKE. TUJIKITE KATIKA DHAMIRA ZA KIROHO KULIKO DHAMIRA ZA KIMWILI.

HATA WARAKA TUNAOSHIRIKI KUUANDAA KAMA KANISA,TUNAWEZA JITIA DOA JEKUNDU KATIKA VAZI LA THELUJI. TAREHE 1/1/2020 UWE MWANZO MWEMA WA MWAKA 2020 LAKINI ENDAPO TUTAKUBALI KUTUMIKA, TUTAHARIBU KANISA.

NAWASIHI SANA VIONGOZI WETU WOTE KATIKA NGAZI MBALIMBALI: WAKUU SHARIKA ZETU, MAJIMBO, DAYOSISI, MKUTANO MKUU NA HALMASHAURI KUU HEBU MWAKA 2020 UWE MWAKA WA MAPATANO NDANI YA KANISA NA SIO MIGAWANYIKO.

TUTUNZE NADHIRI KATIKA KAZI YETU YA KANISA ILI NEEMA ZA MWENYEZI MUNGU ZISHUKE KWETU NA VIZAZI VYETU, SASA NA HATA MILELE.

MUNGU AWABARIKI!

_MSHARIKA MWENZENU, KKKT - USHARIKA WA ARUSHA MJINI_
Wengi wanalalamika viongozi wa Dino kiasi kanisa na kuwa wapambe wa watawala, la Mnyika ni dogo sana na hakuna tija kuliko nao wanaopewa fursa ya kukagua miradi ya taifa na kutuamninisha eti ni chaguo la mungu na lolote analoligusa hufufuka!
 
It's not an issue of beliefs, it's a fact.
P
Kwa hiyo Chadema wakimsimamisha tundu lissu na akishinda uraisi, utasema ulitabiri raisi ni mkatoliki , ametokea kanda ya kati baada ya kanda ya ziwa,

Mkuu some times Nakuona kama vile unapendaga kujifananisha na sheikh Yahaya wakati we ni mwanahabari nguli
 
Duh...!
Kumbe...
Ndio maana chama fulani kimeshika majimbo fulani maeneo ya KKKT predominantly areas!
Kumbe mambo yenyewe ni haya!.
Hili ni angalizo zuri, na litasaidia sana!.
Tena litatusaidia kwasababu kikawaida kule juu kabisa, akiwa Mkristu huwa ni lazima awe Mkatoliki, sasa hawa KKKT wanavyo anza kujiorganize hivi, wanapaswa kuishia huku huku chini kwenye ubunge tuu, sasa wakiingia tamaa na wao wakatamani kule juu itakuwaje?!. Bora hili tumelijua mapema na huu ndio uzalendo wenyewe wa kweli kwa taifa lako.
P
Mkuu nakupinga na nitaendelea kukupinga tu. We hoja zako nikutaka kuonyesha kuwa nchi hii kuna udini ukabila na ukanda, ili kukindamiza chama flani. Usichokipenda... Na kukinufaisha chama Fulani. Kinacho kulipa....

Wakatolic, waKKKT, waislamu pamoja na Dini zote ni wamoja wanachukia maovu. Wanakemea uovu, na wanaipenda nchi, na wanapenda maendeleo ya nchi yao, usitake kuwagawa kwa hoja dhaifu

haijalishi raisi ni dhehebu gani au Dini gani, hata ikitokea raisi wa awamu ya sita na saba ni mkatolic au mwislam ni sawa tu, kama atakuja na Sera tunazozikubali wananchi kwa wingi wetu, regardless anatoka chama gani,

catholics, Protestants, Muslims na Dini za kina Jericho Nyerere wote ni wamoja, hawana uchu wa madaraka kama unavyotaka tukuamini
 
Siyo kweli Dr. Malasusa ana tuhuma za uzinzi, nakulinajisi kanisa. humu Kuna thread nyingi zimeandika mapungufu yake. Hivyo salama yake ni kuwaangukia watawala ili asichafuke, pengine kupelekwa mahakamani,
Anatuhumiwa na nani?!
 
