Ujumbe tata wa Ney wa Mitego kwa Fred Vunjabei

Ujumbe tata wa Ney wa Mitego kwa Fred Vunjabei

Wadogo zangu wa kike sikieni
Msiombe hela kwa wanaume wenu....mwanaume mwenyewe atakupa kwa kadiri awezavyo na ajuavyo nahitaji na uwezo wako na wake
Kuombaa hela ni kupoteza cohesiveness flani
Hata kwenye ndoa huwa tunasemaga baby inakuwaje siku tukiwa na balance nikashona Kama hii

Mambo ya kumwambia tena just a boyfriend naomba hela ya Kodi ni ujinga

Omba hela ndogo Sana, mfano naomba 200 au 500 nichukue machungwa
 
Mwanangu Fred,mshamba aiseee

I thought the nigga was a different breed mpaka alipoanza kuongea ungese

Nadhani ana njaa kali sana ya kujulikana,hii njaa ya kutaka umaarufu inazidi njaa ya kufanya biashara,soon graphs zitapishana tutafute roots of the two quadratic equations!
Kitu najua Fred ni mtu wa jokes sana. Ila jamii haimchukulii hivo. Ni hapo alitereza. Ila frankly ni uhakika 100% aliandika joke. Only foolish will take it seriously. Ni pamoja na NAY.
 
Mauji unamanisha shahawa? Leo shahawa zilizomwagwa kwa mama ako ukaundwa wewe, leo unaziita UJI , na huo uji ulivyokua kitoto ndio uliokua unapewa ukupe lishe ukue leo unaufananisha na shahawa ? Pumbavu kabisa wewe.
[emoji24][emoji24]mkuu hii sio sawa hakukuwa na ulazima wa kumuweka mama ake ktk hili na ungefatilia y bidada Ka comment hvyo usinge m quote hvyo mana kuna jamaa ndo kwamwambia njoo nikumwagie mauji ndo mana naye akajibu hvyo!!sio poa kabisa mkuu!!
 
Neno mauji kalileta@kina kirefu ila hujaliona umekuja kuliona kwa Joanah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hasira za kukosa hela hizi.

Hili swala la kuombwa pesa bana kila mtu ashinde mechi zake. Wanaoona kuombwa hela ni starehe waendelee kuburidika na wanaoona ni kero waache. Sio kumsakama Fred.

Hivi kutoomba hela ndo uwife material? Wote mliioa wake zanu walikuwa hawaombi hela ndo maana mkawaoa?
[emoji28][emoji28]kwa kweli imeniuma mpaka kuingiza kina mama kwa suala jepesi kama hili hapana itakuwa na stress za hela zimechangia sio bure kabisa!!
 
"Naomba Mumkumbushe Fred kua walikuwepo wauza nguo kama yeye walikuwa na hela kuliko yeye, walikuwa washamba wa mademu wa mjini kama yeye na wakafilisika na hawapo tena, so na yeye kwa ushamba huo huo wa mademu tutamsahau ni muda tu #hawakatai zikiisha sasa." - Nay wa Mitego.

View attachment 1847115
Ni kweli hili jamaa ni shamba la mademu mno....sidhani kama anajuwa mademu wanamchuna tu na hawampendi, amuulize mwenzie Mondi.
 
Back
Top Bottom