Kwa Wasaidizi wa Rais na wana CCM watakaopata nafasi ya kupitia uzi huu watambuwe kwamba Dhamana katika uongozi inamuandama yule aliyekuwa na nafasi fulani. Tendeni kwa mujibu wa sheria na chungeni sana ndimi zenu. Nchi kwa sasa taswira yake sio nzuri. Chukueni hatua muafaka. Huo ndio ushauri wangu ili walau hapa palipobakia pasiharibike.