PreGE2025 Ujumbe mfupi na wa wazi kwa Rais Samia

PreGE2025 Ujumbe mfupi na wa wazi kwa Rais Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Ni mtu mpumbavu tuu ndio anaweza mtishia mwingine uhai Kwa stori za kusadikika as if yeye hatokufa.

Kufa kuko pale pale na Kila mtu atakufa ila kutaka kuleta taharuki Kwa mgongo wa kanisa hakuna wa kukuvumilia Mzee..

Rais aliapa kulinda amani ya Nchi hii na ni kazi yake kuwadhibiti watu wahuni wote.
Taharuki ipi? Hebu fafanua hapo kwanza. Na nani aliyepata taharuki, Chama, wananchi au viongozi.?
 
Analinda amani ya nchi kwa kuwa na vikundi vya utekaji?
 
Kulikua hamna ulazima wa Rais siku ile kwenye kikao kumjibu Gwajima na kuendelea kumshambulia anathibitisha aliyosema Gwajima ni kweli. Pia Gwajima nae ni mtovu wa nidhamu
Sikiliza hapo kisha tafakari huo utovu wake wa nidhamu.
 
Attachments

  • VID-20250602-WA0109.mp4
    1.9 MB
Taharuki ipi? Hebu fafanua hapo kwanza. Na nani aliyepata taharuki, Chama, wananchi au viongozi.?
Kwa nini awe anatumia kanisa kufanya siasa za kushambulia mamlaka? Yeye si Mbunge ? Kwa nini asiitishe Mkutano aongee hayo anayoongea?

Kufanya siasa kwenye eneo ambalo sio lake haifai.
 
Nimeona Jana Barua ya Kufungwa kwa kanisa la Ufufuo na Uzima la Askofu Gwajima.

Nimeona Pia Clip ya Video inayosambaa ya Kuzingirwa kwa kanisa la Ufufuo na Uzima.

Miaka 2000 iliyopita kule JUDEA jambo kama hili lilitendwa.Ndio Lilifanyika kwa YESU,likafanyika kwa mitume na wengi wakauwawa na wengi wakafa.Hivyo ww sio wa Kwanza na wala serikali yako sio ya kwanza kufanya hayo.So endelea kushikilia Hapo hapo.

Hata hivyo nikwambie tu ukweli kwamba Unapigana vita ya Kushindwa kwani Ukweli ni kwamba unachotaka kiwe hakitakuwa na unachotamani kiwe hakitakuwa.

Shehe Yahaya Hussein alishaweka hilo Wazi.Julius Nyerere aliishaweka wazi hilo,Benjamin Mkapa alishaweka wazi hilo,Jakaya Kikwete alishaweka wazi hilo na hata JPM alishaweka Wazi hilo.

Wote hao katika nyakati zao waliona na kutambua kwamba hata majivuno.hata kiburi,hata mamlaka yao yana ukomo wake.

Fahamu kwamba hao watu wote ambao unawatumia kufanya udhalimu wanaapa kwa kutumia Biblia na Misahafu na ww kama Kiongozi unafahamu Hilo.

Ngoma ya Watoto Haikeshi Jiandae.

Tanzania haijawahi kumchagua Rais mwanamke, na haitotokea. Kamwe.
 
Ni mtu mpumbavu tuu ndio anaweza mtishia mwingine uhai Kwa stori za kusadikika as if yeye hatokufa.

Kufa kuko pale pale na Kila mtu atakufa ila kutaka kuleta taharuki Kwa mgongo wa kanisa hakuna wa kukuvumilia Mzee..

Rais aliapa kulinda amani ya Nchi hii na ni kazi yake kuwadhibiti watu wahuni wote.
Yeye aendelee kufanya kazi yake aliyoapa kuifanya kama ambavyo Viongozi wa dini wanaendelea kufanya kazi yao waliyoapa kuifanya.Kwani wasiwasi wako nini?Yeye anatimiza wajibu wake n hilo ndio la muhimu.Kwani tumesema kwamba asifanye kazi yake?Hatumfundishi kazi bali tunamkumbusha tu.

Endelea kula nyama mtori utaukuta.Ngoma ya Watoto haikeshi
 
Kwa nini awe anatumia kanisa kufanya siasa za kushambulia mamlaka? Yeye si Mbunge ? Kwa nini asiitishe Mkutano aongee hayo anayoongea?

Kufanya siasa kwenye eneo ambalo sio lake haifai.
Bado hujajibu swali, soma vizuri.
Swali lingine. Je angetumia majukwaa hayo uliyoyataja, akasema ujumbe uleule, kungekuwa na tofauti gani ?
 
Kwa nini awe anatumia kanisa kufanya siasa za kushambulia mamlaka? Yeye si Mbunge ? Kwa nini asiitishe Mkutano aongee hayo anayoongea?

Kufanya siasa kwenye eneo ambalo sio lake haifai.
Sababu ya kipumbavu.Kwenye kuitetea nchi hakuna kuchagua ukumbi,silaha wala ujingaujinga mwingine.
 
Tulimwambia amezungukwa na fisi washauri wake ndio adui zake na ndio watakaomuangusha ataelewa akishachelewa.
Kachezewa michezo kajaa tunasubiria kombolela tu
 
Back
Top Bottom