Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 22,527
- 79,976
Nitajaribu kuwa muungwanaWenyewe tunasema, "muungwana akivuliwa nguo huchutama".
Chutama mama!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitajaribu kuwa muungwanaWenyewe tunasema, "muungwana akivuliwa nguo huchutama".
Chutama mama!
Kitu najua Fred ni mtu wa jokes sana. Ila jamii haimchukulii hivo. Ni hapo alitereza. Ila frankly ni uhakika 100% aliandika joke. Only foolish will take it seriously. Ni pamoja na NAY.Mwanangu Fred,mshamba aiseee
I thought the nigga was a different breed mpaka alipoanza kuongea ungese
Nadhani ana njaa kali sana ya kujulikana,hii njaa ya kutaka umaarufu inazidi njaa ya kufanya biashara,soon graphs zitapishana tutafute roots of the two quadratic equations!
Haya ndiyo mawazo ya kijinga kupindukia. Kutonunua kwa sababu ipi ya msingi.Dawa yake ndogo azisheni kampeni kutonunua vitu kwake
inakuuma hutahongwa tena akifilisikaHaya ndiyo mawazo ya kijinga kupindukia. Kutonunua kwa sababu ipi ya msingi.
[emoji24][emoji24]mkuu hii sio sawa hakukuwa na ulazima wa kumuweka mama ake ktk hili na ungefatilia y bidada Ka comment hvyo usinge m quote hvyo mana kuna jamaa ndo kwamwambia njoo nikumwagie mauji ndo mana naye akajibu hvyo!!sio poa kabisa mkuu!!Mauji unamanisha shahawa? Leo shahawa zilizomwagwa kwa mama ako ukaundwa wewe, leo unaziita UJI , na huo uji ulivyokua kitoto ndio uliokua unapewa ukupe lishe ukue leo unaufananisha na shahawa ? Pumbavu kabisa wewe.
[emoji28][emoji28]kwa kweli imeniuma mpaka kuingiza kina mama kwa suala jepesi kama hili hapana itakuwa na stress za hela zimechangia sio bure kabisa!!Neno mauji kalileta@kina kirefu ila hujaliona umekuja kuliona kwa Joanah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hasira za kukosa hela hizi.
Hili swala la kuombwa pesa bana kila mtu ashinde mechi zake. Wanaoona kuombwa hela ni starehe waendelee kuburidika na wanaoona ni kero waache. Sio kumsakama Fred.
Hivi kutoomba hela ndo uwife material? Wote mliioa wake zanu walikuwa hawaombi hela ndo maana mkawaoa?
Vunja bei ana elements za kisukuma?Jumlisha ushamba inakua maji machafu
Hawezi akawanazo.Vunja bei ana elements za kisukuma?
Acha kufananisha wasukuma na vitu vya kijijga jinga kama vunjabeiVunja bei ana elements za kisukuma?
Mkuu umenichekesha sana, uwa namkubali ila hako ambako kapo uwa nakaonana hakaishiMkinga pekee mjanja i guess ni Sugu ingawa nae mhhh kuna kaushamba fulani kapo!!
Maji ya MotoUjana...
Ni kweli hili jamaa ni shamba la mademu mno....sidhani kama anajuwa mademu wanamchuna tu na hawampendi, amuulize mwenzie Mondi."Naomba Mumkumbushe Fred kua walikuwepo wauza nguo kama yeye walikuwa na hela kuliko yeye, walikuwa washamba wa mademu wa mjini kama yeye na wakafilisika na hawapo tena, so na yeye kwa ushamba huo huo wa mademu tutamsahau ni muda tu #hawakatai zikiisha sasa." - Nay wa Mitego.
View attachment 1847115
Kwani kuna mwanamke duniani anayependa. Wote wanaangalia ndalama tuu. Cha msingi ukiwa na ndalama wee wapelekeaa moto basi. Chukua pisi kali sasambua mbususu ukiichoka taffuta ingineNi kweli hili jamaa ni shamba la mademu mno....sidhani kama anajuwa mademu wanamchuna tu na hawampendi, amuulize mwenzie Mondi.
Mkuu unawaza kama mimi kweli kuna ka ushamba flani anako sema hadi uwe mjanja sana ndo utaweza kugundua ni kama masanjaMkinga pekee mjanja i guess ni Sugu ingawa nae mhhh kuna kaushamba fulani kapo!!