Kama unahusika fuata ushauri usilete mbwembwe wakati unaujuwa ukweli."Tambueni Kwamba Dunia ni kijiji na wenye Dunia yao wapo. Rejesheni hali ya kawaida."
Una utimamu kweli kwa hayo maelezo yako hapo juu,acha kujishusha bwashee
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa hakuna Makonda alietajwa. Taa ya kijani imewaka wahi haraka kama unahusika. Orodha kamili ya waliotenda kila uhalifu ipo. Tunashauri hivi ili msifike mkawapoteza hata hao wasiri ili kupoteza ushahidi. Tanzania ni muhimu kuliko maslahi ya kikundi fulani.Refu limejaa upumbavu tu,badala ya khudhuria mazishi ya shangazi zako uko moshi ,huna habari umekomaa na Makonda,shaurini Saccos yenu ya ufipa ijenge ofisi ya maana
Sent using Jamii Forums mobile app
Maneno kama haya ndiyo yanasababisha watu waone ccm ya sasa na magufuli ni wakabila na wanaopendelea kanda yaoRefu limejaa upumbavu tu,badala ya khudhuria mazishi ya shangazi zako uko moshi ,huna habari umekomaa na Makonda,shaurini Saccos yenu ya ufipa ijenge ofisi ya maana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kati ya matutusa wewe ni mojawapo, Tz tuliyoachiwa na watangulizi wetu imekuja kuwa kituko kyotokana na ushamba na ulimbukeni wa watu kama wewe! Kumbuka ni Tz kwanza na sio kikundi cha watu!Refu limejaa upumbavu tu,badala ya khudhuria mazishi ya shangazi zako uko moshi ,huna habari umekomaa na Makonda,shaurini Saccos yenu ya ufipa ijenge ofisi ya maana
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ni raia wa kawaida wa nchi hii. Nachukuwa fursa hii kutoa ujumbe wangu kwa wasaidizi wa Mh Rais wetu wote kwenye Serikali na Chama (CCM)
Historia ya nchi yetu imepata doa ndani ya miaka 4 ya utawala wa JPM hilo halina ubishi. Ama iwe ni kwa bahati mbaya, makusudi au kwa kutojuwa ni DHAHIRI Utawala huu umeshindwa kuendana na kungamua mbinu za KIDIPLOMASIA na nguvu za mataifa ya ulimwengu. Tukubali tumeshindwa kubalance mambo ili Tanzania iendelee mbele smoothly.
Niwakumbushe kwamba ni CCM hii hii imetawala awamu zilizopita na sera hizi hizi zilizokuwepo na hatukuwahi kupata doa hili. Lazima kuna tatizo mahali.
Sasa nitoe ujumbe wangu.
Mkumbuke kwamba Tanzania inaendeshwa kwa misingi ya KATIBA na Sheria, wajibu wa kufuata matakwa ya Sheria zetu hayategemei hisani ya Raisi AKISHAKUTEUWA. TENDENI kwa mujibu wa sheria.
Tambuiweni kwamba JINAI haizeeki. na Tambuweni kwamba wateule hawana KINGA. Kuna baadhi wamefanya makosa ya wazi na yameingia kwenye kumbukumbu tayari, wajibu ni kujisahihisha leo kabla ya kesho.
Tambuweni kwamba Tanzania sasa inamwilikwa kwa macho yote. Tulionya tokea Mwanzo, Jihakiki matendo yako na uchukuwe tahadhari za matendo na maneno kuepuka kuvunja sheria na katiba kwa wadhifa wowote ulionao.
Historia imeshauingiza utawala wa Rais Magufuli kwenye alama fulani, ikiwa ni nzuri nanyi mtahusishwa ma mazuri na ikiwa ni mbaya mtabeba mabaya hayo vile vile. Jipambanue sasa kwa Maslahi ya Taifa. Jipime mwenyewe kwa kiasi gani utaepuka ANGUKO LA DIPLOMASIA kwa Tanzania kwenye awamu ya tano?
Viongozi wote wa serikali na CCM mna wajibu wa kuisaidia Tanzania kama Taifa na watanzania wote, Nyinyi ndio mmeipeleka Tanzania hapa ilipo na nyinyi ndio muikwamue hapa ilipo. Mshaurini Rais achukue hatua stahiki. Wasaidizi wote na wenye dhamana ya nchi hii hasa kwenye Ulinzi na Usalama, mwambieni Rais afanye nini ili tutoke na aibu hii ya Anguko la Diplomasia ambalo halina mwisho Mwema.
