Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
my kapata hela kwa shida acha ale Bata mbona wakifanya wakina Rick Ross hamsemi?Hebu ona hii... hii ni moja ya element za kaushamba tunasema hapa. What the is hell?
View attachment 1850503
Jamani ni kweli wakinga wana mambo yao,lkn Fred namfaham naweza mtetea kwa hili!Hela za kubadilishia mboga anazo lakini hela zake zina utata mno, yaani chini ya miezi 6 tu jamaa kaibuka. Si unajuwa historia ya Wakinga lakini, sina haja ya kusema mengi ila hapa mjini wanafahamika hata Mpemba anawaogopa kuingia nao vitani. Kuhusu kumuibia domo demu inawezekana maana wote ni washamba wa kipochi manyoya.
tafteni pesa zenu wenyewe mbwa nyie njaa zitawauaKwani kadanganya? ndo ukweli wenyewe huo ndugu zangu!
Hahaha sure yule.chpsi yai kitambo SanaEeh Mo alijuta kuwafahamu wabongo [emoji28][emoji28][emoji28] wakamwambia haujui mtaa bana asitake kuwainjoy! Mwamedi anazingua
Kuna muda saa mbovu inasemaga ukweli"Naomba Mumkumbushe Fred kua walikuwepo wauza nguo kama yeye walikuwa na hela kuliko yeye, walikuwa washamba wa mademu wa mjini kama yeye na wakafilisika na hawapo tena, so na yeye kwa ushamba huo huo wa mademu tutamsahau ni muda tu #hawakatai zikiisha sasa." - Nay wa Mitego.
View attachment 1847115
Fred kasoma wapi O-level?Jamani ni kweli wakinga wana mambo yao,lkn Fred namfaham naweza mtetea kwa hili!
Wamerithi kutoka kwa baba yao!
Enzi hizo, tuko primary wadogo (tumesoma shule moja)baba yao alikuwa kati ya matajiri wachache walio na biashara zao kitambo hicho! Na walikuwa na akili mno darasani aisee na kaka yake aliyegombea ubunge ir mjini!
Nikaja kukutana nae tena mzumbe akifanya masters masuala ya marketing kama sikosei na akiwa tayari ameanza biashara,na alisha wahi ajiriwa pia!na harakati za kuigombea urais wa chuo na alifanikiwa km sikosei !
Kwahiyo ni kitu kipo damuni kati ya wakinga wachache kitambo hicho waliosoma na kwao sio masikini!
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni jmn!
Labda huo ushamba [emoji16]
IliboruFred kasoma wapi O-level?