Ujumbe wa aliyejiua kisa penzi la Monica (mke wa Masanja). Chunguzeni wake zenu

Bongo kesi za mauwaji zinapangwa na kuamuliwa mitandaoni na vijiweni wao hospital wanatoa cheti cha Kifo tu
Sababu zinaandikwa jinsi alivyokutwa tu KAJINYONGA basi imetoka hiyo mtu anazikwa

Hapa kama ni devil [emoji48] advocate I don't believe all this vipi kama wamesuka auwawe na kula njama hizi?

Inakuwaje jamaa yupo kwenye Twitter tu all day wakati ni tatizo kubwa hili?

Mimi naangalia tofauti na wengine kabisa
 
Ningekua na namba zako za whatsapp ningekutumia ujionee mwenyewe as alianza kupost video zake alipokua dubai kwenye honeymoon then akapost wimbo wa mapenzi yanauma w harmonize akapost anaaga anasema kwaherini ya mwisho ndo hilo gazeti la monica
Kajinga kweli[emoji28][emoji28]

Ni kweli mapenzi yanauma na nimeshapitia maumivu yake ilibaki kidogo nidate lakini sikufikiria kujiua

Ikawa mwendo wa pombe tu, yalipotulia maisha yakaendelea na nimerudi nikiwa imara zaidi maana hakuna mwanamke anaweza kunibabaisha. Hakuna na hatatokea
 
Sawasawa mkuu...
 
Makatibu wote ujumbe ni huu
Sisi kama makatibu tunahitaji kumsitiri katibu mwenzetu maana makatibu popote tulipo lazima peace iendelee, hatuwezi kumtenga katibu mwenzetu.
Katibu kafikwa na janga ni muhimu makatibu tukafahamu namna gani janga hili litapita maana cheo ni dhamana leo unaweza kua katibu na kesho usiwe katibu.
Makatibu wote tufike hapa tujadili tuone linalowezekana ni lipi.
 
Utasikia source ya habari hii ni MANGE KIMAMBI.
 
Cha msingi masanja aendelee tu kua na mke wake , maana aliyekua anamgongea ameshajiua .
Ishu ni huyo Monica Kama amepata mwingine Wa kumkuna
Amejiua au ameuawa?
 
Ni hadi uwe wa kuishinda nguvu hio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…