PreGE2025 Ujumbe mfupi na wa wazi kwa Rais Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

ubongokid

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2017
Posts
2,436
Reaction score
4,756
Nimeona Jana Barua ya Kufungwa kwa kanisa la Ufufuo na Uzima la Askofu Gwajima.

Nimeona Pia Clip ya Video inayosambaa ya Kuzingirwa kwa kanisa la Ufufuo na Uzima.

Miaka 2000 iliyopita kule JUDEA jambo kama hili lilitendwa.Ndio Lilifanyika kwa YESU,likafanyika kwa mitume na wengi wakauwawa na wengi wakafa.Hivyo ww sio wa Kwanza na wala serikali yako sio ya kwanza kufanya hayo.So endelea kushikilia Hapo hapo.

Hata hivyo nikwambie tu ukweli kwamba Unapigana vita ya Kushindwa kwani Ukweli ni kwamba unachotaka kiwe hakitakuwa na unachotamani kiwe hakitakuwa.

Shehe Yahaya Hussein alishaweka hilo Wazi.Julius Nyerere aliishaweka wazi hilo,Benjamin Mkapa alishaweka wazi hilo,Jakaya Kikwete alishaweka wazi hilo na hata JPM alishaweka Wazi hilo.

Wote hao katika nyakati zao waliona na kutambua kwamba hata majivuno.hata kiburi,hata mamlaka yao yana ukomo wake.

Fahamu kwamba hao watu wote ambao unawatumia kufanya udhalimu wanaapa kwa kutumia Biblia na Misahafu na ww kama Kiongozi unafahamu Hilo.

Ngoma ya Watoto Haikeshi Jiandae.
 
Ni mtu mpumbavu tuu ndio anaweza mtishia mwingine uhai Kwa stori za kusadikika as if yeye hatokufa.

Kufa kuko pale pale na Kila mtu atakufa ila kutaka kuleta taharuki Kwa mgongo wa kanisa hakuna wa kukuvumilia Mzee..

Rais aliapa kulinda amani ya Nchi hii na ni kazi yake kuwadhibiti watu wahuni wote.
 
Ni amani ipi hiyo anayoilinda sasa, hebu tufafanulie hapo. Hao wote waliotekwa na kuuwawa walikosea nn kustahili kupokwa uhai wao
 
Back
Top Bottom