Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Sasa tuhuma hii atathibitisha nani?Taarifa hii inasambaa kwa kasi sasa hivi baada ya kuripotiwa kuwa katibu wa kanisa la Masanja mkandamizaji amejinyonga na kuacha ujumbe wa kwamba asamehewe kwani alikuwa anatembea kimapenzi na mke wa mchungaji Masanja.
Ujumbe huo umeshitua wengi kwani mke wa Masanja ni mtulivu sana.View attachment 2374737
Mwendazake aaminike au ni kuchafuana tu?
Tusiwe tunapokea taarifa yoyote na kumeza tu, tujaribu kuchakata