Ujumbe tata wa Ney wa Mitego kwa Fred Vunjabei

Ujumbe tata wa Ney wa Mitego kwa Fred Vunjabei

Lini kaingia kwenye list ya matajiri Tanzana?
Kwakua
Umekubaliana kua tayari ni political figure
Mwekezaji katika club kubwa afrika(SSC)

Kuhusu kuingia kwenye list yamatajiri likawa swala lamuda tu hapo baadae ndomana tunamsihi aachane namaswala ya kipuuzi kama hayo ,awaachie wakina cha kwamparange


nimekuelewa mrembo
 
Pesa kazi yake ni kufanya chochote kile ambacho aliyeitafuta hio pesa anapenda / kinampa furaha..., maadamu huyo mtumiaji atukumsaidia kuzitafuta wala hatuombi pesa za kusaidia majukumu / wajibu wake..., hata akiamua pesa zake zote azigawe ni prerogative yake....
Kwahiyo VUNJABEI asitupangie kazi ya Pesa zetu, kama yeye ni kuwapa wanawake basi ndo choice yake.
 
Kwahiyo VUNJABEI asitupangie kazi ya Pesa zetu, kama yeye ni kuwapa wanawake basi ndo choice yake.
Naam hakuna wa kumpangia mtu matumizi so long as kwanza anatimiza wajibu wake (mfano asiache kuwapeleka watoto wake shule au kulisha familia yake) asitegemee jamii imfanyie..., so long as anatimiza wajibu (anawepa basi needs wategemezi/familia yake) hio excess ya pesa ni upon him to decide...
 
Nasikia Fuure ana toka na jojo

kigogo.jpg
 
Back
Top Bottom