HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Ukiona mwanaume anammwagia sana sifa mke wake, jua kuna shida mahali
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakati mwingine ni afadhali uoe baameidi kuliko hawa walokole feki waliojazana makanisani huko kwa manabii na mitume feki wakiombewa eti wapate wanaume wenye pesa [emoji706][emoji706][emoji706]Inashangaza sana!!.
Kwenye ulokole tunafichamo sana madhambi yetu!!
Hatarii
Mkuu usinitishe. Kuna mwanamke namwelewa sana. Ina maana ndo safari yangu imekaribia? Ushindwe kwa damu ya Yesu [emoji16]Narudia tena ukiona mwanaume yeyote yule anamwelewa mwanamke kupitiliza basi jua anakaribia kufa.
Mbususu kuzimu [emoji38][emoji38][emoji38]Sijui anamaanisha nini au anafikir huko kuzimu atakumbuka mbususu
Hakuepukiki ila kwa watu kamahao inasikitisha na kuhuzunisha sana kwa kuwa tunaamini wana hofu ya mungu!Wakati mwingine ni afadhali uoe baameidi kuliko hawa walokole feki waliojazana makanisani huko kwa manabii na mitume feki wakiombewa eti wapate wanaume wenye pesa [emoji706][emoji706][emoji706]
Yote kwa yote Kuchapiwa Hakuepukiki
kwa gharama ya kifo chake??! this fella had some other issuesHapa naona Nia ovu ya kutaka kumhabiria masanja na dhehebu lake ,
Pengine jamaa alimtamani kweli mama mchungaji, lakini alipotolewa nje na kugundulika ,
Akaona amharibie ndoa yake na kanisa
Nilichonoti Ni kuwa Kam mke angeendeleza penzi mnk Ni kwamba masanja alikuwa anaenda kuuwaw Kisha jamaa kubaki na mke na kanisa juuMara kadhaa tumeshauriwa Kuchunguza wake zetu mienendo yao, Hali sio nzuri kila sehemu watu wanagegedana sio mchezo. Chini hapa ni ujumbe wa kijana aliyekua anatoka kimapenzi na bibie monica ambae ni mke wa Masanja;
"...UJUMBE wangu wa Mwisho kwako MONICA
Asante Kwa kunipenda Kipindi chote hakika umenipa Upendo ambao umeacha alama moyoni mwangu ambao kila nikijaribu kuifuta nimeshindwa sioni upendo wako wa Mwanzo hivyo nimebaki Kuumia MOYONI kwa kukosa
REAL LOVE FROM YOU. MONICA Ulinipenda sana na Kuniahidi kutoniacha siku zote na Ahadi zako nilizipokea MOYONI Nami Kukuahidi Kukupenda sana na hii ndo INANIUMIZA SANA MONICA Asante kwa PENZI LAKO ambalo halijawahi kutoka MOYONI MWANGU[emoji24] SIONI TENA HAJA YA KUISHI KWENYE HII DUNIA
BILA PENZI LAKO NASEMA SIWEZI[emoji24]
MONICA SAMAHANI kwa MAAMUZI nitakayo yafanya NAJUA uamini kama naweza kufanya hivi kwa sababu ya PENZI Lako BUT NAOMBA upelewe kua umefanya nione THAMANI YA MAPENZI katika huu ULIMWENGU kupitia wewe so SIWEZI KUISHI BILA PENZI LAKO,
SIONI TENA MAANA YA MAISHA [emoji24]. MONICA, Inawezekana huu ni UJUMBE WANGU wa Mwisho kwako pia acha DUNIA nzima itambue kua nakupenda sana MONICA na nimeshindwa kuishi bila WEWE.
Najua Familia yangu, Marafiki zangu na Mama yangu mzazi UTAUMIA juu ya hili lakini nisamehe sana Mama YANGU [emoji24]. Naju Unanipenda na Mimi nakupenda Mama.
MONICA NAKUPENDA SANA and I'll miss you so much. YOUR LOVE, YOUR TIME AND YOUR MOMENT [emoji3590] Bye KIOSHO.
KULIKO UKAONA UJUMBE HUU KWENYE MITANDAO YA KIJAMII BORA NIKUTUMIE WEWE, Uje yaliyo moyoni Mwangu na ukiweza kunitibu kwa ule upendo wako wa kwanza nitakua mzima ila ukipuuzia hii basi UTANIPOTEZA na huu ndio utakua UJUMBE WA MWISHO KWANGU.
