PreGE2025 Ujumbe mfupi na wa wazi kwa Rais Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mimi ningelikuwa Rais, ningelifanya zaidi ya zaidi ya alichofanya huyu aliyepo. Mamlaka LAZIMA ziheshimiwe!
 
Fahamu kwamba hao watu wote ambao unawatumia kufanya udhalimu wanaapa kwa kutumia Biblia na Misahafu na ww kama Kiongozi unafahamu Hilo.
 
Wewe box lako ni la kutupia mavi
Wakati niko chuoni miaka ya mwishoni mwa 80's (hata sijui kama ulishazaliwa au ulikuwa bado maungoni) mhadhiri wetu mmoja alikuwa na usemi anatuambia kila wakati 'never argue with a fool people might not notice the difference '.
Kwa ushauri huo naona nikutakie jioni njema.
 
Wewe ni kubwa la ma fools
 
Kwanza wape ushauri wanaotaka kuleta machafuko nchini,Mh Rais ni mtaratibu mno,Hata tundu lisu alipolazwa Nairobi Rais Samia alikwenda kumuona.
Ndugu huyu siye yule Mama Samia tunaye mfahamu ndugu.

Huyu ni tofauti kabisa sijui Nini kimemkuta mama yetu kipenzi!

Kauli zake zimejaa gadhabu na hasira. Ule upole wake na tabasamu lake la kumtoa nyoka pangoni limepotea kabisa.

Tumwombee mama yetu sio Bure Kuna kitu kimempata.
 
Kwa nini awe anatumia kanisa kufanya siasa za kushambulia mamlaka? Yeye si Mbunge ? Kwa nini asiitishe Mkutano aongee hayo anayoongea?

Kufanya siasa kwenye eneo ambalo sio lake haifai.
Douh mauaji na utekaji tumechoka kulia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…