Ujumbe tata wa Ney wa Mitego kwa Fred Vunjabei

Huu ni wivu tu. Mwanaume unaanza mipasho kwa mwanaume mwenzako ni USHAMBA mkubwa zaidi.
Kama unaona wivu kuhongwa Mademu HONGWA WEWE.
Mwanaume sisi ni Ngumi tu si Maneno
 
Huyo ney mwenyewe anapenda wanawake balaaa. Atoe kibanzi kwenye jicho lake kwanza ndipo atoe boriti kwenye jicho la wenzie..

Ney kapita na mademu wangapi .?? Au Fred kamchukulia demu..?
 
Jamani ni kweli wakinga wana mambo yao,lkn Fred namfaham naweza mtetea kwa hili!
Wamerithi kutoka kwa baba yao!
Enzi hizo, tuko primary wadogo (tumesoma shule moja)baba yao alikuwa kati ya matajiri wachache walio na biashara zao kitambo hicho! Na walikuwa na akili mno darasani aisee na kaka yake aliyegombea ubunge ir mjini!

Nikaja kukutana nae tena mzumbe akifanya masters masuala ya marketing kama sikosei na akiwa tayari ameanza biashara,na alisha wahi ajiriwa pia!na harakati za kuigombea urais wa chuo na alifanikiwa km sikosei !
Kwahiyo ni kitu kipo damuni kati ya wakinga wachache kitambo hicho waliosoma na kwao sio masikini!
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni jmn!
Labda huo ushamba [emoji16]
 
Eeh Mo alijuta kuwafahamu wabongo [emoji28][emoji28][emoji28] wakamwambia haujui mtaa bana asitake kuwainjoy! Mwamedi anazingua
Hahaha sure yule.chpsi yai kitambo Sana

Mtaa haujui vizuri kapita juu kwa juu katokezea sebuleni[emoji1]

Tuko ground huku tunapambana soon tutatokea zea sebuleni tukigongesha kibingwa [emoji1787]

Watu Kama aki mwamedi wasitutishe[emoji1]
 
Kuna muda saa mbovu inasemaga ukweli
 
Fred kasoma wapi O-level?
 
๐Š๐ฎ๐ก๐จ๐ง๐ ๐š ๐ง๐ข ๐๐š๐ฅ๐ข๐ฅ๐ข ๐ฆ๐จ๐ฃ๐š ๐ฐ๐š๐ฉ๐จ ๐ฒ๐š ๐ค๐ฎ๐ญ๐จ๐ฃ๐ข๐š๐ฆ๐ข๐ง๐ข ๐ค๐ฐ๐š ๐ฎ๐ณ๐ฎ๐ซ๐ข ๐ฐ๐š๐ค๐จ ๐Œ๐ฎ๐ง๐ ๐ฎ ๐š๐ฅ๐ข๐ฏ๐ฒ๐จ ๐ค๐ฎ๐ฎ๐ฆ๐›๐š, ๐ฎ๐ญ๐š๐ก๐ข๐ฌ๐ข ๐ฉ๐ž๐ฌ๐š ๐ง๐๐ข๐จ ๐ข๐ญ๐š๐ ๐ž๐ฎ๐ณ๐š ๐ฐ๐ž๐ฎ๐ฌ๐ข ๐ค๐ฎ๐ฐ๐š ๐ซ๐š๐ง๐ ๐ข ๐ฒ๐š ๐ฆ๐ญ๐ฎ๐ฆ๐ž,
๐š๐ง๐ฒ ๐ฐ๐š๐ฒ ๐ง๐š๐จ๐ง๐š ๐ญ๐š๐ข๐Ÿ๐š ๐ฅ๐ข๐ง๐š๐ณ๐ข๐๐ข ๐ค๐ฎ๐จ๐ง๐ ๐ž๐ณ๐š ๐ฆ๐š๐๐จ๐ฆ๐จ ๐ณ๐ž๐ ๐ž ๐ง๐š ๐ฐ๐š๐ฌ๐ข๐จ๐ฃ๐ข๐š๐ฆ๐ข๐ง๐ข ๐ง๐š ๐ค๐ข๐ฃ๐ข๐ค๐ฎ๐›๐š๐ฅ๐ข, ๐ฎ๐ญ๐จ๐ž ๐ฉ๐ž๐ฌ๐š ๐š๐ญ๐š๐ ๐จ***๐ง๐ ๐ฐ๐š, ๐ฎ๐ฆ๐ฉ๐ข๐ ๐ข๐ž ๐ฆ๐š๐ ๐จ๐ญ๐ข ๐š๐ญ๐š๐œ๐ก๐ฎ๐ค๐ฎ๐ฅ๐ข๐ฐ๐š ๐ญ๐ฎ, ๐ฎ๐ฆ๐ซ๐š๐ฆ๐›๐ž ๐ฆ๐ข๐ ๐ฎ๐ฎ๐ฎ ๐š๐ญ๐š๐›๐ž๐›๐ฐ๐š ๐ญ๐ฎ
 
Sasa Ney wa Mitego inamuhusu nini, au wivu tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