johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Shehe James Abubakar 😂Mtafute Lissu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shehe James Abubakar 😂Mtafute Lissu
Heche tapeli kama hao wengineKubeti ndiyo maisha yetu watanzania yaliyosababishwa na CCM kuwepo madarakani.
Hata huyo Malaria 2 alibeti kuweka tweet ya zamani kuona kama watu watadhani ni ujumbe wa Sasa😆😃😄
Wale waliobeti kuiba Hela za Tegeta Escrow mkeka wao ukatiki, wakagawana hela zetu kwenye mifuko ya Sandarusi.
Jakaya Kikwete akiwa rais, akabeti aone akisema Hela za Tegeta Escrow si za umma watanzania watasemaje, aliposema wabongo wakambishia, mkeka wake ukachanika.
Bila ya CCM kuondoka madarakani watanzania watendelea kuishi maisha ya kubeti siku zote.
Hapa nimebeti kuwa Leo nchi nzima hakuna hata sehemu Moja Tanesco watakata umeme.
Wewe hata ukibadilishwa na panya 2 inatosha🤣🤣🤣Hamjashinda mnamatusi, kejeli, dharau. Mkipewa chadema si mtakunya juu ya meza ya Mbowe?
Alikuwa timamu. Huo ulikuwa mtizamo wake mwaka 2022 kurudi nyuma. Leo mwaka 2025 unataka aendelee kuwa na mtizamo ule ule hata kama mambo yamebadilika?Alilewa?
Heche kaingizwa choo cha kikeWewe hata ukibadilishwa na panya 2 inatosha🤣🤣🤣
Malaria 2 ni Islam ila ni mmachame na mdudu anatumia kama Kawa 🐼Hata Roboti Sofia ana kautambuzi kumshinda huyu Mtoa mada.
2026 atasema Lissu kanihonga nimshambulie MboweAlikuwa timamu. Huo ulikuwa mtizamo wake mwaka 2022 kurudi nyuma. Leo mwaka 2025 unataka aendelee kuwa na mtizamo ule ule hata kama mambo yamebadilika?
Rapeli kama wale waliotutapeli zile trilioni 1.5 zama za Magufuli? Au yeye ni tapeli kama Hawa waliotutapeli Trilioni 1.8 zama hizi za Samia?Heche tapeli kama hao wengine
Sio tatizo zamani. Ujue aina ya kiongozi unaemtaka ndimi 2Imebuma ya zamani sn
Kama litakuwa ni tukio la kweli asiseme ili iweje.2026 atasema Lissu kanihonga nimshambulie Mbowe
Ni kiongozi huyo?Kama litakuwa ni tukio la kweli asiseme ili iweje.
Ndiyo.Ni kiongozi huyo?
Ndio hao hao wachumia tumbo. Heche kaingizwa mkenge na lissu. Mwenziwe akishindwa ubegeliji. Yeye atabidi akabebe mkoba wa MsigwaNdiyo.
Kama umewahi kusoma Quran Tukufu utajua AYA zilikuja kutokana na tukio na wakati.
Ukiona matukio na nyakati havibadili mtizamo wako, jua ubinadamu wako una walakini.
Uwe umetoka kwako huna mwamvuli, ghafla mvua ianze kunyesha wewe uendelee kutembea bila kujificha kwa hoja kuwa wakati unatoka nyumbani kwako mvua ilikuwa hainyeshi. Watu watakushangaa.
Binadamu hufanya maamuzi kwa kuzingatia tukio, mahali na nyakati.
Yote maisha tu.Ndio hao hao wachumia tumbo. Heche kaingizwa mkenge na lissu. Mwenziwe akishindwa ubegeliji. Yeye atabidi akabebe mkoba wa Msigwa
Hiyo nguruwe ya ACT Wazalendo inahangaika sana kujaribu kuleta mtafaruku eti wanasubiria wanachama watakaoondoka Chadema wavune kama walivyovuna kwa CUFNdiyo.
Kama umewahi kusoma Quran Tukufu utajua AYA zilikuja kutokana na tukio na wakati.
Ukiona matukio na nyakati havibadili mtizamo wako, jua ubinadamu wako una walakini.
Uwe umetoka kwako huna mwamvuli, ghafla mvua ianze kunyesha wewe uendelee kutembea bila kujificha kwa hoja kuwa wakati unatoka nyumbani kwako mvua ilikuwa hainyeshi. Watu watakushangaa.
Binadamu hufanya maamuzi kwa kuzingatia tukio, mahali na nyakati.
Kama wewe unavyobeba mikoba ya Ado Shaibu huko ACT Wazalendo? Hampati kitu hapa,mnataka kuvuna msipopanda. Chadema haipasukiNdio hao hao wachumia tumbo. Heche kaingizwa mkenge na lissu. Mwenziwe akishindwa ubegeliji. Yeye atabidi akabebe mkoba wa Msigwa
Wewe ni Suni au Shia? 🐼Heche kaingizwa mkenge na mitandao