Ujumbe wa aliyejiua kisa penzi la Monica (mke wa Masanja). Chunguzeni wake zenu

Ujumbe wa aliyejiua kisa penzi la Monica (mke wa Masanja). Chunguzeni wake zenu

Masanja kila leo USA halafu anasafiri peke yake. Ndo maana anachapiwa mkewe. Monaco itakuwa kapata mwingine wa kumkuna ndo maana akamwaga katibu eti kisa kaoa. R.I.P katibu.
Kwahiyo katibu alioa ila akawa anatamani penzi la mke wa mtu?
 
Hizi culture nilishasema ni kivutio cha uzinzi
Screenshot_20221002-140358_2.png
 
Yaani anavyojisifiaga na nkewe .Yaani watu wanaojianika huku mitandaoni kuwa wanapendana ni uongo mtupu.

Reality nyuma ya pazia ni machozi tu. Refer Emmanuel na Flora Mbasha. Kuna interview yao moja walisema wana hadi bank account moja.

Kumbe kiukweli ndoa yao ilikuwa machungu tu.
 
Ndoa hizi zina siri kubwa, aisee

Sana Mkuu maana nakumbuka hata mie ulishawahinipata nilienda kutafuta nikawa mbali na mke wangu huku nyuma akaanza kufanya yake nakijana mmoja hapo sikubahatika kumuona lakini nilikuja kujua baada ya yule kijana kuposti mke wangu Facebook akidai usingizi wake na mie baada ya kuona hivyo nikamuuliza yule kijana vipi mkeo au nini kijana akajibu ndio mke wangu ndipo nilianza kufuatilia zaidi.

kumbe yule kijana hajui kuwa huyo ni mke wa mtu na alishaambiwa tumeachana na ana mtoto mmoja wakati mke wangu ana watoto watatu na mtoto wa kwanza yuko la sita ajabu huyo kijana hakuelewa lolote, mie kistaarabu niliamua kumwambia kijana achana na mke wangu maana mie sipo tayari kuwatafutia mama mwingine wanangu kisa wewe ajabu yule kijana hakuwa na adabu alianza kurusha matusi hakika iliniuma sana ndio maana vijana wanaangamia kizembe.

mtu akikusihi kuachana na mke wake anakutaka mema huenda na yeye ashatambua kosa lipo pahala gani, vijana tuwe makini maana hata mie wake za watu nishatumia sana tu hivyo sioni ajabu nikisikia unampiga wangu kikubwa nisijue "Utaumia "
 
Back
Top Bottom