Ujumbe maalumu kwa wasaidizi wote wa Rais Magufuli na Viongozi wa CCM

Ujumbe maalumu kwa wasaidizi wote wa Rais Magufuli na Viongozi wa CCM

Kwa Wasaidizi wa Rais na wana CCM watakaopata nafasi ya kupitia uzi huu watambuwe kwamba Dhamana katika uongozi inamuandama yule aliyekuwa na nafasi fulani. Tendeni kwa mujibu wa sheria na chungeni sana ndimi zenu. Nchi kwa sasa taswira yake sio nzuri. Chukueni hatua muafaka. Huo ndio ushauri wangu ili walau hapa palipobakia pasiharibike.
 
Wana ccm ni sikio la kufa.
Ogopa kulewa madaraka na kudekezwa. CCM na watawala pamoja na jumuiya zake wamedekezwa mda mrefu na vyombo vya Dola. Wao wanadhani CCm kuongoza Serikali ndio kibali cha kuvuruga na kuvunja sheria za nchi. Matamshi na vitendo vyao vinahatarisha usal;ama wa nchi lakini nani ajali? Si polisi, si Mahkama, si Usalama. Kwanza huwezi kutenganisha vyombo hivyo na CCm, huo uthubutu wa kuwachukulia hatua utatoka wapi?
 
Back
Top Bottom