Ujumbe ulioandikwa na John Heche kwenye X (Twitter) mwaka 2020 ukimuhusu Mbowe huu hapa


What is your point? Naona mbuzi mnatoka zisizo?โ€™!!
 
Kama ulikubaliana na maneno yake ya wakati ule ujue alikuwa anakuambia jambo sahihi. Na hili analosema sasa ni sahihi kutokana na mabadiliko ya wakati. Inshort alichosema Heche wakati ule ni sahihi, na asemacho sasa ni sahihi.
 
mbowe kabadilika tokea atokee ikulu alipo kuwa gerezani.
huelewi nini?
 
Inadaiwa alinukuliwa vibaya
 
Inadaiwa alinukuliwa vibaya
Mbowe muda wake ulishakwisha, hana ushawishi kwa wanachama labda kwa machawa kama wewe.
Nyakati hazipo upande wake,inawezekana 2020 alikuwa anaaminika lakini kwa sasa haaminiki tena
 
......ya kale hayanuki .
 
Kwa hivyo hivi sasa sie yeye? 2026 atasema Lissu ni mlevi?
2020 Mbowe alikuwa hajaitwa ikulu kuridhiana na kununuliwa.
Alikuwa anaaminika lakini kwa sasa rangi zake halisi tumezielewa na haaminiki tena.
Mtaokoteza kila aina ya utetezi lakini mwamba kachokwa na hana ushawishi kwa sasa
 
Mbowe muda wake ulishakwisha, hana ushawishi kwa wanachama labda kwa machawa kama wewe.
Nyakati hazipo upande wake,inawezekana 2020 alikuwa anaaminika lakini kwa sasa haaminiki tena
Haya
 
Teknolojia inatunza kumbukumbu ya kudumu hauwezi kuwadanganya watu.Heche ni wa hovyo sana
 
Kwani watu hawaruhusiwi kujifunza na kubadilika?

Heche mwenyewe anasemaje?
 
Kwa hiyo...?

Au Malaria 2 imepanda kichwani na kuwa malaria 2000..!!??๐Ÿšถ๐Ÿผโ€โ™€๏ธ๐Ÿšถ๐Ÿผโ€โ™€๏ธ๐Ÿšถ๐Ÿผโ€โ™€๏ธ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