Ujumbe ulioandikwa na John Heche kwenye X (Twitter) mwaka 2020 ukimuhusu Mbowe huu hapa

Heche tapeli kama hao wengine
 
Alikuwa timamu. Huo ulikuwa mtizamo wake mwaka 2022 kurudi nyuma. Leo mwaka 2025 unataka aendelee kuwa na mtizamo ule ule hata kama mambo yamebadilika?
2026 atasema Lissu kanihonga nimshambulie Mbowe
 
Ni kiongozi huyo?
Ndiyo.

Kama umewahi kusoma Quran Tukufu utajua AYA zilikuja kutokana na tukio na wakati.

Ukiona matukio na nyakati havibadili mtizamo wako, jua ubinadamu wako una walakini.

Uwe umetoka kwako huna mwamvuli, ghafla mvua ianze kunyesha wewe uendelee kutembea bila kujificha kwa hoja kuwa wakati unatoka nyumbani kwako mvua ilikuwa hainyeshi. Watu watakushangaa.

Binadamu hufanya maamuzi kwa kuzingatia tukio, mahali na nyakati.
 
Ndio hao hao wachumia tumbo. Heche kaingizwa mkenge na lissu. Mwenziwe akishindwa ubegeliji. Yeye atabidi akabebe mkoba wa Msigwa
 
Itoshe tu kusema washabiki wa cdm, haswa hawa wanaomuunga mkono yule mwenye jina ambalo ni synonymous na 'tobo', akili zao ni fupi na nyembamba; unafiki umekita mizizi makazini kwao Hadi majumbani, wivu umetamalaki kwao
 
Hiyo nguruwe ya ACT Wazalendo inahangaika sana kujaribu kuleta mtafaruku eti wanasubiria wanachama watakaoondoka Chadema wavune kama walivyovuna kwa CUF
 
Ndio hao hao wachumia tumbo. Heche kaingizwa mkenge na lissu. Mwenziwe akishindwa ubegeliji. Yeye atabidi akabebe mkoba wa Msigwa
Kama wewe unavyobeba mikoba ya Ado Shaibu huko ACT Wazalendo? Hampati kitu hapa,mnataka kuvuna msipopanda. Chadema haipasuki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…