King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Masanja kila leo USA halafu anasafiri peke yake. Ndo maana anachapiwa mkewe. Monaco itakuwa kapata mwingine wa kumkuna ndo maana akamwaga katibu eti kisa kaoa. R.I.P katibu.
Aiseee kwahiyo Msukuma wake alikuwa anamchora tu jinsi alivyokuwa anampaisha paisha kwenye mapost kumbe anatoa "mbususu" kwa katibu.