Subira the princess
JF-Expert Member
- Mar 3, 2018
- 4,555
- 4,758
Swali zuriNi amani ipi hiyo anayoilinda sasa, hebu tufafanulie hapo. Hao wote waliotekwa na kuuwawa walikosea nn kustahili kupokwa uhai wao
Swali zuriNi amani ipi hiyo anayoilinda sasa, hebu tufafanulie hapo. Hao wote waliotekwa na kuuwawa walikosea nn kustahili kupokwa uhai wao
Utekaji gani?Utekaji na mauaji haichochei chuki mheshimiwa?
Mimi ningelikuwa Rais, ningelifanya zaidi ya zaidi ya alichofanya huyu aliyepo. Mamlaka LAZIMA ziheshimiwe!Nimeona Jana Barua ya Kufungwa kwa kanisa la Ufufuo na Uzima la Askofu Gwajima.
Nimeona Pia Clip ya Video inayosambaa ya Kuzingirwa kwa kanisa la Ufufuo na Uzima.
Miaka 2000 iliyopita kule JUDEA jambo kama hili lilitendwa.Ndio Lilifanyika kwa YESU,likafanyika kwa mitume na wengi wakauwawa na wengi wakafa.Hivyo ww sio wa Kwanza na wala serikali yako sio ya kwanza kufanya hayo.So endelea kushikilia Hapo hapo.
Hata hivyo nikwambie tu ukweli kwamba Unapigana vita ya Kushindwa kwani Ukweli ni kwamba unachotaka kiwe hakitakuwa na unachotamani kiwe hakitakuwa.
Shehe Yahaya Hussein alishaweka hilo Wazi.Julius Nyerere aliishaweka wazi hilo,Benjamin Mkapa alishaweka wazi hilo,Jakaya Kikwete alishaweka wazi hilo na hata JPM alishaweka Wazi hilo.
Wote hao katika nyakati zao waliona na kutambua kwamba hata majivuno.hata kiburi,hata mamlaka yao yana ukomo wake.
Fahamu kwamba hao watu wote ambao unawatumia kufanya udhalimu wanaapa kwa kutumia Biblia na Misahafu na ww kama Kiongozi unafahamu Hilo.
Ngoma ya Watoto Haikeshi Jiandae.
Siyo tu kuwa Rais hata mwenyekiti wa mtaaKuna kila sababu ya kwanza kuvunja muungano na pili kufukuza wazanzibar wote walioko bara na mwisho kupiga marufuku mzanzibar kuwa rais wa Muungano
Fahamu kwamba hao watu wote ambao unawatumia kufanya udhalimu wanaapa kwa kutumia Biblia na Misahafu na ww kama Kiongozi unafahamu Hilo.Nimeona Jana Barua ya Kufungwa kwa kanisa la Ufufuo na Uzima la Askofu Gwajima.
Nimeona Pia Clip ya Video inayosambaa ya Kuzingirwa kwa kanisa la Ufufuo na Uzima.
Miaka 2000 iliyopita kule JUDEA jambo kama hili lilitendwa.Ndio Lilifanyika kwa YESU,likafanyika kwa mitume na wengi wakauwawa na wengi wakafa.Hivyo ww sio wa Kwanza na wala serikali yako sio ya kwanza kufanya hayo.So endelea kushikilia Hapo hapo.
Hata hivyo nikwambie tu ukweli kwamba Unapigana vita ya Kushindwa kwani Ukweli ni kwamba unachotaka kiwe hakitakuwa na unachotamani kiwe hakitakuwa.
Shehe Yahaya Hussein alishaweka hilo Wazi.Julius Nyerere aliishaweka wazi hilo,Benjamin Mkapa alishaweka wazi hilo,Jakaya Kikwete alishaweka wazi hilo na hata JPM alishaweka Wazi hilo.
Wote hao katika nyakati zao waliona na kutambua kwamba hata majivuno.hata kiburi,hata mamlaka yao yana ukomo wake.
Fahamu kwamba hao watu wote ambao unawatumia kufanya udhalimu wanaapa kwa kutumia Biblia na Misahafu na ww kama Kiongozi unafahamu Hilo.
Ngoma ya Watoto Haikeshi Jiandae.
Nyie ndio mnaodharaulisha CCM kuonekana wanaccm hakuna 🧠 ila wana mabox ya kuoteshea nywele tuuUchunguzi unaendelea povu la nini?
Naenda kusoma ,narudiShukurani kwa kunielewa.
Link ya post ile hii hapa.
Post in thread 'Rais Samia: Tusi-gwajimanize chama chetu, Magwajima tuyaache huko nje. Ukicheza ngoma si yako lazima utaharibu' Pre GE2025 - Rais Samia: Tusi-gwajimanize chama chetu, Magwajima tuyaache huko nje. Ukicheza ngoma si yako lazima utaharibu
Wewe box lako ni la kutupia maviNyie ndio mnaodharaulisha CCM kuonekana wanaccm hakuna 🧠 ila wana mabox ya kuoteshea nywele tuu
Wakati niko chuoni miaka ya mwishoni mwa 80's (hata sijui kama ulishazaliwa au ulikuwa bado maungoni) mhadhiri wetu mmoja alikuwa na usemi anatuambia kila wakati 'never argue with a fool people might not notice the difference '.Wewe box lako ni la kutupia mavi
Wewe ni kubwa la ma foolsWakati niko chuoni miaka ya mwishoni mwa 80's (hata sijui kama ulishazaliwa au ulikuwa bado maungoni) mhadhiri wetu mmoja alikuwa na usemi anatuambia kila wakati 'never argue with a fool people might not notice the difference '.
Kwa ushauri huo naona nikutakie jioni njema.
Refer to post #131Wewe ni kubwa la ma fools
Ndugu huyu siye yule Mama Samia tunaye mfahamu ndugu.Kwanza wape ushauri wanaotaka kuleta machafuko nchini,Mh Rais ni mtaratibu mno,Hata tundu lisu alipolazwa Nairobi Rais Samia alikwenda kumuona.
Douh mauaji na utekaji tumechoka kuliaKwa nini awe anatumia kanisa kufanya siasa za kushambulia mamlaka? Yeye si Mbunge ? Kwa nini asiitishe Mkutano aongee hayo anayoongea?
Kufanya siasa kwenye eneo ambalo sio lake haifai.