Hakuna kanuni ya kumtuliza mwnamke hawa watu mara nyingi huwa wanapagawa zaidi na kile ambacho mwanaume wake hana na ukweli ni kwamba hakuna binadamu mwenye kila kitu.. ukiwa na kazi utagongewa na jobless ukiwa jobless utagongewa na mwenye kazi, ukiwa mfupi utagongewa na mrefu ukiwa mrefu utagongewa na mfupi, ukiwa na pesa utagongewa na masikini ukiwa masikini utagongewa na mwenye pesa, ukiwa maarufu utagongewa na ambae sio maarufu usipokua maarufu utagongewa na mtu maarufu, ukiwa na kitambi utagongewa na mwenye six pscks ukiwa na six packs utagongewa na mwenye kitambi