Ujumbe tata wa Ney wa Mitego kwa Fred Vunjabei

Mimi sijaona kosa lolote la komredi Vunjabei. Kwenye ahadi za mwanaCCM ni pamoja na kuwapenda watu na kwamba watanzania wote ni ndugu. Kuwapa wanawake tunaowapenda hela ni kitendo kizuri na kinafaa kuigwa na marijali wote. Kama mwanamke wako hakuombi hela inaashiria hakuamini na hayuko huru nawe. Wanawake nanyi ombeni kulingana na kipato cha mwanaume wako. Halafu wanawake wote mzingatie sana FUMANIZI HUIMARISHA PENZI. Sio tena muombe hela na bado mlete sheria za kipuuzi na kutaka kupewa peke yenu tu.
 
Shame on you
 
Wakuu Vunjabei anagawa sana kwa pisi kali,unaambiwa wakilia shida kidogo kwake, imeisha hiyooo. Ila hawa matajiri wa kikinga hapa mjini tunawajua, wana limit ya miaka ya kuishi kutokana na utajiri wao walipoutoa, acha ale maisha yawezekana ana muda mchache wa kuishi.
Unataka kuniambia jogooo alidonoa mahindi punje kumi na tano maximum 😀😀😀😀😀🤣🤣🤣🤣
 
Kwani Fred mwenyewe anasemaje?
FB_IMG_16258344655978767.jpg
 
Wakuu Vunjabei anagawa sana kwa pisi kali,unaambiwa wakilia shida kidogo kwake, imeisha hiyooo. Ila hawa matajiri wa kikinga hapa mjini tunawajua, wana limit ya miaka ya kuishi kutokana na utajiri wao walipoutoa, acha ale maisha yawezekana ana muda mchache wa kuishi.
Mkuu jamaa anafix asset gani mjini,mimi nawajua vijana wawili wanamaduka ya nguo kariakoo ...wamejenga ghorofa 3 ilala na apartment za kutosha goba,salasala na wako kimya....pesa inataka adabu siku zote
 
Hakuna sehemu nilipoandika kuhusu chuki,acha kukurupuka basi
Alichokiandika vunja bei hakina tatizo lolote kwa utajiri,uanasiasa wala udhamini wake wa SSC...labda ni wewe umelichukulia kistress

Pesa huna bhana wee,watu wenye pesa hawafananagi na wewe mzee....labda uniambie nije unimwagie hayo mauji for free,ila pesa???huna aseee
Msifike mbali jmn, maisha menyewe mafupi haya!
 
Back
Top Bottom