Ujumbe muhimu: Mashabiki wenzangu wa Simba tulifeli hapa

Ujumbe muhimu: Mashabiki wenzangu wa Simba tulifeli hapa

Tulikuwa bize kusema Yanga wanatembea bahasha ya khaki na kubweteka leo tumeibuka tena malalamiko speed ya 4G .
 
Tuwe wavumilivu tu hakuna namna japo kimoja cha leo kinauma sana.
 
Ni sehemu ya football. Amefungwa Arsenal Man City na zingine nyingi.Ndio mpira huo kama hutaki stress shabikia bao.
 
Nilionya hili tokea msimu iliopita ,msimu tuliwekeza nguvu kwa Fei na kufa kiume.
 
Back
Top Bottom