ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
NdioBado hujajibu swali, soma vizuri.
Swali lingine. Je angetumia majukwaa hayo uliyoyataja, akasema ujumbe uleule, kungekuwa na tofauti gani ?
Nimejibu ila wewe una jibu lako
NdioBado hujajibu swali, soma vizuri.
Swali lingine. Je angetumia majukwaa hayo uliyoyataja, akasema ujumbe uleule, kungekuwa na tofauti gani ?
Wa dini hawakuapa kufanya siasa makanisani na kuleta chuki na kuleta taharukiYeye aendelee kufanya kazi yake aliyoapa kuifanya kama ambavyo Viongozi wa dini wanaendelea kufanya kazi yao waliyoapa kuifanya.Kwani wasiwasi wako nini?Yeye anatimiza wajibu wake n hilo ndio la muhimu.Kwani tumesema kwamba asifanye kazi yake?Hatumfundishi kazi bali tunamkumbusha tu.
Endelea kula nyama mtori utaukuta.Ngoma ya Watoto haikeshi
Umewahi ona analeta na kuchochea chuki Kwa mamlaka?Mwamposa hafanyagi hayo? muda wenu umeisha!
Kukemea utekaji ni kufanya siasa? Au katiba iliposema kila mtu ana haki ya kuishi ilimaanisha nini. Kipi kinatangulia, uhai wa raia au siasa?Wewe unaona wanatumia majukwaa ya dini kufanya siasa wako sawa?
Inategemea unakemeaje? Mbona na wengine wanakemea ila hawajazuiwa?Kukemea utekaji ni kufanya siasa? Au katiba iliposema kila mtu ana haki ya kuishi ilimaanisha nini. Kipi kinatangulia, uhai wa raia au siasa?
Kwa akili zako zilzovia umekariri kwamba polisi na jeshi ndiyo pekee hufanya jukumu hilo?Kizazi cha Tulia wewe!Nchi inatetewaje na nani? Na wewe nenda kaitetee basi kama Gwajiboy
Kwani gwajima amekemeaje vibaya, af mwenye shida hapo ni kanisa au gwajima? Kama Rais anatumia ikulu vibaya, ikulu inafungwa au muhusika ndo anawajibishwa?Inategemea unakemeaje? Mbona na wengine wanakemea ila hawajazuiwa?
Ndio anatishia mamlakaKwani gwajima amekemeaje vibaya, af mwenye shida hapo ni kanisa au gwajima? Kama Rais anatumia ikulu vibaya, ikulu inafungwa au muhusika ndo anawajibishwa?
Kuna kiwango kinachotamkwa na katiba kuhusu ukemeaji?Inategemea unakemeaje? Mbona na wengine wanakemea ila hawajazuiwa?
Kila mtu nimjukumu lake ikiwemo weweKwa akili zako zilzovia umekariri kwamba polisi na jeshi ndiyo pekee hufanya jukumu hilo?Kizazi cha Tulia wewe!
Kwani Kila kitu kiko kwenye Katiba au sheria?Kuna kiwango kinachotamkwa na katiba kuhusu ukemeaji?
Kaitishia au kaishauri? Au tafsiri ya kutishia ni ipi?Ndio anatishia mamlaka
Sasa kwa nini iwe nongwa kwa Jose?Kila mtu nimjukumu lake ikiwemo wewe
Wauaji sio wahuni?Ni mtu mpumbavu tuu ndio anaweza mtishia mwingine uhai Kwa stori za kusadikika as if yeye hatokufa.
Kufa kuko pale pale na Kila mtu atakufa ila kutaka kuleta taharuki Kwa mgongo wa kanisa hakuna wa kukuvumilia Mzee..
Rais aliapa kulinda amani ya Nchi hii na ni kazi yake kuwadhibiti watu wahuni wote.
Inategemea anachoongeSasa kwa nini iwe nongwa kwa Jose?
Kwa hiyo CCM na wajinga wenu mnajiamulia mambo kama mpo gulioni tu?Kwani Kila kitu kiko kwenye Katiba au sheria?
Kwa hiyo?Wauaji sio wahuni?
Uzuri boss wa watekaji kajianika mwenyewe, watz wamemfahamu dunia imemjua.
Tatizi ni katiba.Kutokea hapa Watanganyika sidhani kama watakuja ruhusu tena. Mzanzibara kuongoza nchi yao.