Ujumbe tata wa Ney wa Mitego kwa Fred Vunjabei

Ujumbe tata wa Ney wa Mitego kwa Fred Vunjabei

Ni kweli kumpa mwanamke hela kuna raha yake, ila sasa inategemeana mpoje hasa!
Maana naweza kuwa nampa ya mahitaji ya home.
 
Honestly hua nikiona mtu ni mfanyabiashara mara keshaanza vyombo vya habari, au kutangaza mara hiki mara kile tena bongo naona miyeyusho maana kuna watu wanajiwe huwezi kuwasikia hata mara moja au uwaone wamepiga picha na vilevi hakuna lakini wanakula monde za gharama sana lakini silently
 
Ni kweli kumpa mwanamke hela kuna raha yake, ila sasa inategemeana mpoje hasa!
Maana naweza kuwa nampa ya mahitaji ya home.

Hatukupinga hiyo kauli sema unajua mtaani kuna mabaharia wanahustle kinoma na bado hawajatoboa hivo wakiwa na maduu vichwa mbovu watashika ya kwenye mitandao kwa fredd na kuchoma wana ambao bado wanajitafuta, na sio kwamba kila anayepingana na jamaa ana njaa au vinginevo tunaangalia impact huko nje itakuaje?
 
Vijana wa siku hizi ni wafata mkumbo wanahisi watu wote ni wajinga kama wao.
Mi sioni sababu ya Nay kumdiss Fred sema tu ni ka wivu flani
Ney wa Mitego ni mtu wa majungu na kutukana watu, hata nyimbo zake nyingi ni za kudiss watu hasa wasanii wenzake.

Nyimbo yake ijayo wala usishangae akamdiss Vunjabei.

Huwa nashangaa na yeye eti huwa anasema anaheshimu wanawake wakati Ney ndio bingwa wa kutukana wanawake kwenye ngoma zake tena matusi makubwa makubwa ya kidhalilishaji.
 
Fred labda ana mpango wa kufungua kanisa na wateja wake wakubwa wawe wanawake.

Anaongea kila kitu in favour of wanawake, this supposed to be an alert. Wanawake siku zote ni wahanga wa ulaghai sijui kwanini, Kuna wanaume wanaume ni waimba mashairi wazuri, waongo waongo fulani hivi... kimbembe ingia uone. Swali ni je anayoyahubiri anayafanya?

Anyways mie simpendi mwanaume ambaye ni motivation speaker, kama si muhongaji/mhudumiaji aseme mapema nijui mwenyewe namkubali au namkataa.
 
Anafikiri kila mtu ana pesa kama za kwake
Hizo hela ametoa wapi?,hakujulikana miezi mitatu iliyopita,kaibuka toka wapi,,
Tajiri muuza nguo tunaemfahamu anaitwa, Mr kadeti.
Huyu anauza nguo zipi,mitumba au anakiwanda cha nguo?
 
Za masharti...nasikia analala ndani ya kigunia kama kiroba cha mchele..

Kkkkkk
Kuna jamaa tulikua naye arusha alikua analima vitunguu huko mang'ola na kumiliki fuso kadhaa,alikua na pesa balaa alikua anaweza kuvuna vitunguu kuanzia mwezi wa tano hadi wa kumi na moja na kla baada ya siku tatu mzigo unaenda nairobi, huyu jamaa( marehemu ) alikua akipenda bata kupita maelezo siku moja nikamshauri kwamba ajaribu kupunguza bata a pay attention zaidi kwenye buashara, akaniambia ndugu yangu acha nile maisha nimebakiza miaka minne tu ya kuishi, nilidhani uenda ana ngoma na kashakata tamaa, mwaka huu nilikutana na ndugu yake akaniambia jamaa alifariki mwaka jana, na kabla ya kufa alimwita mjomba wake akamueleza kwamba pesa zake zilikua za masharti na muda wake umefika wakati wowote atakufa. So vunja bei mwachane ale hizi pisi.
 
Ney wa Mitego ni mtu wa majungu na kutukana watu, hata nyimbo zake nyingi ni za kudiss watu hasa wasanii wenzake.

Nyimbo yake ijayo wala usishangae akamdiss Vunjabei.

Huwa nashangaa na yeye eti huwa anasema anaheshimu wanawake wakati Ney ndio bingwa wa kutukana wanawake kwenye ngoma zake tena matusi makubwa makubwa ya kidhalilishaji.
Neema wa mitego[emoji1]
 
Wakuu Vunjabei anagawa sana kwa pisi kali,unaambiwa wakilia shida kidogo kwake, imeisha hiyooo. Ila hawa matajiri wa kikinga hapa mjini tunawajua, wana limit ya miaka ya kuishi kutokana na utajiri wao walipoutoa, acha ale maisha yawezekana ana muda mchache wa kuishi.
 
Sijaona kama ni post mbaya japo kwa heshima aliyonayo Fred sio wa kutoa quote kama ile wakati watu wanamuona kama kioo mtu ambaye anaweza kutoa neno lenye kutia moyo na kuhamasisha vijana kufanya Maendeleo na sio anasa
 
Back
Top Bottom