Tambueni Kwamba Dunia ni kijiji na wenye Dunia yao wapo. Rejesheni hali ya kawaida.
MAMBO YA KUZINGATIWA.
Fanyeni ubunifu wa kuziba mianya ya ndani kwanza kwa kuwaweka watu wenye tofauti pamoja mkitaka anzeni na vyama vya SIASA, viongozi wa dini na wadau wa maendeleo.
Fikirieni Ajenda ya Kitaifa kwa mnasaba wa hali ilivyo na fikirieni Uzalendo shirikishi wa Kitaifa na sio Uzalendo wa Ki- CCM. Tunahitaji kutoka sasa.
CCM na Wasaidizi wa Rais mna wajibu wa kumsaidia Rais, hatutarajii mumpe mapambio ya kumvimbisha hapana, angalieni leo na kesho na angalieni makosa ya wengine hapa hapa Afrika ili liwe funzo.
Tulionya mwanzo na leo tunakumbushia, Wadau wa Tanzania ni muhimu kwenda nao sambamba. Kuanzia ndani na nje tatizo ni kujiona mko sawa kwa kila jambo.
Tafuteni tatizo mlitatue ili watanzania wawakumbuke.
Msisahau KATIBA MPYA na TUME HURU YA UCHAGUZI
Tafadhali CCM chukueni Hatua.
Kishada.
Mwenyezi Mungu hamnyimi mja wake kila kitu,kakunyima akili kakurimia ujuha.Refu limejaa upumbavu tu,badala ya khudhuria mazishi ya shangazi zako uko moshi ,huna habari umekomaa na Makonda,shaurini Saccos yenu ya ufipa ijenge ofisi ya maana
Sent using Jamii Forums mobile app
Ombi : Utoaji mimba uruhusiwe ili kuwanusuru wazazi na aibu kama huyu kijana anavyowasababishia aibu wazee wakeRefu limejaa upumbavu tu,badala ya khudhuria mazishi ya shangazi zako uko moshi ,huna habari umekomaa na Makonda,shaurini Saccos yenu ya ufipa ijenge ofisi ya maana
Sent using Jamii Forums mobile app
ULIWAHI KUWA TAHIRA?Refu limejaa upumbavu tu,badala ya khudhuria mazishi ya shangazi zako uko moshi ,huna habari umekomaa na Makonda,shaurini Saccos yenu ya ufipa ijenge ofisi ya maana
Sent using Jamii Forums mobile app
Broo muna kosea wapi kwanini munashindwa kujenga hoja unakuja na matusi fahamu kama hoja hupanguliwa kwa hoja siyo vitisho vya kuana na wala kutukanana angalia soma peji yote mzima hiyo katajwa wapi makonda???Refu limejaa upumbavu tu,badala ya khudhuria mazishi ya shangazi zako uko moshi ,huna habari umekomaa na Makonda,shaurini Saccos yenu ya ufipa ijenge ofisi ya maana
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wa aina yako ndio mlioandikiwa kwani mmejaa unafiki mioyoni mwenu na kiuhalisia ninyi wapambe ni hatari kuliko virusi vya corona! Mmejaa kusifu tu na kukurupuka kutekeleza matamko yake kimhemko ili muonekana na kuteuliwa badala ya kumshauri! Ona mnavyokurupuka kutoa hukumu za vifo kana kwamba mahakama zimefutwa kazi! Naye anawasikiliza bila kukemea upuuzi huu! Jiandaeni kuyalipa machungu yote mliyoyapamba!Refu limejaa upumbavu tu,badala ya khudhuria mazishi ya shangazi zako uko moshi ,huna habari umekomaa na Makonda,shaurini Saccos yenu ya ufipa ijenge ofisi ya maana
Sent using Jamii Forums mobile app
Achana nao wamepagawa MkuuHapa hakuna Makonda alietajwa. Taa ya kijani imewaka wahi haraka kama unahusika. Orodha kamili ya waliotenda kila uhalifu ipo. Tunashauri hivi ili msifike mkawapoteza hata hao wasiri ili kupoteza ushahidi. Tanzania ni muhimu kuliko maslahi ya kikundi fulani.