Ujumbe wa aliyejiua kisa penzi la Monica (mke wa Masanja). Chunguzeni wake zenu

Nimeiona huko Twitter, inasemekana Katibu wa Kanisa la Mchungaji Masanja amejiua na kuacha waraka mrefu unaoeleza kuwa, alikuwa na mahusiano na mke wa Mchungaji wake Masanja, na kwamba penzi hilo limeelekea kufa, hivyo Katibu ameshindwa kuvumilia.
 
Masanja mbona ni mtu wa watu!Angemuachia mke.Sasa kakimbilia kaburini?Marehemu ni idiot!
Sasa unaambiwa jamaa alikuwa na mahusiano Naye kitambo yaani hata baada ya ndoa na wameachana mwezi mmoja means masanja alikuwa anachitiwa kitambo zaidi ya miaka kadhaa huoni hapo ndoa iko matatani si unajua inavyouma kwa sisi wanaume kugongewa mke
 
Si kwa Masanja.Masanja ana roho mzuri.Angemuachia huyo marehemu mke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…