Duh...!
Kumbe...
Ndio maana chama fulani kimeshika majimbo fulani maeneo ya KKKT predominantly areas!
Kumbe mambo yenyewe ni haya!.
Hili ni angalizo zuri, na litasaidia sana!.
Tena litatusaidia kwasababu kikawaida kule juu kabisa, akiwa Mkristu huwa ni lazima awe Mkatoliki, sasa hawa KKKT wanavyo anza kujiorganize hivi, wanapaswa kuishia huku huku chini kwenye ubunge tuu, sasa wakiingia tamaa na wao wakatamani kule juu itakuwaje?!. Bora hili tumelijua mapema na huu ndio uzalendo wenyewe wa kweli kwa taifa lako.
P
Nimekubali sasa kuwa kumbe Paskali unazeeka. Tena vibaya kabisa. Inamaana Edu angelikuwa mkatoliki mngempitisha?? Haya buanaa, nyiye endeleeni kula matunda ya uhuru hivi vidini vingine viishie nyumba 10, udiwani na ubunge. Kwengine ni nyiye dini kubwa yenye lichama kubwa pia. Paskali, unazeeka vibaya. Hakuna tena uteuzi. Labda kuanzia November 2020
 
Sipendi kukulalamikia ila naomba nisikubariane na wewe kuwa mistari yako miwili ya mwisho.Kama ndio tafsiri ya uzalendo basi kuna haja ya wadaktari wa falsafa kuifafanua tena maana ya uzalendo kwa taifa naona kila mtu anatafsiri kivyake.Kwanza unatakiwa ujue hakuna mahali KKKT imedominate katika nchi hii.Iko mikoa yote kwa idadi karibia sawa ya waumini.

Pili kusema eti unapongeza kuwa mtoa mada amekuwa mzalendo kwa kuwa eti kwako umepata tafsiri kuwa KKKT wanataka urais basi na hilo unaona si uzalendo bali uzalendo ni rais kuwa mkatoliki.Basi naomba niishie hapa nisije nikaongea mabaya juu ya....

Sent using Jamii ĺ
Nimekubali sasa kuwa kumbe Paskali unazeeka. Tena vibaya kabisa. Inamaana Edu angelikuwa mkatoliki mngempitisha?? Haya buanaa, nyiye endeleeni kula matunda ya uhuru hivi vidini vingine viishie nyumba 10, udiwani na ubunge. Kwengine ni nyiye dini kubwa yenye lichama kubwa pia. Paskali, unazeeka vibaya. Hakuna tena uteuzi. Labda kuanzia November 2020
"Nasadiki kwa Mungu Baba Mwenyezi, Muamba wa Mbigu na Dunia.
Nasadiki kwa Yesu Kristo, Mwana wa Pekee wa Mungu
Nasadiki kwa Roho Mtakatifu; Bwana Mleta Uzima
Tunasadiki Kanisa moja, Takatifu, Katoliki, la Mitume".
Hivyo tunapozungumzia kanisa, kanisa haswa ni moja tuu, Takatifu, Katoliki la Mitume!.
P
 
P
Reference will never answer the question.
Standa up and produce your stand

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Nasadiki kwa Mungu Baba Mwenyezi, Muamba wa Mbigu na Dunia.
Nasadiki kwa Yesu Kristo, Mwana wa Pekee wa Mungu
Nasadiki kwa Roho Mtakatifu; Bwana Mleta Uzima
Tunasadiki Kanisa moja, Takatifu, Katoliki, la Mitume".
Hivyo tunapozungumzia kanisa, kanisa haswa ni moja tuu, Takatifu, Katoliki la Mitume!.
P
Paskali,
Kumbe weye ni mkatoliki mwenzangu?? Safi sana. Ila, tulifika mahali tukajikuta tumeenda to the extreem. Tukajiita Roman Catholic. Hapo ndipo tulipolikoroga. Kumbe tunaweza kuwa pia na Dar Catholic. Mwanza Catholic. Hivyo ukisema kuwa kanisa lipo moja tuu utakosea sana sana. Ina maana Roman Catholic sio kanisa?? Usiondoe msingi. Msingi mkuu ni RC kwisha. Mengine matawi
 
Hakuna kitu kama hicho.Unapozungumzia roman katoliki unazungumzia damu ,je mitume waliwaambiwa mwage damu?Kanisa katoliki linajiona limevaa lakin liko uchi,linajiona tajiri lakin ni masikini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Paskali,
Kumbe weye ni mkatoliki mwenzangu?? Safi sana. Ila, tulifika mahali tukajikuta tumeenda to the extreem. Tukajiita Roman Catholic. Hapo ndipo tulipolikoroga. Kumbe tunaweza kuwa pia na Dar Catholic. Mwanza Catholic. Hivyo ukisema kuwa kanisa lipo moja tuu utakosea sana sana. Ina maana Roman Catholic sio kanisa?? Usiondoe msingi. Msingi mkuu ni RC kwisha. Mengine matawi
Its true ndio maana nimeshauri tuwe na The African church
P
 
Back
Top Bottom