MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Mimi sijaona kosa lolote la komredi Vunjabei. Kwenye ahadi za mwanaCCM ni pamoja na kuwapenda watu na kwamba watanzania wote ni ndugu. Kuwapa wanawake tunaowapenda hela ni kitendo kizuri na kinafaa kuigwa na marijali wote. Kama mwanamke wako hakuombi hela inaashiria hakuamini na hayuko huru nawe. Wanawake nanyi ombeni kulingana na kipato cha mwanaume wako. Halafu wanawake wote mzingatie sana FUMANIZI HUIMARISHA PENZI. Sio tena muombe hela na bado mlete sheria za kipuuzi na kutaka kupewa peke yenu tu.