Picha ya marehemu prease
Sidhani kama ni kweliMara kadhaa tumeshauriwa Kuchunguza wake zetu mienendo yao, Hali sio nzuri kila sehemu watu wanagegedana sio mchezo. Chini hapa ni ujumbe wa kijana aliyekua anatoka kimapenzi na bibie monica ambae ni mke wa Masanja;
"...UJUMBE wangu wa Mwisho kwako MONICA
Asante Kwa kunipenda Kipindi chote hakika umenipa Upendo ambao umeacha alama moyoni mwangu ambao kila nikijaribu kuifuta nimeshindwa sioni upendo wako wa Mwanzo hivyo nimebaki Kuumia MOYONI kwa kukosa
REAL LOVE FROM YOU. MONICA Ulinipenda sana na Kuniahidi kutoniacha siku zote na Ahadi zako nilizipokea MOYONI Nami Kukuahidi Kukupenda sana na hii ndo INANIUMIZA SANA MONICA Asante kwa PENZI LAKO ambalo halijawahi kutoka MOYONI MWANGU[emoji24] SIONI TENA HAJA YA KUISHI KWENYE HII DUNIA
BILA PENZI LAKO NASEMA SIWEZI[emoji24]
MONICA SAMAHANI kwa MAAMUZI nitakayo yafanya NAJUA uamini kama naweza kufanya hivi kwa sababu ya PENZI Lako BUT NAOMBA upelewe kua umefanya nione THAMANI YA MAPENZI katika huu ULIMWENGU kupitia wewe so SIWEZI KUISHI BILA PENZI LAKO,
SIONI TENA MAANA YA MAISHA [emoji24]. MONICA, Inawezekana huu ni UJUMBE WANGU wa Mwisho kwako pia acha DUNIA nzima itambue kua nakupenda sana MONICA na nimeshindwa kuishi bila WEWE.
Najua Familia yangu, Marafiki zangu na Mama yangu mzazi UTAUMIA juu ya hili lakini nisamehe sana Mama YANGU [emoji24]. Naju Unanipenda na Mimi nakupenda Mama.
MONICA NAKUPENDA SANA and I'll miss you so much. YOUR LOVE, YOUR TIME AND YOUR MOMENT [emoji3590] Bye KIOSHO.
KULIKO UKAONA UJUMBE HUU KWENYE MITANDAO YA KIJAMII BORA NIKUTUMIE WEWE, Uje yaliyo moyoni Mwangu na ukiweza kunitibu kwa ule upendo wako wa kwanza nitakua mzima ila ukipuuzia hii basi UTANIPOTEZA na huu ndio utakua UJUMBE WA MWISHO KWANGU.
Mkuu tatizo kubwa haya mahusiana ya siku hizi yapo katika mfumo ambao Mwenyezi Mungu hajapanga kabisa na hapa ndio shetani anajichukulia maksi kabisa, na tusichojua nikwamba binadamu yatupasa tupendane kwa dhati toka moyoni but hatutakiwi kuaminiana hata kidogo iwe kwenye relationship even marriage, watakao survive ni wale watakao mpenda zaidi Mungu na kumuamini yeye kwanza na hutaona mambo za kijinga cjui kujinyonga kisa mapenzi Mara mitalaka kwenye ndoa na migogoro mingine ya kijinga kwenye mahusiano.Mkuu usinitishe. Kuna mwanamke namwelewa sana. Ina maana ndo safari imekaribia? Ushindwe kwa damu ya Yesu [emoji16]
Sahii safari zake hzo huku umemuacha mke na genya Ni hatari nimejifunza kitu Sana kwa ss tunao safirsafir Mara kwa MaraMasanja kila leo USA halafu anasafiri peke yake. Ndo maana anachapiwa mkewe. Monaco itakuwa kapata mwingine wa kumkuna ndo maana akamwaga katibu eti kisa kaoa. R.I.P katibu.
Asante kwa Habari picha!! !! Apumzike anakostahili tu
Kumbe katibu nae kaacha mke ngoja tutafute nmb zake tumsadie kwa kipind choteHatari sana Sasa katibu si angeondoka kimya kimya Ndio nini kuharibiana
Sio wake wengine tu,hata watoto wengi wanalea sio waoKWA ZAMA ZETU HIZI, WENGI WANAISHI NA WAKE ZA WENGINE