PreGE2025 Ujumbe mfupi na wa wazi kwa Rais Samia

PreGE2025 Ujumbe mfupi na wa wazi kwa Rais Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Ni mtu mpumbavu tuu ndio anaweza mtishia mwingine uhai Kwa stori za kusadikika as if yeye hatokufa.

Kufa kuko pale pale na Kila mtu atakufa ila kutaka kuleta taharuki Kwa mgongo wa kanisa hakuna wa kukuvumilia Mzee..

Rais aliapa kulinda amani ya Nchi hii na ni kazi yake kuwadhibiti watu wahuni wote.
Amani inalindwa kwa kuua watu?

Mnatumia nini kufikilia? Matako?
 
Pia Gwajima nae ni mtovu wa nidhamu
Kumwambia ukweli mkubwa wako ni utovu wa nidhamu?

After all, Askofu alitoa ushauri wake very humbly and respectively...

Nyinyi hamwezi kujua huu uwendawazimu wa serikali wa kufanya maamuzi ya hovyo na ya kijinga unatoka wapi...

Lakini sisi tunaoangalia mambo ktk darubini ya ulimwengu wa roho, tunaelewa sababu na tunaelewa hata mwisho wake...

Shetani na mikakati yake ya uovu na uharibifu wake ikishakuwa exposed, huibuka kwa ukali sana kama nyati aliyejeruhiwa..

Lakini mwisho wake, huchukua risasi ya pili na kufa palepale...

Huyu mama na CCM yake, kwishney. WAMESHAANGUKA...!!
 
Nimeona Jana Barua ya Kufungwa kwa kanisa la Ufufuo na Uzima la Askofu Gwajima.

Nimeona Pia Clip ya Video inayosambaa ya Kuzingirwa kwa kanisa la Ufufuo na Uzima.

Miaka 2000 iliyopita kule JUDEA jambo kama hili lilitendwa.Ndio Lilifanyika kwa YESU,likafanyika kwa mitume na wengi wakauwawa na wengi wakafa.Hivyo ww sio wa Kwanza na wala serikali yako sio ya kwanza kufanya hayo.So endelea kushikilia Hapo hapo.

Hata hivyo nikwambie tu ukweli kwamba Unapigana vita ya Kushindwa kwani Ukweli ni kwamba unachotaka kiwe hakitakuwa na unachotamani kiwe hakitakuwa.

Shehe Yahaya Hussein alishaweka hilo Wazi.Julius Nyerere aliishaweka wazi hilo,Benjamin Mkapa alishaweka wazi hilo,Jakaya Kikwete alishaweka wazi hilo na hata JPM alishaweka Wazi hilo.

Wote hao katika nyakati zao waliona na kutambua kwamba hata majivuno.hata kiburi,hata mamlaka yao yana ukomo wake.

Fahamu kwamba hao watu wote ambao unawatumia kufanya udhalimu wanaapa kwa kutumia Biblia na Misahafu na ww kama Kiongozi unafahamu Hilo.

Ngoma ya Watoto Haikeshi Jiandae.
'Kifo ni kifo tu'
 
Kutokea hapa Watanganyika sidhani kama watakuja ruhusu tena. Mzanzibara kuongoza nchi yao.
Subiri October uone akili za CCM wa Tanganyika. Ameshajichagua yeye na Nchimbi waongoze watanganyika hadi 2030.
Watanganyika wa chadema wamekimbia uchaguzi.
 
Wajinga ni nyie mnaodhani mna Haki ya kuvuruga amani.

Pili CCM imepewa dhamana ya Uongozi
Amani unayoizungumza ni ipi?Ya watu kunyamaza na kuendelea na mengine?Amani ya kuteka, kutesa,kutupia rumane hovyo,kubambika kesi, kuumiza, kupoteza,kubaka na kuua?Amani ya kunyima haki za kikatiba ie kukutana,kujieleza kwa uhuru,kuabudu?
 
Haliwezi kuruhusuwa kufanya Sasa za uchochezi na chuki
Uchochezi na chuki zipi? Watu hawatekwi na kupotezwa na serikali iko kimya? Jee watu hawauwawi na kimya ni kizito? Why wakisemwa unakuwa uchochezi?
Na sasa hata raia wa nje wanakamatwa na polisi kisha wanalawitiwa bado hamtaki waseme?
Sasa nchi inachafuka nje ndani kwa kasi ya ajabu na sisi wananchi tunachukia maana nyie CCM aibu kwenu ilishakoma kuwepo. Mko kama mawe au wanyama yaani hakuna hisia.
 
Uchochezi na chuki zipi? Watu hawatekwi na kupotezwa na serikali iko kimya? Jee watu hawauwawi na kimya ni kizito? Why wakisemwa unakuwa uchochezi?
Na sasa hata raia wa nje wanakamatwa na polisi kisha wanalawitiwa bado hamtaki waseme?
Sasa nchi inachafuka nje ndani kwa kasi ya ajabu na sisi wananchi tunachukia maana nyie CCM aibu kwenu ilishakoma kuwepo. Mko kama mawe au wanyama yaani hakuna hisia.
Hauko kimya inafanya uchunguzi
 
Back
Top Bottom