Andromeda Galaxy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 9,846
- 16,713
Hii nchi si Salama Tena
Rafiki wa wahuni.Wahuni hawakuwa na mamlaka.Lakini wahuni wakamsulubu.
Mmmmmmm! Huyo wa kutetea Watanganyika ni nani? Mpango? Majaliwa? Tulia? Kisha tuzoea kwa sasa, hakuna Mtanganyika wa kumtisha!Kuna kila sababu ya kwanza kuvunja muungano na pili kufukuza wazanzibar wote walioko bara na mwisho kupiga marufuku mzanzibar kuwa rais wa Muungano
Ni kosa kubwa sana kurusu zanzibar kuitawa tanganyikaKutokea hapa Watanganyika sidhani kama watakuja ruhusu tena. Mzanzibara kuongoza nchi yao.
Hatari sanaHata kumuita Mama hastahili tafuta jina lingine mkuu,mama ni kiumbe wa thamani mno.
U clumsy little foolKuna kila sababu ya kwanza kuvunja muungano na pili kufukuza wazanzibar wote walioko bara na mwisho kupiga marufuku mzanzibar kuwa rais wa Muungano
Inawezekana hata wewe siyo Raia.Shida ya kutawaliwa na mtu asiye raia wa Tanganyika
"Inawezekana"Inawe
Inawezekana hata wewe siyo Raia.
Kwanza wape ushauri wanaotaka kuleta machafuko nchini,Mh Rais ni mtaratibu mno,Hata tundu lisu alipolazwa Nairobi Rais Samia alikwenda kumuona.Mama yetu Amepatwa na Nini Jamani? Mbona Amebadilika gafla?
Nani Amembadilisha? Hapo mwanzo alikuwa na busara na mnyenyekevu sana, sasa sijui Madaraka umbadilisha mtu?
Mimi nimshauritu Rais wangu. Angalia sana watu wanao kushauri Hawa sio watu wazuri.
Kiongozi Mzuri ukubali kukosolewa kukosolewa sio uadui.
Mh Ngwajima Alitoa Maoni yake kama Mtanzania ila Serikali haiku mchjkulia kama Mtanzania huyu kumfungia Huduma yake hamja mtendea Haki.
Nyuma yake ana mamilioni ya waumini na hao hao waumini ni wapiga kura na WA Tanzania.
Hili Neno kuchanganya siasa na Dini linatumika vibaya.
Mbona mkisifiwa makanisani na misikitini hamsemi Viongozi wa Dini wamechanganya siasa na Dini?
Embu Serikali ijitafakari na isitafute uadui na watumishi wa Mungu. Hakuna watu muhimu kama watumishi wa Mungu.
Hivi aliyempa ile PhD aajisikiaje anapoona haya maamuzi fyongo namna hii! Raisi muislam anakubali kupambana na askofu mkristo! Hjui kwamba anawasha moto wa vita ya kidini ambao hataweza kuuzima?Kimsingi mama amesaula nguo hadharani, aibu inaenda kwake mwenyewe
Shukurani kwa kunielewa.Naitafuta post ya Kiranga akizungumzia plausible deniability, alimaliza kila kitu.
Uchunguzi ni muda gani? Mambo mengine yako wazi kabisa lakini kinachofanyika ni mzaha tuu!Hauko kimya inafanya uchunguzi
Uchunguzi unaendelea povu la nini?Uchunguzi ni muda gani? Mambo mengine yako wazi kabisa lakini kinachofanyika ni mzaha tuu!
Sativa alitekwa na kupelekwa Oyster Bay police liko wazi, akaenda kupigwa risasi Katavi na kutupwa wakidhani kafa. Huku wahusika wote aliwatambua, uchunguzi gani baada ya hapo? Na kwa haya yanayoendelea tunapata mashaka why Bi mkubwa alikimbilia kutoa mamilioni kulipa bill za hospital? Father Kitima kashambuliwa katika zoezi la kutaka kumuua na aliyekamatwa mwezi sasa hakuna ajuaye kapelekwa wapi. Hapo hatujasema ya Lissu, Roma ambaye amewajua wazi, Saanane nk.
Tubishanie kwenye sera za vyama vyetu na mikakati, lakini kwenye haya matukio ya kishenzi tuungane kupinga maana sio sera za CCM kuteka na kulawiti!
Hivi kweli hata wazee wenu huko CCM kina Warioba, Butiku, Jakaya (ingawa hapa sina uhakika) Mangula nk mkiwaambia siku hizi tumebuni njia kudhibiti wapinzani, tunawateka na kuwalawiti na picha juu na hawarudii tena maana tutaonyesha picha watapokea kwa furaha hiyo mbinu?
Utekaji na mauaji haichochei chuki mheshimiwa?Haliwezi kuruhusuwa kufanya Sasa za uchochezi na chuki