Ujumbe wa aliyejiua kisa penzi la Monica (mke wa Masanja). Chunguzeni wake zenu

Inashangaza sana!!.
Kwenye ulokole tunafichamo sana madhambi yetu!!
Hatarii
Wakati mwingine ni afadhali uoe baameidi kuliko hawa walokole feki waliojazana makanisani huko kwa manabii na mitume feki wakiombewa eti wapate wanaume wenye pesa [emoji706][emoji706][emoji706]

Yote kwa yote Kuchapiwa Hakuepukiki
 
Wakati mwingine ni afadhali uoe baameidi kuliko hawa walokole feki waliojazana makanisani huko kwa manabii na mitume feki wakiombewa eti wapate wanaume wenye pesa [emoji706][emoji706][emoji706]

Yote kwa yote Kuchapiwa Hakuepukiki
Hakuepukiki ila kwa watu kamahao inasikitisha na kuhuzunisha sana kwa kuwa tunaamini wana hofu ya mungu!
Sijui tutakimbilia wapi / tumuamini nani!! Makanisani kumechafuka mitaani kunanuka!!
Masanja sijui ana hali gani hapo alipo!
 
Oooo h,, Elizaaa wangu venyee unaifinyiaga ndani Aki! .. ukiniacha nshakufaa mie!!
 
Nilichonoti Ni kuwa Kam mke angeendeleza penzi mnk Ni kwamba masanja alikuwa anaenda kuuwaw Kisha jamaa kubaki na mke na kanisa juu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Sidhani kama ni kweli
 
Mkuu usinitishe. Kuna mwanamke namwelewa sana. Ina maana ndo safari imekaribia? Ushindwe kwa damu ya Yesu [emoji16]
Mkuu tatizo kubwa haya mahusiana ya siku hizi yapo katika mfumo ambao Mwenyezi Mungu hajapanga kabisa na hapa ndio shetani anajichukulia maksi kabisa, na tusichojua nikwamba binadamu yatupasa tupendane kwa dhati toka moyoni but hatutakiwi kuaminiana hata kidogo iwe kwenye relationship even marriage, watakao survive ni wale watakao mpenda zaidi Mungu na kumuamini yeye kwanza na hutaona mambo za kijinga cjui kujinyonga kisa mapenzi Mara mitalaka kwenye ndoa na migogoro mingine ya kijinga kwenye mahusiano.
 
Masanja kila leo USA halafu anasafiri peke yake. Ndo maana anachapiwa mkewe. Monaco itakuwa kapata mwingine wa kumkuna ndo maana akamwaga katibu eti kisa kaoa. R.I.P katibu.
Sahii safari zake hzo huku umemuacha mke na genya Ni hatari nimejifunza kitu Sana kwa ss tunao safirsafir Mara kwa Mara

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Si ajabu nchi iko nyuma kimaendeleo sasa mtu kujiua ndio imekuwa habari moto ya siku.

Juzi mara mambo ya nguvu za kiume na supu za pweza leo tena mmefanyiwa spinning nyingine.

Akili zimehama tozo na ujinga mwingine umesahaulika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…